Siku moja nipo Mikocheni nikapigiwa simu na mtu mmoja anaongea kigogo, akaniambia sogea pembeni hapo kuna kelele, akaniuliza unajua unaongea na nani, nikasema mpaka hapa nishaelewa wewe ni Rais Magufuli, akaniambia uko wapi nikamwambia Mikocheni akasema kaa hapo hapo namwagiza mtu aje...