rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    Wanawake mnaoleta wenzenu tukiwa out mjitathmini! ukaribu mnaotujengea nao hutupa majaribu makubwa ya kuanzisha nao mahusiano ya kimapenzi

    Wanawake mjiangalie sana, mjitathmini tafadhali, Unaambiwa jumamosi ujiandae mtoke out, wewe unaleta rafiki zako tena wengine ni pisi kali kuzidi wewe.. Wanamuona mwanaume wako anavyowalipia vinywaji, vyakula, wanaona ana ndinga kali, jinsi anavyoweza kutunza mwanake afurahi, n.k Hivi...
  2. I

    Desperation ya kupata first job ilivyomponza rafiki angu

    Rafiki angu alihangaika kwa takriban miezi 6 tokea amalize chuo kupata kazi yake ya kwanza. Ila alijiharibia kitu kimoja na yote hii ni kwa sababu ya desperation ya kupata kazi yoyote ilimradi imuingizie kipato. Jamaa aliitwa interview na international NGO moja hapa Bongo. Akaulizwa lile swali...
  3. Protector

    Rafiki yako akimtongoza mke wako umfanye nini?

    Nimeoa naishi na mke wangu vizuri tu japo changamoto hazikosekani. Nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na rafiki yangu ambaye tulikutana kwenye interview na kuajiriwa pamoja. Nilioa kabla yeye hajaoa, akawa amezoea sana kuja kwangu na shemeji nyingi hata akikuta msosi umeisha atapikiwa. Miezi...
  4. M

    Nini kilitokea baada ya kumtongoza mke au demu wa rafiki yako akakukatalia?

    Hii kitu sitaisahau baada yakumtongoza demu wa rafiki yangu halafu akachomoa Dah! Nilihisi kuvurugwa baada ya kuangalia urafiki wangu na jamaa ulivyo niliishi maisha ya hofu kwa wiki nzima hofu ikaanza kuisha mdogo mdogo baada ya demu kujiongeza na kukaa kimya
  5. Stephano Mgendanyi

    Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imechukua hatua mbalimbali kuboresha mazingira rafiki...
  6. Mohamed Said

    Buriani rafiki yangu wa udogoni, Ibrahim Mussa Panzi

    BURIANI RAFIKI YANGU WA UDOGONI IBRAHIM MUSSA PAZI Nimesoma taarifa ya kifo cha Ibrahim Mussa Pazi nikiwa katikati ya Bahari ya Hindi nikitokea Zanzibar kurejea Dar es Salaam. Ibrahim tumekuwa sote udogoni tukicheza mpira Saigon. Huu ni mwaka wa 1966 umri wetu haujapita Miaka 15. Leo...
  7. BM X6

    Rafiki/ Ndugu zenu wanajua Kazi/ Biashara mnazozifanya?

    Jana nilishinda nyumbani siku nzima, sikuwa kazi nilijipea off, Sasa kabla siku haijaisha alikuja beshte yangu katika story nikamuelezea Biashara ambazo nataka kufanya ili anishauri. Alinipa Ushauri wa kutosha lakini ushauri mkubwa aliyoniambia ni huu[emoji1484] nanukuu "Unajua kuna Baraka...
  8. ERoni

    Ukiishi kwa ndugu, rafiki, jirani zingatia haya

    Ndugu zangu, Maisha hayajawahi kuwa fair hata kidogo, coz dunia nayo haipo fair kwetu. Wapo wenzetu kwa tofauti hii ya usawa, wamezaliwa na kukuta mambo yapo vizuri kuanzia kuvaa, kula, kulala na hata mengine ambayo kwa sisi wengine tungesema ni anasa tu lakini wao wanayo na wakikuona wewe huna...
  9. shukhrani

    Natafuta rafiki jamani

    Jamani naitwa shukran nina miaka 19 natafuta rafiki jinsia yakike nataman tuwe marafiki wakuaminiana natulio ivaana asante
  10. Replica

    Aweso: Mama ni noma, vyama rafiki wasiseme wameibiwa kura 2025

    Waziri Juma Aweso amesema wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani. Aweso amesema watu wanasema mama anaupiga mwingi lakini yeye anasema mama ni Noma na anawatahadharisha vyama rafiki(Upinzani) wasije wakasema wameibiwa kura 2025 kwani watanzania hawatamuacha. Amewataka wababa wakae kwa kutulia...
  11. The Sheriff

    Uungwana: Rejesha gharama za kufanikisha mkopo uliopatiwa na rafiki, ndugu au jamaa

    Salaam Wakuu, Nataka nizungumzie tu chembe ya uungwana ambayo inaweza kuwa na manufaa makubwa maishani mwetu. Ni vema kuonesha uungwana unapopatiwa mkopo wa fedha na ndugu, jamaa au rafiki. Uungwana wa kwanza ni kuhakikisha una dhamira ya kulipa pindi unapokopa, kisha kupambana juu chini...
  12. maji ya gundu

    Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

    Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu. Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio...
  13. Rangooo

    Natafuta rafiki wa kike wa awe mstaarabu n.k

  14. Dr Akili

    Tuziombe nchi rafiki na taasisi za fedha hususani World Bank na African Development Bank waahirishe au kutusamehe baadhi ya madeni wanayotudai

    Rais wetu anakubalika sana kimataifa na ameweza kutufungua kimataifa. Ni rais pekee, executive president, mwanamke barani Afrika na wengi wako tayari kumsaidia ili kuonesha ulimwengu hasa wa Afrika kwamba wanawake wanaweza, tena sana tu kuliko wanaume wengi. Wengi wanapenda kuona rais wetu...
  15. Bata batani

    Rafiki yangu anakaribia kuoa kimyakimya bila wazazi na ndugu zake kujua

    Baada ya wazazi wake kumkataa binti ambaye alikuwa ana mipango ya kumuoa kwa sababu wazazi wanazozijua wenyewe. Jamaa yangu sasa anakaribia kuoa kimya kimya bila wazazi na wala ndugu zake kuwashirikisha wala hawajui chochote kama anaowa na amefanya hivi sababu wazazi wake wamekuwa kikwazo...
  16. JanguKamaJangu

    Wanawake wenye ulemavu kuwekewa miundombinu rafiki katika vyumba vya kujifungulia

    Serikali imeendelea kufanya maboresho ya miundombinu ya kutolea huduma za Afya kwa kuhakikisha kuwa Vituo vya kutolea huduma za afya vinawekewa miundombinu rafiki kwa wanawake wenye ulemavu kwa ajili ya kujifungulia. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel Bungeni, Aprili 14...
  17. sky soldier

    Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

    Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba. Huyo girlfend wake ni mrembo wa...
  18. Kichwamoto

    Rafiki Mnafiki jihadhari nae

    1.Chunga usilie chozi mbele yake 2. Akikutoa mtaroni ukiwa hospital atakusahau 3. Ukiwa huna pesa au hupati maendeleo kwake furaha 4. Hata mchumba, mpenzi, mkeo atamla au atamtaka. 5. Majungu atakusema sana 6. Chake chake Chako chenu 7. Ukipata wewe umebahatisha Yeye akipata anastahili...
  19. M

    Rafiki yangu amefanya ukatili wa the West, amempiga Sanctions mchepuko wake Kama Putin, anahaha

    Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake. Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka kanyumba na kagari akapewa, Ila ameleta shida katika ndoa ya jamaa Sasa amepigwa vikwazo vikali...
  20. Enkaly

    Putin alitia saini amri juu ya hatua za kulipiza visasi kwa nchi zisizo rafiki

    Rais wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Aprili 4, alitia saini amri juu ya hatua za kulipiza visasi kwa nchi zisizo rafiki. Hati hiyo ilichapishwa kwenye tovuti rasmi ya mtandao ya habari za kisheria. Hati hiyo ilitiwa saini "kulingana na hitaji la kuchukua hatua za haraka katika...
Back
Top Bottom