Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.
Kwa nini wasipewe mwili wa rafiki yao kama ndugu hawajatokea?
=======
Siku 12 zimepita huku mwili wa fundi ujenzi Gaston Moshi (25) ukiwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma kutokana na ndugu zake kutojitokeza, huku marafiki wakiiomba hospitali kuwakabidhi wakauzike.
Kifo cha...
Iko hivi, nina mshkaji wangu peace sana tunaelewana mtu wa kazi kazi.
Nayeye ana mshkaji wake sasa ilitokea wakagombana kisa mikopo maana mwana alienda kopa na mwana ndio alimdhamini. Sasa kwenye marejesho mwana kala chocho, hivyo msala ikabidi mshkaji ausolve ukaisha. Ghafla mwamba huyu hapa...
Mara nyingi sana huwa nikisikiliza nyimbo ya BUSHOKE na JULIANA KANYOMOZI " usiende mbali ". Huwa anamkumbuka rafiki yangu JAMES mapenzi tu ndo kilikuwa chanzo cha kifo chake.
Jamani tunatakiwa tujue maisha mafupi sana haya lakini kuna mtu anaweza akayafanya yakawa maisha mafupi zaidi kwako
Au...
Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu kapindua meza na Raila hatakiwi tena. Najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lakini ukweli ni kwamba...
Wakati wa balehe kuna changamoto nyingi sana, binafsi nimekumbana na mengi. Mengine yakinisibu moja kwa moja, mengine nikijionea kwa macho, kati ya mengi niliyoona kwa macho, lilinitisha lile la mapenzi ya jinsia moja.
Kama uliipita vyema balehe yako, basi na tumshukuru Mungu. Balehe nd’o ujana...
Amani iwe kwenu.
Ninapitia kipindi cha kuumia sana.
Hivi rafiki mnayeheshimiana akikuahidi atakusaidia kutatua tatizo lako la kipesa halafu baadae hapokei simu wala hajibu SMS zako na pesa hakusaidii kama alivyoahidi, ila unaona anaweka status tu WhatsApp huwa mnachukua hatua gani wakuu...
Rafiki yangu tuliyesoma wote yeye yupo kwenye mahusiano na mwanamke kutoka Arusha ingawa bado hawaja tambulishana kwa ndugu na wazazi mpaka sasa.
Rafiki yangu amekuwa akiniomba ushauri sijui namsaidiaje, anadai kuwa anampenda sana huyo binti nae binti halikadhalika, tatizo kubwa ni kwamba huyo...
Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017!
ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma.
Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa...
"Ahsante sana RAFIKI YANGU wa mtandaoni."
Hii ni special kwako wewe rafiki yangu wa mtandaoni. Rafiki yangu ambae mitandao ya kijamii imetufanya tuwe karibu zaidi kama watu tuliopitia historia moja ya maisha.
Tangeni, Mzumbe - Morogoro ndipo nilipozaliwa na kusoma shule ya msingi kabla ya...
Nina miaka 26,
Mweusi.
Mrefu kiasi.
Nahitaji rafiki wa kiume (kaka).
umri 28-32.
Elimu yake -Awe amesomea Afya.
Pia awe mweusi na mrefu.
Awe mcheshi na mcha Mungu.
Awe hajaoa.
Mwenye sifa Ani PM
Habari za Jumapili wanajukwaa,Pia poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Niende kwenye mada husika hapo juu hivi huwa unajisikiaje hasa pale unapokutana na rafiki zako mliosoma wote kipindi hicho wako mbali sana kimaisha kuliko wewe?
Kwa Upande wangu hii imenikuta wakati natoka...
Ndugu zangu nawasalimu kwa lugha adhimu kabisa ya kiswahili......
Najua wengi wetu hususani vijana wenzangu kila mara tunapoianza siku mpya kwetu ni kama kuingia vitani kupambania ukombozi wa taifa letu, haijalishi umeajiriwa au umejiajiri. Mtu yoyote anayejihughulisha na shughuli halali ni...
RAFIKI ANAYEWEZA KUWA ADUI WA ELIMU YA MTOTO WAKO
Utangulizi
Mada hii inaangazia teknolojia na matumizi ya vifaa vya kielekroniki vinavyoweza kutumiwa na wanafunzi ama kufundishiwa au kujifunzia wao wenyewe. Teknolojia inazidi kuhitajika na kutumiwa angalau katika baadhi ya ngazi za kielimu...
Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana.
Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina...
Leo nimemkumbuka my rafiki yangu sio kipenzi kwa sababu alikuwa anakera sana.
1. Anaweza kuvaa brazia zako .
2. Kuvaa nguo zako hataka kama ni special kiasi gani .
Naakiharibu kitu anasema kwani si bahati mbaya unakasirika nini?
Halafu hupenda sana kulalamika bila sababu.
3. Hapendi wewe ukiwa...
Mwalimu ni mwanajamii mwenye thamani kubwa sana katika ujenzi wowote wa jamii yenye mtazamo wa maendeleo endelevu. Kuna walimu rasmi yaaani walimu waliopitia katika mfumo maalumu wa mafunzo fulani ili wapate ujuzi wa kuhaulisha maarifa kwa kizazi fulani. Pia kuna waalimu wasio rasmi, hawa ni...
Dereva mmoja Leo saa nne usiku alinitoa mitaa ya marambamawili kwenda tabata.
Tukiwa safarini demu akaanza kushuka baada ya kufika kwao..nikaendelea safari. Tukiwa safarini tukapishana maneno na dereva m. Oooh Malaya na maneno kibao. Nikakaribia nyumbn Kwangu kabla ya kunishusha tukabishana...
Kwa mpenzi wako au mke wako kua makini sana na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa mshikaji wake Bwana Sergey Brin ambae pia ni muanzilishi mwenza wa Google.
Baada ya Elon Musk kumtafuna mke wa Brin urafiki wao wa muda mrefu ukafa baada ya Brin kujua Elon anamla mke wake tena anampiga...
Habari nna rafiki zangu watatu ila nimekuja kugundua mmoja ni muongo sana ,mwingine ni mnafiki na wa mwisho ni Mmbea.
Kati ya hawa ni yupi niwe nae makini sana?
Tena kafara yenyewe sio kama hizi zenu za kiswahili ya kwenda kwa mganga akwambie umtoe ndugu yako kafara ukikubali ndugu yako anaumwa tumbo anakufa la hasha ila ni kafara kama ile ya kumtoa kondoo wa sadaka yani mtolewa kafara anachinjwa damu yake ina mwagwa kwenye madhabahu ya mganga husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.