Ndugu zangu,
Maisha hayajawahi kuwa fair hata kidogo, coz dunia nayo haipo fair kwetu. Wapo wenzetu kwa tofauti hii ya usawa, wamezaliwa na kukuta mambo yapo vizuri kuanzia kuvaa, kula, kulala na hata mengine ambayo kwa sisi wengine tungesema ni anasa tu lakini wao wanayo na wakikuona wewe huna...