raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. Kashfa nyingine kwa Polisi: Askari adaiwa kusababisha kifo cha mtuhumiwa

    Jeshi la Polisi limeingia katika kashfa nyingine, baada ya askari wake kutuhumiwa kusababisha kifo cha Ulirki Sabas (47), Mkazi wa Kijiji cha Kirongo chini wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro akiwa mikononi mwao. Tukio hilo linadaiwa kutokea katika Kituo cha Polisi Usseri wilayani humo ambapo...
  2. Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

    Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya. Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa...
  3. DOKEZO Jambo hili inalofanya Serikali ni wizi dhidi ya raia wake maskini

    Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni. Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona...
  4. Wakati Marekani ikijiandaa kupeleka binadamu katika sayari ya Mars, Serikali ya Tanzania ina mpango gani kuwapeleka raia wake?

    Marekani imepanga kupeleka raia wake huko sayari ya Mars ifikapo 2030s. Urusi nayenyewe imepanga kupeleka raia wake Mars ifikapo 2040s . China nao wamepanga 2040s kama urusi. Sasa sisi serikali yetu inasubiri nini kwenye huu upande wa teknolojia ya angani? Mpaka sasa kimya hakuna...
  5. Raia wa Urusi waanza kuhoji kuhusu ushindi walioahidiwa, wachoka kusubiri

    Wingu la taharuki limewakumba Warusi, waliahidiwa ushindi ila wanachokiona ni maiti za vijana wao zinaletwa nyumbani kuzikwa na kila wakiingia kwenye mitandao wanasoma jinsi wanajeshi wao wanapitia kibano, miji inakombolewa kimzaha..... ======================================= A Moscow...
  6. Kiongozi asiye mzalendo na anayejali tumbo lake huwa hana huruma na raia masikini na wasio na uwezo

    Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma. Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira. Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma. Wananchi huwa wananug'unika kama ilivyo kwa sasa Tanzania yetu. Ni manug'uniko kwa kwenda mbele.
  7. T

    Gazeti la Raia Mwema siku hizi linaandika habari kishabiki sijui limepatwa na nini?

    Kama kichwa ha habari kinavyojieleza hapo juu, gazeti hili la raia mwema lilijengea umashuhuri kwa kuandika habari nzitonzito zilizofanyiwa uchunguzi wa kina, na hivyo likaaminiwa sana na umma wa watanzania. Ila kwa sasa hali ni tofauti sana. Limekuwa likiandika habari kishabiki na kwenda...
  8. Chile: Raia waikataa Katiba Mpya iliyopendekezwa

    Chile imepiga kura ili kupitisha au kukataa KatibaMpya iliyopendekezwa, ambayo Rais Gabriel Boric alisema ingeleta enzi mpya ya Kimaendeleo Nchini humo. Kwa asilimia 99 ya kura za maoni, Kambi ya Upinzani ilipata ushindi wa asilimia 61.9 ikilinganishwa na asilimia 38.1 ya waliounga mkono Katiba...
  9. Wanamgambo wa Al Shabaab waua raia 21 wa Somalia

    Wanamgambo wa Al-Shabaab wametajwa kuhusika katika vifo vya Watu 21 na kuharibu magari yaliyokuwa yamebeba chakula cha msaada katika shambulizi Mkoani Hiran Nchini Somalia. Magari yalikuwa yakisafirisha chakula kutoka Jiji la Baladweyne kwenda Mji wa Mahas ambapo awali mashambuliazi yao yaliua...
  10. Ashikiliwa akituhumiwa kufanya jaribio la kumuua Makamu Raia wa Argentina

    Mwanaume mmoja anashikiliwa baada ya jaribio la kutaka kumuua Makamu wa Rais wa Argentina, Cristina Fernandez de Kirchner alipokuwa akiwasalimia Wananchi nje ya nyumba yake Jijini Buenos Aires. Mtuhumiwa amenaswa na picha za video zilizokuwa mubashara akiwa na bastola kisha kuielekeza kwa...
  11. Uchaguzi Kenya: Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya Usalama kwa raia wake

    Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
  12. Liberia yaiomba Oman kusitisha utoaji wa Viza za Kazi za Nyumbani kwa Raia wake

    Serikali ya #Liberia imeiomba Oman kusitisha mara moja utoaji wa viza kwa raia wake kwa ajili ya ajira za nyumbani baada ya kundi la wanawake ambao tayari wako nchini humo kutuma picha zilizoashiria aina tofauti za unyanyasaji ikiwemo kubakwa na kufanyiwa ukatili na waajiri wao Afisa wa...
  13. Kama Jeshi la Polisi ni la wapigaji ni vipi linaweza kulinda raia na mali zao?

    Kwenye hotuba ya Mama lao Pale Mosjo anaonekana kulalmikia Jeshi la police hasa kwenye upigaji wa pesa, inavyo elekea wanapiga sana pesa za umma, na hizo ndio hizo hizo tozo tunazo tozwa. Hio moja je Mama ana fikiria Pilice hao wanaweza vipi sasa kulinda Raia na Mali zao? Je, wanaweza saidia...
  14. UN: Raia milioni 6 wa Afghanistan wanakabiliwa na hatari ya baa la njaa

    Umoja wa Mataifa imesema kwamba Waafghanistan milioni 6 wako hatarini kukabiliwa na njaa, huku majira ya baridi kali yakikaribia na mashirika ya kibinadamu yakiwa na uhaba mkubwa wa fedha Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Martin Griffiths amesema watu milioni 24 nchini humo wanahitaji msaada wa...
  15. Urusi: Rais Putin kuwalipa Tsh. 398,436, raia wanaohamia kutoka Ukraine

    Rais Vladimir Putin leo Agosti 27, 2022 amesaini amri ya kuwalipa kiasi hicho cha fedha watu wote walioondoka Ukraine na kuhamia Urusi wakiwemo Wastaafu, Wajawazito na Walemavu. Amri hiyo iliyowekwa kwenye tovuti ya serikali, inaweka malipo ya pensheni ya kila mwezi kwa waliolazimika kuondoka...
  16. N

    Mabilioni yanaibiwa TAMISEMI, hazina, magari 2022 models bado mnadai tozo zina faida kwa raia

    Ukweli ni kwamba pamoja na kwamba mnatawala maiti na ma dunderheads makondoo grade A duniani ila mna roho mbaya nyie ni SADDISTS kama wale kwenye movies ambao huwa wanamuuua mtu kifo cha taratibu na victim anapopiga kelele kwa maumivu basi huwa ni furaha kubwa sana ya mtesaji Kama vile paka...
  17. Ushauri kwa IGP: Ukitaka uwazi katika uwajibikaji wa Polisi ruhusu wawe wanarekodiwa na Raia hata ndani ya kituo cha polisi

    IGP Ukitamani uwajibikaji na uwazi kwa jeshi lako we tangaza kwa vyombo vya habari kuruhuri matumizi ta teknolojia yaan Raia waruhusiwe kurekodi matukio ya polisi akiwa katika kazi zake hata ndani ya kituo cha polisi Na iwe ni sheria na pia marufuku kumkataza raia kurekodi matukio hata ndani...
  18. Raia wa Uganda afungwa miaka mitano Marekani kwa ujangili

    Moazu Kromah raia kutoka nchini Uganda amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na Mahakama ya jijini New York kwa kosa la kula njama za kusafirisha Pembe za Faru na Pembe za Tembo. Shehena iliyokamatwa ilikuwa na Kilo 200 za Pembe za Faru na Tani 10 za Pembe za Tembo ambazo thamani...
  19. Raia wa Ghana wadaiwa kuiba Sh 1.6 bilioni benki

    Raia wa Ghana, Valentine Zancheus (42) na Mtanzania, Fortunatus Bundala(36) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la wizi na kuingilia mifumo wa Benki ya BancABC na kujipatia na Sh1.6 bilioni mali ya benki hiyo. Washtakiwa hao wamefikishwa...
  20. E

    Msaada: Kufanya kazi Jeshini au kuwa raia wa kawaida kipi bora?

    Habarini ndugu zangu, Kama jina “linavyo-display” hapo juu. Baada ya kuhitimu bachelor’s degree miaka kadhaa iliyopita na kusambaza CV ofisi mbali mbali, hatimaye mapema mwaka jana nilipata nafasi kama “intern” kwenye taasisi ya kiserikali (nalipwa 150,00Tsh kwa mwezi, posho zingine kama za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…