rais nicolas maduro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama sababu ni dawa za kulevya, kwanini Rais wa China hajatekwa mpaka sasa kama Maduro?

    Kama sababu ya Maduro kutekwa na Marekani ni madawa ya kulevya? Kwanini mlalamikiwa mkubwa kuhusu athari za madawa ya kulevya Marekani ambaye ni China Rais wao Xi Jinping mpaka sasa hajatekwa kwenda U.S kujibia mashitaka yake?
  2. JamiiForums Tanzania Maelfu ya Wafuasi wa Rais Nicolas Maduro wa Venezuela waandamana mjini Caracas

    Siku mbili baada ya Marekani kumkamata Rais Nicolas Maduro wa Venezuela kutoka Ikulu ya nchi hiyo mjini Caracas, maelfu ya wafuasi wake wameingia mitaani kulaani tukio hilo. Tukio la kukamatwa Maduro na mkewe na kisha kupelekwa Marekani kujibu madai ya kufadhili mtandao wa kuuza dawa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…