Katika ukanda wa Africa mashariki yawezekana kwa sasa the best president ni hyu Paul kagame
Jamaa ametulia na anajua anachokifanya hapayupayuki hovyo
Sera zake zimejikita katika Rwanda kwanza na ndio maana yupo radhi kuiba nchi jiran ili akajenge kwake Rwanda
Maendeleo ya Rwanda kila mtu...