Wakuu,
Tunaendelea kuangalia meno ya TAKUKURU na msajili wa vyama vya siasa!
Pia soma: Pre GE2025 - Hizi ndizo zawadi, misaada na michango iliyotolewa na Rais Samia tangu aingie Ikulu. Ni maandalizi ya Urais 2025?
=====
Rais Samia amekabidhi kiasi cha shilingi Milioni 200 ikiwa ni ahadi...
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
Shkamoo mama, najua protocol haziruhusu ila naomba unialike hata tusipo onana ni sawa, nahitaji tu kunywa chai ya ikulu na kupunga hewa kwa nusu saa kabla sijarudi mtaani kuendelea na utafutaji.
Ntashukuru sana mama japo sikubaliani na wewe katika mambo kadhaa ila natamani kunywa chai ya ikulu...
Hii MADA haina uhusiano na kusifia mazuri au makubwa aliyoyafanya Rais Samia.
Huu Uzi hauna uhusiano na kukandia au kufifisha shughuli za Rais Samia. Uzi huu ni kwaajili ya onyo .
Nyie mnaomsifia Rais Samia kwa malengo yenu binafsi either kutaka cheo, pesa au ulinzi wa shughuli zenu...
Mchekeshaji Said Said, aliyepiga picha na Rais Samia wakati wa usiku wa Tuzo za Wachekeshaji (Tanzania Comedy Awards), ameweka mabango ya picha hiyo katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwemo Dodoma.
Akiweka wazi gharama alizotumia, Said amesema ametumia zaidi ya TSh milioni 7 kutengeneza na...
Siku ya ya jana tarehe 13 Machi 2025 ITV walikuwa wakirusha matangazo mbashara kipindi cha malumbano ya hoja mada ikiwa 'kutofanyika kwa dabi ya Simba na Yanga nini kifanyike?'.
Wakati kipindi kinaendelea akakaribishwa mchangiaji mmoja akijulikana kwa jina la Ramadhan Kampira, Mwenyekiti wa...
Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amenyamazisha simulizi za kukata tamaa zilizotolewa na Vijana wengi waliokosa fursa ya kujiendeleza kimasomo, kutokana na ukosefu wa Vyuo vya kutosha katika Mkoa wa Rukwa na Mikoa jirani.
Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa kiasi cha...
Wakuu
Mawaziri George Simbachawene (Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) na Prof. Adolf Mkenda (Elimu, Sayansi na Teknolojia) wamekutana na viongozi wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujadili hatua za kutatua changamoto ya ajira kwa walimu.
==
Mwenyekiti wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC kwa njia ya Mtandao pamoja na viongozi...
Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo.
Hapa naileta kama swali, hii dhana na kauli mbiu ya Samia Mitano.Tena, kufuatia ile the spirit ya 2025, "twende na mwanamke" , hatuendi na mwanamke kwa ya jinsia yake ya kike, tunakwenda na mwanamke kwasababu ya uwezo wa...
Mbunge wa Manonga Self Hamis Gulamali akieleza namna serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ilivyoleta maendeleo jimboni kwake.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
ada
ada kubwa
ajira
chuo cha veta
english
english medium
kasim majaliwa
madaktari
majaliwa
raissamia
shahada
veta
wahitimu wa degree
watoto
wazazi
waziri mkuu
waziri mkuu majaliwa
Wakuu Hii ni kwamba Wananchi wamefanyishwa sherehe ya kukamilika ujenzi wa kituo cha afya, wananchi ni kama wamepewa maelekezo ni cha kusema. Hii ni sehemu ya ajenda ya kumpigia kampeni ya mitano tena hakuna la maana.
=======
Wananchi wa Kata ya Mtipa, mkoani Singida, wamefanya sherehe kubwa...
Wakuu,
Hivi CCM wanapojitambaga kwamba wana wanachama Milioni 10, hawa wanachama likija tukio kubwa la kitaifa, huwa wanaendaga wapi?
Au hawa wanachama wote hawana simu na devices za kufuatilia matukio ya CCM humu mitandaoni?
Wikiendi iliyopita tuliona kulikuwa na matukio ya kuadhimisha...
Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kupitia Chama cha...
Kila shetani na mbuyu wake, huyu Rais wangu mpendwa huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake, ni za utulivu, lugha rahisi kueleweka, hafokifoki ujumbe murua unatoa matumaini makubwa.
Nisipomsikia wiki 2 au kutojua yuko wapi naumia sana. Hotuba zake ni tamu kuzisikiliza, zimejaa mamlaka...
Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia hatua viongozi hao pamoja na waziri huyo.
Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho za madiwani.
"Tuachieni tufanyie kazi, wanasema mcheza kwao hutunzwa, sasa ngoja tukaangalie huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.