rais samia suluhu

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

More on WikiPedia
  1. Polisi, hili mnalolifanya linamuaibisha Rais Samia Suluhu

    Mtaani mama Samia Suluhu Hassan anaonekana kama viatu vinampwaya, lakini sababu watendaji wake wako usingizini na wameshindwa kusimamia sheria kikamilifu. Hili ni gari ya wahuni wa Mwananyamala, wanajulika na shughuli haramu zinajulikana. Limewekewa namba nyeusi, zisizosomeka kirahisi na...
  2. M

    Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

    Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, Karibu tena uraiani,Sisi Watanzania kwa sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili. Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la...
  3. Safari ya Rais Samia Dubai: Viwanda vinne kujengwa nchini, kuzalisha ajira zaidi ya 3500

    Historia ya uchapakazi na kujituma ni kati ya mambo mengi yanayotoa tafsiri ya uongozi wa Rais Samia Suluhu. Baada ya ziara yenye mafanikio makubwa Barani Ulaya na katika Falme za Kiarabu, Haya ni baadhi ya makubaliano ya ujenzi wa viwanda nchini kufuatia juhudi za Rais Samia kuvutia wawekezaji...
  4. Viongozi wa dini msitumie taasisi za kidini kumtetea mhalifu

    Hapo vipi! Jana nimesikia maombi ya viongozi wa dini kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli kinachoonekana hapo nikwamba baadhi ya viongozi wa dini ni wanasiasa wenye mrengo fulani, lakini namuona kiongozi mmoja wa dini ambaye ndio, aliyepanga huo makakati kwa lengo la kumuombea...
  5. Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

    Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua. Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu...
  6. C

    “Nimezunguka huko nimepata VIJIPESA kidogo", hii ni kejeli kwa Watanzania watakaolipa haya madeni

    Asarareeeeeeee, Unajua wakishakalia madaraka hujawa na dharau na viburi visivyo na msingi wowote hii ndio hulka ya binadamu alieshiba huwa hakumbuki kama jana alipata shida. Kwanza huko nje hakuna pesa ya Bure wanayopewa zote ni zina mashart au riba kubwa au riba ndogo au riba ya muda mfupi au...
  7. Combination ya Nape, Makamba na Mwigulu nchini Dubai sina imani nayo kabisa

    Najua ntashambuliwa sana, ila kwa kifupi combinations ya Nape, Mwigulu na Makamba ndani ya Dubai Sina Imani nayo kabisa. Kwanini nasema hivyo? Historia za hawa vijana wenzetu ziko wazi na hakuna anae jua yakuwa wapo tayari kuitwa mawaziri wastaafu mpaka hapo walipo? Kimsingi hawa watu Bado...
  8. B

    Taarifa kwa umma kutoka CCM: Hotuba kwa Ufupi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa wakati wa Uzinduzi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere

    Taarifa kwa Umma kutoka CCM kama ilivyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka.
  9. J

    Rais Samia kuondoka Februari 24, 2022 kuelekea Dubai kushiriki maonyesho ya Expo 2020

    Katibu mkuu wa Wizara ya Uwekezaji aliyeko Dubai amesema Rais Samia ataondoka Tanzania kuelekea Dubai kushiriki maonesho ya Expo 2020 Wawekezaji wengi sana wameonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania, amesema Katibu mkuu. Chanzo: TBC
  10. Rais Samia: Tumefuta kesi zote za Tundu Lissu, mimi na Lissu hatuna Ugomvi

    Kupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania. Pia Rais Samia amesema yeye na Tundu lissu ni mtu na dada yake hawana ugomvi wowote binafsi ukiacha tofauti za vyama tu.
  11. BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tundu Lissu. Ni baada ya Lissu kuomba kuonana naye. Walizungumzia mambo mbalimbali kuhusu ustawi wa Tanzania. Pia, soma 1). Makamu wa Rais, Samia...
  12. B

    Mambo kumi yaliyobebwa ndani ya kikao Kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Tundu Antipas Lissu, Brussels Ubeligiji

    1. Mhe. Rais ameonyesha wanadamu wenye damu ya siasa Kwamba hakuna Nchi itapiga hatua ikiwa vipande vipande. Tanzania ilimkosea Tundu Lisu Kwa Yale yaliyomkuta, Tanzania ilimkosea Tundu Lisu kumfuta Ubunge na Mwisho Tanzania ilimkosea Tundu Kwa kuacha kuchukua hatua ikiwemo kuchunguza shambulio...
  13. Paris, Ufaransa: Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Emmanuel Macron

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022 Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati...
  14. Happy Birthday Rais Samia! Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu

    Mnamo tarehe 27 Januari 1960 Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan alizaliwa huko Makundichi Zanzibar. Leo anatimiza umri wa miaka 62. Ni Rais wa kwanza mwanamke nchini kwetu na mfano wa kuigwa kwa wasichana, wanawake na watu wa...
  15. J

    Kate Kamba: Tunampongeza Rais Samia kwa maono yake

    "TUNAMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MAONO YAKE " Bi. Kate Kamba Kamati ya siasa mkoa wa Dar es Salaam leo Januari 15,2022 imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM wilaya ya Temeke kwa kukagua miradi mbalimbali iliyotekelezwa kupitia fedha za mpango wa...
  16. Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

    Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani. Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa...
  17. Kauli za Rais na Makamu wa Rais zinaashiria kuna tatizo kubwa kwa mawaziri, kwanini mliwateua?

    Nimesikia kauli za Rais na Makamu wa Rais na zote zinaashiria kuna tatizo kubwa sana kwa mawaziri. Ila bado nashangaa imekuwaje mnawateua inakuwaje mnaendelea nao? Ni kweli huko CCM hakuna watu wengine? Au sio nyie mnaowateua? Ikiwa una mamlaka kamili na unaona Kuna watendaji hawafanyi vizuri si...
  18. Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam. ====== Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo...
  19. Chonde chonde Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, usiache mbachao kwa msala upitao!

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan naomba nikukumbushe tu kwamba kama si kwa mujibu na matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliyoapa kuihifadhi, kuilinda na kuitetea, kuna mashaka makubwa kama hivi leo ungekuwa Rais wa Taifa hili. Kwa bahati nzuri, kama ndani ya Katiba hiyo...
  20. D

    Hivi Spika Ndugai ameokoka siku hizi?

    Mheshimiwa Job Ndugai, umekuwa ukihaha sana kwa siku za hivi karibuni kikosoa serikali kwa Mambo menngi. Kimsingi serikali sio Mungu na huwa inakosea sana. Japo pia makosa mengi ya serikali zetu yalitokana na udhaifu na Unafiki wa Bunge ambalo wewe umekuwa sehemu ya uongozi wake kwa muda mrefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…