===
Wananzengo anayejua maana ya arrangement hii kwenye hii COP26 Glasgow Scotland iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania pembeni ya Rais Joe Biden wa Marekani,
===
<Mkao huu kiprotokali unamaanisha nini?>
Mama yangu, kuliko kuboresha elimu mbovu, mbaya, iliopitwa na wakati, isioajirisha, mzigo kwa taifa!
Ni bora fedha zingetumika kuandaa mtaala mpya kabisa ambao ungesaidia vijana kujiajiri!elimu yenye vitendo zaidi kuliko huu upumbavu na ujinga wa kukariri unaohalalishwa na utaahira unaoitwa...
WITO MAALUMU KWA WATANZANIA WOTE KUFANYA MAOMBI NA DUA KWA AJILI YA RAIS WETU MPENDWA SAMIA SULUHU HASSANI
√Ndugu zangu Watanzania
Nawaomba kuanzia leo tutenge muda wetu mahsusi ili kumuombea Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
√Ndugu Watanzania
Mama yetu ni Mcha Mungu...
Ni miezi kadhaa sasa imepita tangu waziri mpya wa nishati bwana January Makamba ateuliwe na rais Samia Suluhu kushika nafasi hiyo.
Waziri Makamba tangu ateuliwe amefanya ziara Kigoma tu tena mjini mjini baada ya kupewa maagizo na makamu wa rais afike huko kutatua kero ya kukatika katika umeme...
Shirika la habari la South Africa walikuwa na mjadala kuhusu Mama Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake.
Hoja ya wachambuzi haikuwa kwa nini Tony Blair Bali ilikuwa credibility ya Tony Blair.
Wanasema Tony Blair hana credibility, hivyo kumteua kuwa mshauri ni kosa na wanashangaa imekuwaje...
Hadi sasa nimeona watu wa aina tatu wakitafuta namna yoyote ili wawe sehemu ya Serikali yako, wanatumia kila mbinu.
Kuna wale wabunge ambao 2020 walikatwa, wakiwemo wa viti maalum. Hawa wana Imani kubwa na wewe wakiamini kabisa utawakumbuka kwenye serikali yako.
Kuna wale hawamiaji, majuzi Kuna...
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku (3) kuanzia leo tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2021.
Mhe. Ndayishimiyeamepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jijini Dodoma.
Atatembelea na...
Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa"
____________________________________________
Magufuli anabiringika kaburini.
Tulikuwa tunaambiwa...
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2021.
Akiongea na Waandishi wa Habari ofisini kwake jijini Dodoma, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi...
Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma) limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan akutane nao kumweleze kero walizonazo ili ajue namna ya kuzifanyia kazi.
Hayo yamesemwa leo Jumatano Oktoba 20, 2021 na Makamu Mwenyekiti wa wamachinga Taifa, Steven Lusinde wakati akitoa ufafanuzi kuhusu...
Katika shauri dhidi ya Mbowe, mlalamikaji ni Serikali, na Serikali kiongozi wake mkuu ni Rais. Hivyo mlalamikaji katika kesi hii, ni Rais.
Wakati kesi inasubiriwa kutolewa hukumu, mlalamikaji anatoa cheo kwa hakimu anayeendesha kesi ambayo yeye ni mlalamikaji.
Katika mfumo wa utoaji haki, hii...
Shikamoo Mheshimiwa Raisi Mama Samia!
Mimi ni kijana muhitimu wa Elimu ya chuo Kikuu nikiwa na Degree ya Uchumi pamoja na Diploma ya Uchumi. Nimehitimu chuo mwaka 2012 hapa hapa Tanzania ila kwa bahati mbaya sikupata ajira sehemu yeyote hadi leo hii.
Nilikuwa na biashara yangu ya duka ambayo...
Kama Mama Samia ameamua kuondoa watafutaji wa mitaani yani wamachinga. Ni sawa. Ila nafikiri angewatzama kwa jicho la huruma wamachinga wenye ulemavu ambao hawawezi kubeba mizigo wala kulima. Kuwaondoa watu wa namna hii ni ukatili mkubwa sana.
Naiomba serikali ya Mama Samia iwawekee utaratibu...
Hakika mahaba ya Rais Samia kwa watu wa Kaskazini usipime, ametoa TZS 520BL za maji Arusha ikiwa ni zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya maji ya Taifa ya mwaka.
" Hakuna kama Samia "
Hakika kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan haikamatiki,Rais ametoa Jumla ya Tshs 520BL zaidi ya 80% ya bajeti nzima ya...
HOJA HII DHIDI YA SHAKA NI UPUUZI
Na Bollen Ngetti
RAIS SSH katika kukwamua uchumi uliodorora kufuatia janga la Covid-19 na matumizi ya hovyo ya Fedha za umma ametafuta na kupata 1.3 Trilioni kutoka IMF.
Fedha ambayo ameelekeza kutumika hapa hapa nchini kwenye miradi ya maendeleo na hivyo...
Nimefurahishwa sana na viongozi hawa kujitokeza na kuwa wawazi kwa yale yaliyojiri katika awamu ya iliyopita
Ni ukweli japo mchungu kwa baadhi yetu
Sisi kama Taifa kuna mahali tulikua tunaelekea kupoteza dira na umoja wetu
Ukabila na ukanda zikawa ndio qualities (sifa) za MTU kuwa viongozi...
Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa kupewa nafasi hata nusu saa au dakika kumi hata saa kuongea na rais SSH, ungemwambia nini cha mno au...
Habari njema ni kwamba mikoa yote Bara na Visiwani kupatiwa mashine moja mpya ya Scan CT || Rais Samia Suluhu Hassan anaongeza mashine mpya 29 toka mashine mbili zilizokuwepo tangu uhuru|
===
Tangu Tanganyika ipate uhuru na tangu iwe JMT imefanikiwa kupata mashine mbili ( 2 ) tu za Scan za CT...
Maajabu ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Tanzania imeagiza Jumla ya ambulance mpya 395 na magari mapya 214 kwa ajili ya chanjo kwa mpigo kitu ambacho hakijawahi kufanyika tangu tuwe huru kama Taifa,
===
Mtakumbuka awamu ya tano kwa miaka yote mitano tulifanikiwa kununua jumla ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akizindua kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo 10 Oktoba 2021.
Fuatilia matangazo hapa
Dondoo ujio wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.