Nawatakia Watanzania wote Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya. Tusherehekee kwa furaha, amani, utulivu na kiasi. Tuendelee kuwa wamoja katika mwaka 2022, tukifanya kazi kwa weledi wa hali ya juu, kwa uzalendo na kwa nidhamu, ili tuendelee kupiga hatua mbele zaidi kimaendeleo.
Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora. Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala, tulichelewe sana kumuona huyu mama, zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu kama huyu
Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo...
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
===
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa juhudi inazochukua kupambana na ugonjwa wa Uviko-19 ambazo zimezaa matunda kufuatia uwepo wa visa vichache vya ugonjwa huo vilivyorekodiwa wimbi lililopita.
Mhe. Hess amesema Serikali ya Ujerumani...
15 December 2021
Dodoma, Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akemea fujo na vurugu za vyama vya kisiasa
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Disemba 15, 2021 amefungua mkutano wa wadau wa vyama vya siasa nchini ambao unalenga kujadili hali ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna kasumba ya Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC) kutoa kipaumbele kwa wawekezaji wa nje na kuweka urasimu mwingi kwa wawekezaji wa ndani.
Amesema hayo alipokuwa akizindua kiwanda cha Faddy Fiber wilayani Mkuranga ambacho ni cha nne kwa ukubwa Afrika, na...
===
EU imemmwagia sifa kedekede Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania hasa kwenye Covid-19
EU inasema hali ya hewa kisiasa na Asasi za kiraia ni nzuri na imetengemaa na kila kitu kinakwenda vizuri nchi Tanzania,
EU imeahidi kuendelea kuifuatilia kwa karibu Tanzania na kuendelea kuisaidia...
Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la JMT
Kazi iendelee!
Kwa jinsi awamu ya sita toka imeingia madarakani takribani miezi nane sasa.
Rais SSH amedhihirisha utendaji wake wa kazi ni awamu ya pili, na tatu, combined.
RUKHSA (awamu ya pili)
Rais SSH amekuwa akisisitiza Mara nyingi kuifungua nchi...
Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza...
ajira
ccm
hana
hii
kauli
kudharau
makosa
makubwa
mkenda
msimamo
ndani
pabaya
prof. mkenda
profesa
raisraissamiasuluhu
uzalendo
viwanda
waziri wa kilimo
Tangu aape kuwa Rais wa sita wa Tanzania ni kama hajui kuwa ilani ya CCM inataka Tanzania iwe ya viwanda mpaka kufikia mwaka 2025 ili kuongeza ajira na uzalishaji nchini.
Kwa sasa umeme unasuasua na kuongeza gharama za uzalishaji je nani ataanzisha kiwanda?
Ameruhusu ungizwaji wa bidhaa holela...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo.
Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense'
Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda.
Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa...
KWANI WANAWAKE MPO WAPI?
Na Moh'd Majaliwa, Adv.
Kiasi imenistaajabisha na kunistua, sikuitarajia hali hii.
Kwenye makutano na mikusanyiko mingi ya maana na ya kipuuzi, wanawake nyie huwa wengi zaidi ya wanaume, yaani mmekuwa wepesi kuhamasika na kwa ajili hiyo kipimo cha jambo lako la...
Wakati akiingia madarakani, Rais wa awamu ya 6 alitambulisha kauli mbiu yake kuwa kazi iendelee bila kusema ni kazi ipi hiyo, je ni ile iliyofanywa na awamu ya 4 na kuja kusitishwa na awamu ya 5 au ni ile iliyofanywa na awamu ya 5 iendelezwe.
Kadiri muda unavyo kwenda nimeanza kuelewa ni kazi...
Rais Samia anafungua hotel ya kisasa mkoani Arusha iitwayo Gran Melia na tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten.
Karibuni sana.
=====
Rais Samia Suluhu amezindua rasmi hoteli ya kisasa ya nyota tano Gran Melia Arusha, huku akialika wawekezaji zaidi kwenye sekta ya Utalii nchini...
Mimi ni mkristu safi naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu Baba, Yesu kristu na Roho Mtakatifu,
Mungu wangu ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye,
Mungu wangu anataka imani tu na kila kitu kwako kitakuwa ni Ushindi na Pepo ni uhakika,
Uwepo...
Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo
Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao.
Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa.
Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua...
Balozi mstaafu, Patrick Tsere amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na kufanya mazungumzo na wadau wanaotaka Katiba mpya ili kupata mwafaka wa kitaifa.
Kauli ya Tsere, aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi imekuja wakati kukiwa na harakati mbalimbali za madai ya Katiba, huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.