Prof. Ahmed M. Ame ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA).
Amemteua Eliud Betri Sanga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Airtel Tanzania akichuku nafasi ya Gabriel Malata aliyeteuliwa kuwa Jaji.
Jaji Mstaafu Mathew...
Rais #YoweriMuseveni amepiga marufuku kusafiri nje ya Nchi na posho za ndani kwa Wabunge na Watumishi wa Umma ili kuokoa Fedha za kuendeleza sekta muhimu kama Mafuta na Gesi
Hata hivyo, Waziri wa Fedha, Matia Kasaija, amesema Serikali haiwezi kupiga marufuku safari zote nje ya Nchi kwasababu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za viongozi Serikalini Ikulu jijini Dares Salaam, leo tarehe 03 Januari, 2023.
Amesema “Mtakumbuka kuwa Novemba 2022, Bunge la Tanzania lilikuwa na mjadala mzito kidogo kuhusu matumizi ya fedha na...
Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania.
Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake...
ALIYOYAFANYA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Aliyoyafanikisha mwaka 2022.
Madarasa Mapya 15,000
Wanafunzi 907,802 Wajiunga Kidato cha Kwanza kwa Pamoja
Ada Kidato cha 5 & 6 Yafutwa, Elimu Bure Msingi hadi Sekondari
Nyongeza ya...
Mkimaliza Kuzideki hizo Barabara za Mkoa wa Lindi (hasa za hapo Mjini) kabla ya Ziara ya Rais Dk. Samia hakikisheni hamsahau pia na Kudeki Akili zenu ambazo yawezekana kutokana na Kuchafuka ndiyo zinastahili Kudekiwa zaidi ili zisafishike hata kuliko hizo Barabara.
Kwa anayetaka kuona Waziri...
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa maagizo tisa katika ziara yake mkoani Manyara ikiwemo kusisitiza kwamba
1. Serikali itaendelea kukopa kwa lengo la kuchochea maendeleo ya haraka. na alisema kuwa maendeleo ni gharama na kuyafikia kunahitaji njia mbili ambazo ni kodi na mikopo hivyo alitutaka...
Uzinduzi wa maghala ya chakula si suluhishi ya kutatua matatizo yanayokumba nchi hivi sasa mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali ndiyo kitu pekee mama ambacho hivi sasa angekaa na viongozi wake nini wafanye kwa wananchi ili kupunguza ukali wa maisha.
Changamoto ya umeme na maji imekuwa shida...
Mama Samia ametoa mabilioni ya shilingi kujenga na kukarabati mashule kote nchini lakini watendaji wanamwangusha.
Kuna shule moja inaitwa SM Itilima Wilaya ya Kishapu Km 30 kutoka Shinyanga mjini ni aibu ukiiona na sijui mbunge au mkuu wa mkoa anijua majengo ya shule yamebomoka; nyumba za...
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.
DKT BASHIRU, SONGA MBELE
Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.
Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.
Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika Jumanne tarehe 22 Novemba, 2022 Dodoma.
Ndugu zangu pamoja na kusikitishwa Na maneno ya mh Dr Bashiru nilishindwa kuandika mawazo yangu mapema kutokana na kusumbuliwa na kioo Cha simu ambacho kinaweka ukungu na hivyo kuwa ngumu kuandika. Na nitakapokuwa nimekosea masuala ya herufi nisamehewe
Ndugu zangu maneno ya Dr Bashiru katibu...
UMATI UCHAGUZI WA CCM NI SALAMU ZA TSUNAMI 2024-2025.
Shaka asema idadi hiyo kubwa inatokana na uongozi bora wa Rais Samia,
Asisitiza uchaguzi wa mwaka huu umevunja rekodi kwa kuwa haijawahi kutokea
====
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema mwitikio mkubwa wa wanachama kujitokeza katika...
Maneno ya Rais Samia Suluhu ili kuhakikisha haki inatendeka “Naomba mkae na wadau wengine mwangalie uwezekano wa kurekebisha sheria za kuweka mtu mahabusu. Kwenye nchi nyingine, mtu hakamatwi mpaka upelelezi umetimia".
Rais Samia Suuhu amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo kwa kutoa ruzuku ya mbolea inayowapelekea wakulima kununua mbolea kwa nusu bei
Ahueni 4 kwa wakulima toka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu:
1. Kaondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mbolea ya ndani
2. Kaweka ruzuku kwenye...
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita.
Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali. Mambo haya yamekuwa yakilalamikiwa sana.
1: Uchumi wa Tanzania Umeporomoka. Laiti kama uongozi...
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini China, baada ya kufanya mazungumzo na mwenzake wa China Xi Jinping na kufikia makubaliano kadhaa, na kusaini mikataba 15 ya utekelezaji wa hatua za ushirikiano. Ziara hii imetajwa kuwa ni ziara yenye mafanikio makubwa, na...
Ilikuwa rahisi zaidi Rais angetutangazia idadi yetu, kwa kulihutubia taifa, na Dunia nzima kupitia vyombo vya habari.Na tungeelewa bila kuharibu mapesa ya walipa kodi.
Badala Kutumia Mamilioni kama sio mabilioni, eti kisa Sherehe ya kutangaza Matokeo ya Sensa,Ni ubadhirifu mkubwa kwa pesa za...
Hiki kinachoendelea kimyakimya ni mchakato wa kuturudisha kuleee miaka ilee ya 2005, 2006, 2007...... miaka ambayo Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla ilikua imepambwa na mikokoteni ilishosheheni madumu ya korie yaliyobeba maji na magari yenye matank ya maji kila kona.
Kwa kasi ya ajabu...
Hii ndio Taarifa mpya ya leo ya Gazeti la Raia Mwema
Kwamba kutokana na kuvuja kwa Taarifa nyingi kuhusu unyama uliotendwa kwenye kilichoitwa Plea Bargain, iliyosimamiwa kikamilifu na DPP wa wakati ule aliyeitwa Biswalo Mganga.
Wadau wamemkumbusha Mh Rais kuhusu Makando kando ya Mtu huyo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.