Ni siku 565 tangu Rais Samia Suluhu aingie madaraki, na Serikali yake imekuwa mstari wa mbele katika kuimarisha uhusiano wake na asasi za kiraia nchini katika kutambua mchango wa asasi hizo katika ujenzi wa Taifa.
Kupitia Mwenyekiti wa Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali, Mwantumu Mahiza...
Tatizo la nguvu za kiume na mwili kwa Dar es Salaam chanzo chake ni stress na lishe duni. Vijana wengi wanakula mlo mmoja.
Si ajabu kwa kukuta watoto wa kiume wana vidonda vya tumbo pale Dar. Maana yake mlo hafifu. Sasa mama badala ya kuwasaidia vijana kwa kuboresha hali zao ili waweze kujikimu...
Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama.
Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje? Lakini kwa uwezo wa Mungu na utendaji kazi wake kwa kuzingatia maadili na uongozi bora, Rais Samia...
Amani
Rais Samia alisema amani iliyopo kati ya nchi hizo, inatokana na vyama vilivyopo madarakani hivyo aliomba tunu hiyo ilindwe.
“Sasa ili tuendelee kudumu madarakani lazima tuje na fikra mpya, tujifunze kwa vyama vilivyoondolewa madarakani…amani na utulivu ni matokeo ya vyama vyetu kuendelea...
Serikali ya Rais Samia Suluhu iliwekeza kiasi cha TZS 157.8bn/- mnamo mwaka 2021 kwa lengo la kuboresha uwezo wa bandari ya Mtwara ikiwamo kuongeza kina cha bahari ili iweze kupokea meli zinazoweza kubeba shehena kubwa zaidi za mizigo.
Baada ya ujenzi huo kukamilika mapema mwaka huu, bandari...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa mstari wa mbele kutekeleza kwa vitendo dhana halisi ya demokrasia hususan katika tafsiri ya demokrasia kuwa ni nguzo ya kisiasa inayoendesha serikali ya kidemokrasia.
Amekuwa kiongozi msikivu aliyekuja na mbinu mbadala ya...
Sabato Njema!
Tangu Rais arithi kiti cha Urais mwaka Jana hajapumzika wala sijasikia Kama alipata likizo. Anachapa kazi, Leo yupo huku kesho yupo Kule. Anachapa kazi.
Lakini licha ya jitihada zake zote katika kulitumikia taifa hili bado Wananchi hawamuelewi.
Hii inasababishwa na nini? Kuna...
Kuna Walimu wanamiaka miwili wengine zaidi wanajitolea kwenye shule za umma, wamepewa mpaka vipindi kabisa na wanafanya kazi hawana tofauti na waajiriwa.
Mamlaka ya Bandari (TPA) imefanya upembuzi wa mifumo yake ili kushughulikia hoja za Mdhibiti wa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/21 ya kuwa mifumo inasomana na hivyo kudhibiti upotevu wa mapato.
Vilevile, imebainisha kuwa kipindi cha kuanzia Julai 2021 hadi Juni 2022...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara mkoani Tanga, siku ya Jumapili Agosti 14 Mwaka huu.
Katika ziara yake mkoani Tanga Rais Samia Suluhu anatarajiwa kuzindua Chuo cha Jeshi la uhamiaji cha Taifa pamoja na kufunga mafunzo ya askari 818 wa Jeshi...
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima.
Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima.
Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
Tanzania kama ilivyo baadhi ya mataifa, imejaliwa kuwa na vivutio mbalimbali vya utalii ikiwemo Hifadhi ya Ngorongoro ambayo inatajwa kuwa miongoni mwa zilizo katika maajabu saba ya dunia kwa kuwa na wanyama adimu duniani.
Filamu ya Royal Tour inaonesha vivutio vya utalii vilivyoko Tanzania...
Tanzania ina eneo linalofaa kwa kilimo Hekta milioni 44 na linalofaa kwa umwagiliaji Hekta milioni 29, mpaka sasa zaidi ya 60% ya watanzania wameajiriwa katika kilimo. Biashara ya kilimo katika soko la Afrika inatarajiwa kuwa na Dola Trilioni 1 hadi kufika mwaka 2030. Mapinduzi yanayofanywa na...
Haya ni baadhi ya mambo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan;
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi sana likiwemo lile la elimu bure kutoka primary mpaka advance pia amesema kwa wanafunzi wa kidato cha sita watakao faulu vizuri masomo ya sayansi watapata ufadhili wa...
Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani, amemteua Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dr. Raphaeli Chegeni.
Pia Soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson...
Rais Samia Suluhu anaendelea kuwaaamini wanawake kwa kuwateua katika nafasi za uongozi, ili kuleta usawa wa jinsia katika kutoa uamuzi.
Kitendo cha kuongeza idadi ya wanawake katika uteuzi wa wakuu wa mikoa na makatibu tawala, ni uthibitisho kuwa Rais anatoa fursa .
Ili kuendelea kuaminiwa na...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuzalisha umeme Megawati 6000 hadi ifikapo mwaka 2025. Nishati hiyo itakuwa mchanganyiko endapo itazishwa na rasilimali tofati kama vile maji, upepo, jua na hojo ardhi.
Katika kufanikisha hili kufikia azma hiyo, kupita...
Kafulila amshukuru Rais Samia, awaaga wananchi wa Simiyu
Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kumpa nafasi ya kulitumikia taifa.
Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.