Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!
Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda...
Wakuu,
Leo akiwa anazungumza, Rais Samia amesema kuwa kuna wale wafanyabiashara ambao wakitakiwa kutoa kodi wanasema kuna maelekezo kutoka juu.
Rais Samia amesema kuwa kwa Tanzania, uongozi wa juu kwenye serikali ya Tanzania ni nafasi ya Rais na kwa kuwa yeye ndio Rais amesema wazi kuwa...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye hafla ya utoaji tuzo, Rais Samia ametangaza kwamba kwanzia mwaka kesho tuzo hizo hazitakuwa chini ya TRA lakini zitakuwa chini ya Rais.
Rais Samia amesema kuwa lengo la kufanya hivyo ni kuzipa tuzo hizo hadhi kubwa zaidi
Wakuu,
Rais Samia ashiriki halfa ya Utoaji Tuzo kwa Walipakodi wa Bora kwa Mwaka 2023/2024 leo Januari 23, 2025.
https://www.youtube.com/live/TG_FM-Bmau4?si=bv6zVfSuMokVe-uk
RAIS SAMIA
Akizungumza leo katika hafla ya utoaji wa tuzo, Rais Samia ametangaza kwamba kuanzia mwaka ujao, tuzo hizo...
Tumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa
Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi,
Kuna uzembe na rushwa sana
1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black Star kupewa uraia bila vigezo na kinyume cha Sheria
Uhamiaji mnafanya hivi Kwa faida ya nani? Hamjui...
Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa,
Samahani kwa kukuambia haya.
Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda.
Kama uliweza kuenda kumwona ubeligiji wakati amepigwa risasi ingawa jpm alipiga top,wewe ulienda ulionesha ubinadamu mkubwa sana...
Mimi nina kadi ya muda mrefu.
Marekani nchi iliyoendelea kuliko zote duniani, nchi ambayo mwanaume anaweza kubadili jinsia, akakimbia mke na watoto na jamii ikamkubali.
Nchi hii kwa mara ya pili mfululizo imekataa kuwa na rais mwanamke. Wameona bora shetani kuliko mwanamke mara zote mbili...
https://www.youtube.com/watch?v=tjFWwo6VAx8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, DKt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 22 Januari, 2025.
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino...
Moja kati ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu ni uwezo wa kusikiliza kila mtu na uwezo wa kuvumilia mambo mengi.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Msikivu na Mvumilivu.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
Kwa kweli Rais anastahili pongezi kuliokoa taifa hili. Kipindi kile upinzani ulikuwa kama uko ukimbizini. Jamaa alikuwa katili zodi ya Adolf Hitler.
Nakumbuka mpaka akina Boni Yai walivuliwa Umeya kibabe kisa wapo upinzani ili wasalende. Hata Mwita naye akavuliwa kibabe Umeya kisa yupo CHADEMA...
Enzi ya awamu ya tano, aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm John Magufuli, walinzi wake walikuwa wakivaa sare za chama hiko kwenye mikutani na shughuli za chama hiko.
Lakini kwasasa ni tofauti, kwa siku mbili mtawalia, sikuona walinzi wa Samia wakiwa na sare za chama, je mambo yamerudi kwenye...
Mbunge wa Bumbuli Mh January Makamba ampongeza Rais Samia Kwa kuchaguliwa na Mkutano mkuu wa CCM kuwa mgombea uRais
Makamba amesema uteuzi huu utasaidia kuanza mipango ya Kampeni mapema
Soma Pia: Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Pongezi amezitoa...
Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia.
Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi.
Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
Rais Samia akitoa taarifa kwa Mkurugenzi mkuu wa WHO jijini Dodoma amesema kuwa mmonjwa mmoja amekutwa na ugonjwa huo kutoka mkoa wa Kagera na wengine 25 waliopimwa baada ya kushukiwa hawakukutwa nao.
Amesema serikali inaenelea kufaya uchunguzi zaidi.
https://www.youtube.com/watch?v=Atn0fKyOmu4
Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Afrika Duniani Dkt Tedros .ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na...
Wadau hamjamboni nyote?
Umewashtua na kuwashangaza pakubwa mno wamebaki wasijue nini kimetokea na nini wafanye
You took them by surprise very much unprepared!
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Never ever understand Samia suluhu Hassan, never underestimate the power of a woman.
Samia judging...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM ndio habari ya Mjini, Rais Samia ndiye Habari ya Dunia na Tanzania ndio inayovuma Dunia Kwote.
Kwa Sasa habari inayovuma na kuteka mijadala mitaani na Dunia nzima kwa ujumla wake ni juu ya uteuzi wa Rais Samia kuwa Mgombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu...
𝐃𝐊𝐓 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐓𝐎𝐀 𝐓𝐀𝐇𝐀𝐃𝐇𝐀𝐑𝐈 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐓𝐔𝐌𝐈𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐀𝐊𝐈𝐋𝐈 𝐌𝐍𝐄𝐌𝐁A 𝐊𝐈𝐏𝐈𝐍𝐃𝐈 𝐂𝐇𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wana CCM kuhusu matumizi ya akili Mnemba, akisema kuwa inaweza kutumika vyema au kutumika vibaya kueneza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.