Wakuu,
Huyu Nchimbi na mgombea mwenza wa Samia ni ndugu au majina tu?
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
Hii inatoa picha Gani kwa taifa? Je kitendo kilichofanyika ni kitendo Cha kiungwana?
Mkuu wa mkoa anapata wapi ujasiri wa kuzungumza hadharani kuwa mama mjamzito akakatwe kisu na mumewe nyumbani?
Anapata wapi mandatory ya kuzungumzia rushwa hadharani?
Kwanini Rais ambaye ni mfariji namba...
Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kushindana na yeyote yule na ukafanikiwa kushinda vita yako. Lakini kamwe huwezi kushindana na mtu ambaye anapiganiwa,kutetewa na kulindwa na Mungu. Huwezi kushindana na mtu mwenye kibali na aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe. Huwezi kushindana na Mtu aliye na Mungu...
Tatizo la nchi yetu ni viongozi wengi ni wabinafsi nilishangaa kwa utamaduni mfano wa kuwajengea wa Raisi wastaafu mahekalu kwa pesa ya walipa kodi na kulipa wenza wao wakati hii sio kazi ya kulazimishwa.
Rais Samia anatakiwa aweke nchi mbele mwenzake Ruto pamoja na tofauti kubwa ya Odinga...
Mimi si muumini wa siasa za CCM, nilichukizwa zaidi na CCM ya Magufuli kuliko utawala wowote ule.
•Mambo ya watu kuishi kwa kutegemea uchawa Tanzania tulikuwa hatuyajui lakini kwenye utawala wa
Magufuli ndipo uchawa ulipokuwa ajira rasmi. Kulikuwa na watu wao kazi yao asubuhi mpaka usiku ni...
Huyu ni Rais wa 6 Tangu Tanganyika ilipoungana na Zanzibar na kuunda nchi mpya Tanzania.
Marais 5 waliopita wote walizaliwa na huyu wa Sasa alivyozaliwa. Lakini hatujawahi kuona sherehe za kuzaliwa kiongozi zinageuzwa sherehe za kitaifa.
Naziita za kitaifa Kwa sababu zimepangwa kimikoa Kila...
Tanzania inakuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe kwa siku mbili 27-28 Januari, 2025.
Mkutano huu unaandaliwa kwa pamoja baina ya Serikali ya Tanzania, Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya...
Wakuu
Rais Samia akiongea kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika leo Januari 28,2025 Jijini Dar es salaam.
"Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati, kupitia mpango wetu tunatarajia kuongeza kasi ya kuunganisha umeme nchini hadi kufikia...
Wakuu,
Hapa, watangazaji wa Crown FM wanadhihirisha jinsi ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vimesahau wajibu wao wa msingi na kugeuka kuwa vyombo vya matumizi ya kisiasa.
Soma: Wasafi, Clouds na Kitenge ni matambara ya kudekia ya CCM, kusafisha matapishi na uchafu wote unaomwagwa mbele yao...
https://www.youtube.com/live/NFDVUW-lXwg
Rais Samia: Utegemezi wa kuni na mkaa ni 90%, kufikia 2034 tunatarajia matumizi ya nishati safi yafikie 80%
Akizungumza katika uzinduzi wa mpango wa Kitaifa kuhusu Nishati akiwa kwenye Mkutano Nishati wa wakuu wa Nchi za Afrika, Rais wa Jamhuri ya...
Ushauri wangu kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia ampe tena kazi Prof Anna Tibaijuka kwasababu ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi akili kubwa kama hii isistaafu mapema
Prof Tibaijuka ana uwezo mkubwa sana wa masuala ya utumishi vilevile anaweza kuwa kama mama mwenye busara
Kwa miaka...
Huwezi kunikuta hata siku moja nikisema Asante Samia kwa kujenga hospitali, au barabara au shule.
Hata siku moja huwezi kuniona nikisema asante Samia kwa kupeleka maji sehemu ya Tanzania au umeme.
Haya ni majukumu ya msingi ambayo Serikali yeyote inapaswa kuyafanya na Wananchi hawapaswi...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Halmashauri ya Mji Kibaha iliyopo Mkoani Pwani kupandishwa hadhi na kuwa Manispaa.
Uamuzi huo umetangazwa leo Januari 27 na Waziri wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amejikuta akishindwa kujizuia hisia zake za furaha na shukurani kwa Wanachama na viongozi wa CCM kwa Upendo wao Mkubwa walio uonyesha katika siku ya Leo .Ambayo ni...
Wajasiriamali zaidi ya 200 wanaouza Chakula katika Soko la Mandela Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wamekabidhiwa majiko ya gesi yatakayowawezesha kufanya shughuli zao kwa urahisi.
Majiko hayo yamekabidhiwa na Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga Nyakia Ally kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Ndio hivyo..!😎
Katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia, Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) mkoa wa Iringa imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Ulemavu na usonji wanaosoma katika Shule ya Msingi Sabasaba iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na kuhimiza wazazi...
Leo umechezwa mchezo wa Fainali wa Bonanza la Kumbukizi ya Kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia katika dimba la Nelson Mandela Wilayani Sumbawanga ukizikutanisha timu ya Suluhu Academy kutoka Kizimkazi Zanzibar na Dew Drop kutoka Sumbawanga.
Soma Pia: Wanafunzi wa Rukwa...
Wanajukwaa mambo kama yanaendelea kunoga!
Maana uchawa huu sasa ni balaa, unaambukizwa hadi kwa watoto kwa lazima sana Cute Wife unalipi la kusema hapa?
=====================
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Rukwa (Rukwa Girls Secondary School) wakimtakia heri ya...
Wakuu,
Sijaelewa hapa, huko Chamwino ndio mpaka wanafunzi nae wameingizwa kwenye zoezi hilo la kumtakia heri Rais Samia kwenye siku yake ya kuzaliwa. Hii inakuaje mpaka kukatisha ratiba ya siku ya wanafunzi?
====
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Janeth Mayanja leo Januari 27, 2025...
Baada ya Rais Samia kupitishwa na wajumbe wa Ccm kuwa mgombea Urais 2025 ambapo kimsingi walifanya maamuzi ayo bila kufata katiba ya Ccm Kwa Kuwa Mgombea aliyepitushwa kwa mijibu wa katiba ya Ccm alitakiwa kuchukua fomu ya kugombea kisha vikao vimjadili na kupitisha jina lake, mtindio huu pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.