Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufungua fursa zaidi za ajira kwa watanzania nje ya nchi.
Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema serikali...
Wakuu,
Naona sasa hivi habari ya mjini ni kuwa chawa tu, mambo ya maana wanaweka pembeni utafikiri kwenye vichwa wamejaza kamasi pekee, ni huzuni!
=====
Khadija Mwanamboka kuipeleka Samia Fashion Festival Zanzibar.
Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi...
Rais Samia anashiriki Sherehe za Kamisheni na Maafisa Wanafunzi Kundk la 05/21 BMS na Kundi la 71/23 - Regular
https://www.youtube.com/live/uuq-aF1HXbY?si=OQc1YOXG3AfhD2Ou
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza wananchi kwenye mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile yanayotarajiwa kufanyika Disemba pili, jimboni kwake Kigamboni Dar es Salaam.
Mwili wa marehemu Dkt...
Rais Samia amewapongeza wakazi wa Mkoa wa Arusha wakiwemo Viongozi wa dini na wadau wa Utalii kwa kuendelea kutunza Amani na utulivu, suala ambalo limechangia Ongezeko kubwa la idadi ya watalii pamoja na mikutano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa.
Rais Samia ametoa pongezi hizo leo Jumatano...
Ona namna shule, madaraja barabara na shule pia hospitali zinavyojengwa .
Je ni Mtanzania gani angechagua upinzani?
Hii ndio sababu ya wagombea CCM kupita bila kupingwa kwa asilimia 90.
Taasisi ya Aunty Rich Soso Pembe Foundation imefanya ziara kwenye Jiji la Arusha kwa lengo la kumuunga mkono Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo makubwa anayoyafanya hasa kupitia Royal Tour.
Ziara hiyo...
Tazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyopokewa kwa dua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KΙΑ).
Rais Samia anaelekea mkoani Arusha ambapo kesho anatarajiwa kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli na Novemba 30 atashiriki mkutano wa...
Wanabodi,
Tofauti na muonekano wa wengi, nina dhubutu kusema kwamba miradi ya kimkakati ya serikali, ina mchango mdogo sana kwenye kukuza uchumi wa nchi na kuleta maendeleo ya kudumu. Sio jambo ngeni Kwa nchi ya Tanzania kuhusishwa na umasikini duniani na kwasababu hiyo ni vyema kwa jambo hili...
Kura hizi ni mtindo wetu wa demokrasia, utamaduni wetu wa kisiasa…wasivunje amani yetu wakapige kura kwa maelewano na masanduku yanavyosema ndio hivyo matokeo yatoke..” Rais wa Tanzania – Dkt. Samia Suluhu Hassan.
SOMA PIA: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni tayari kwa kupiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali za Mitaa katika kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 27 Novemba, 2024.
===
Samia amepiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali...
Wakuu,
Tunasubiri igizo la kupanga foleni wakati kwenye misafara tunakaa masaa matatu kumpisha :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Kutoka Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma Leo Novemba 27, 2024 katika kituo cha kupiga kura za uchaguzi za Serikali za Mitaa baadhi ya wakazi wa eneo Hilo...
Wakuu,
Mkuu wa UVCCM Taifa Jokate Mwegelo amesema Rais Samia ameuthibitishia Ulimwengu kwamba Tanzania ina demokrasia kwasababu hadi sasa hakuna machafuko yaliyotokea kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vyama vingi vinashikiri ambapo amewataka pia Vijana ku kutothubutu kujiingiza katika...
Wakuu,
https://www.youtube.com/live/1BGbDsl2-Vw?si=VNit5q0r1ZwBNF1J
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ndugu Wananchi...
Aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mary Mwanjelwa amemwaga sifa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan juu ya mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri.
Mwanjelwa amesema hayo wakati wa mkutano wa kampeni...
Wanabodi
Huu ni ujumbe kwa wote waliopokea ujumbe huu siku ya leo
“Habari Ndg. PASCAL ANDREW MAYALLA,
Mimi Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT.
Kwa heshima napenda kukumbusha kesho tarehe 27 Novemba, 2024 kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema wamejipanga kudumisha amani na utulivu kesho katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, huku likitahadharisha wanaotaka kuuvuruga.
Misime amesema hayo leo Jumanne Novemba 26, 2024 kupitia video fupi iliyopakiwa katika mitandao ya kijamii ya...
Juzi hapa kulifanyika tamasha la Landrover. Mkuu wa mkoa wa Arusha akapigia debe kwelikweli jambo hilo. Akatumia resources za ofisi ya umma ikiwemo wakati kupigia promo jambo hilo. Lakini hayo yakifanyika, bila shaka anatambua wazi kuwa anapigia debe kampuni ya magari ya Landrover. Hasa...
Lakini pia niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na kamwe msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini, wanadamu ni wanadamu hatujazaliwa tumbo moja na hata wanaozaliwa tumbo moja wanatofautaiana…”- Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.