Mwisho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ndio mwanzo wa uchaguzi mkuu na hapa nazungumzia wa 2025 ambao tuna Imani mgombea wa CCM atakuwa ni Dkt. Samia Suluhu, Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Binafsi ,ninaamini Rais ni mbeba maono na mzalendo wa kweli ndio maana nitafurahi kama...
Serikali imetenga zaidi ya shilingi Bilioni 3 kurasimisha makazi ya wananchi katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Katika kukamilisha zoezi hilo, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhakikisha...
Wakuu,
Rais Samia Suluhu Hassan siku ya leo ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji, na Halmashauri ya Mji wa Geita kuwa Manispaa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, alitoa...
Hongera CDM kwa kuonesha upeo mkubwa wa ki-demokrasia kwa kuwa na mfumo unaoruhusu wanachama kugombea vyeo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uenyekiti wa chama.
Huwezi kusikia mwanachama wa CCM anatangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya mwenyekiti aliyepo madarakani.
Chadema...
Hayo ndio maelezo ya Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa akirejea maamuzi ya Rais Samia.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipandisha hadhi...
Rais Samia alipoingia madarakani, kutokana na yale aliyoweza kuyatenda mwanzoni, alisifiwa, alipendwa na kuungwa mkono na watanzania wengi wenye akili timamu wenye mapenzi mema kwa Taifa:
1) Alifuta kesi za kuwabambikia wapinzani
2) Mara kadhaa alikemea vitendo vya kishetani vilivyokuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiwa kiongozi Mkubwa na wa cheo kikubwa kama kuwa Mkuu wa Mkoa yaani Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na kiongozi mwenye Ndoto ya kuja kuwa kiongozi Mkubwa siku za usoni .
Siyo Vyema sana kuelemewa na hisia mpaka kufikia hatua ya kulia na kutoa au...
Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania TIC bwana Gerald Teri amesema sera Bora na nzuri za Uchumi na Biashara zilizoasisiwa na Rais Samia zimefanikisha kuvutia uwekezaji wa mtaji (FDI) wenye thamani ya $7.7 bln Kwa mwaka 2024.
Bwana Teri amesema Hilo ni ongezeko la zaidi ya mara 3 kutoka...
Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt...
Wakuu,
Kama ulikuwa unajiuliza kwanini Kabudi amechaguliwa kwenye Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo hivi leo Rais Samia ametoa sababu ya kumchagua Kabudi kwenye nafasi hiyo.
Rais Samia akiwa anawaapisha viongozi wapya leo, amesema kuwa ameipitia CV ya Kabudi na ameona kuwa yeye ni...
Wakuu,
Akiwa anaapisha Mawaziri wapya siku ya leo, Rais Samia amemsifia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kusema kuwa amefanya kazi katika Wizara hiyo.
Samia amedokeza kuwa pamoja na kukaa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa muda mfupi lakini MasauI amefanya kazi kubwa...
Wakuu,
Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo tarehe 10 Disemba, 2024.
Akiwa anazungumza katika uapisho wa mawaziri, Rais Samia amedokeza kuwa ni viongozi tu ndo wamebadilishiwa majukumu lakini serikali ni ile ile.
Pia Rais Samia alitumia hotuba yake...
Mh. Lissu wewe mwenyewe unaelewa kuwa ukiwa mwenyekiti wa chama inakunyima nafasi ya kuwa mgombea nafasi ya Urais. Wafuasi wengi hawaelewi hilo. Ombi langu kwako, badili upepo wa kisiasa ndani ya chama na nje.
Mkakati uwe ni kufanya mambo ya ustawi zaidi za jamii. Watanzania ni werevu sana na...
1. Mkataba wa DP World.
2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro.
3. Utekaji na mauaji.
4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama.
5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo:
Soma Pia: Rais Samia afanya uteuzi: Masauni aondolewa...
MIAKA 63 YA UHURU WA TANGANYIKA: Katika kuadhimisha sherehe hiyo, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Disemba 09, 2024 ametoa msamaha kwa wafungwa 1548, ambapo wafungwa 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024, na 1526 wanabaki...
Wakuu,
Mambo yameendelea kukorogeka huko Arusha.
Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024 wakati wa maadhimisho ya miaka 63 ya uhuru wa Tanganyika.
"Mimi ninawaambia katika nchi hii ya...
Wakati kwao wewe linaweza kuwa jambo la kawaida kuona Shule zikiwa karibu yako, kwa wakazi wa kata ya Nyamagoma shule ya Sekondari ilikuwa inapatikana umbali wa zaidi ya Kilomita 40 ambazo watoto walilazimika kuzitembea kila siku kuitafuta ndoto yao ya maisha ya baadaye.
Katika eneo lenye...
Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala.
“Nimechunguza, Nimetafiti, Nimetafakari, Nimelingalisha, Nimetofautisha, Nimejiridhisha na kutoka na hitimisho kuwa Tanzania iko salama mikononi mwa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.