rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone mwamba

    Waziri Aweso atii agizo la Rais Samia, afika Kwamsisi Tanga

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amefika kijiji cha Kwamsisi kilichopo katika kata ya Kwamsisi, wilayani Handeni mkoani Tanga kujionea hali ya upatikanaji wa maji katika eneo hilo na changamoto iliyobainika kutokana na video iliyochapishwa katika ukurasa wa Instagram wa mtangazaji Mbarouk Khan...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 RC Simiyu afanya matembezi ya kumuombea Rais Samia na Taifa. Chawa kazini kujihakikishia nafasi!

    Wakuu, Harakati za kujikomba na kulamba miguu zinazidi kupamba moto. Kenani Kihongosi ameongoza kupe wenzake kumuombea Rais Samia, taifa liwe na baraka tele. Ni mwendo wa kujiweka karibu na Rais na kusikika kadri iwezekanavyo ili usisahaulike kwenye ufalme wa bwana, teh teh ufalme wa mama😂😂...
  3. Bams

    Hotuba Ya Mbowe Ilikiwa ya kumpamba Rais Samia dhidi ya Hayati Magufuli

    Jana, Mbowe kwenye hotuba yake, alitumia muda mwingi kuzungumzia maridhiano. Na yeye mwenyewe alisema kuwa angetumia muda mrefu kuongelea maridhiano. Kwa hotuba ile ya Mbowe, ni dhahiri chini ya uongozi wake, CHADEMA itakuwa chama rafiki wa CCM ya Samia, na mwanachama yeyote atakayekuwa...
  4. J

    Mchungaji Msigwa: Tumekubaliana CCM iendelee kuongoza Tena na tena, hatutabadilisha General Katikati ya Mapambano makali ya Maadui!

    Mchungaji Msigwa ametangaza kwamba makubaliano yameshafikiwa kwamba CCM iendelee kuongoza na Jemedari hatabadilishwa katikati ya Vita hivyo Mpendwa wetu Mh Rais Samia ataendelea hadi 2030 bila figisu za yoyote Mchungaji Msigwa amebandika Taarifa Ukurasani kwake X Ahsanteni sana...
  5. Cute Wife

    Pre GE2025 Simiyu: CCM Busega wachanga pesa kwaajili Rais Samia na Mbunge kuchukua fomu ya kugombea 2025, wengine watoa ng'ombe

    Wakuu, Wanachi Simiyu wamejichanga changa kwa mwenye mia tano, buku na zaidi na kufikisha Tsh. 553,000/- kwaajili ya mbunge na Rais Samia kuchukua fomu kwaajili ya uchaguzi 2025! Hayo yamejiri Busega, Simiyu leo December 22, 2024 ambako Waziri Majaliwa alikuwa mgeni Rasmi katika mkutano wa...
  6. Mkalukungone mwamba

    Waziri Aweso amshukuru Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa wa fedha katika sekta ya maji katika Jiji la Mwanza

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa fedha katika sekta ya maji katika Jiji la Mwanza kwani miradi mingi inaendelea na ikikamilika changamoto ya maji itategemewa kubaki historia. Waziri Aweso ameyasema hayo...
  7. M

    Hongera Rais Samia kwa kuona nguvu ya maridhiano

    Nguvu ya maridhiano ya kisiasa katika uongozi wa nchi ni kubwa na inaleta mabadiliko chanya. Ina jukumu muhimu katika kukuza umoja wa kitaifa, kuleta utulivu wa kiutawala, kiusalama, kuwezesha na kutoa nafasi ya Nchi kufanya shughuli za maendeleo hata kufikia maendeleo endelevu. Hii ndio...
  8. figganigga

    Ezekiah Wenje: Abdul Mtoto wa Rais Samia ni Muungwana sana hadi alikubali kwenda Tegeta kwa Lissu...

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu. Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili...
  9. R

    Wenje amjibu LISU suala la kumpeleka Abdul mtto wa rais Samia kumhonga Lisu

    SIKILIZA MAHJIANO HA NYANDA https://www.youtube.com/watch?v=EDJ1hIdH5GE
  10. L

    Kuna uwezekano mkubwa Rais Samia akapita bila kupingwa uchaguzi wa mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Dalili zote zinaonyesha wazi kabisa Kuwa Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atapita bila kupingwa uchaguzi wa Hapo Mwakani. Hii ni kwa kuwa inaonyesha vyama vya Upinzani hususani CHADEMA kukosa mgombea...
  11. Burure

    Rais Samia alikuwa sahihi kuhusu mahitaji ya Kabisa Mpya

    Ukiangalia mambo ya kisiasa yanayoendelea hapa nchini nafikiri utakubaliana na Rais Samia kuwa waTanganyika hawahitaji KATIBA MPYA Wanachotaka ni kuwepo kwa Uhakika wa chakula uwepo wa ajira pamoja na gharama za maisha kuwa chini... Wengi wao wanaotaka katiba mpya ni wale waliopo kwenye siasa...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia amteua Wilbert Haji kuwa Mkurugenzi wa NIDA

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bw. James Wilbert Kaji...
  13. Alex Muuza Maembe

    PUBLIC RELATIONS: Rais Samia anaweza kutumia busara tu. Ijumaa (December 27, 2024) iwe siku ya mapumziko.

    Kwa kuwa Xmas ni Jumatano na Boxing Day ni Alhamisi, Rais Samia anaweza kutumia busara tu ya ukuu wa nchi Kwa kusema tu, Ijumaa watu wapumzike na kazi zianze rasmi Jumatatu ya December 30. Hata kama sikuu ya Idd mosi ikiangukia Jumatano na Idd Pili Alhamisi, still Ijumaa watu wanaweza...
  14. The Palm Beach

    Askofu Mwanamapinduzi: Hezekia Wenje ndie alikuwa wakala wa Abdul kumpelekea rushwa Tundu Lissu nyumbani kwake

    Courtesy: MwanaHalisi Online TV Duuh, sasa mambo yameanza kufumuka na kunoga. Siri siyo siri tena... Wote tunakumbuka tuhuma za Tundu Lissu kwa mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul kwenda nyumbani kwake mwanzoni mwa mwaka huu 2024 kumshawishi apunguze kasi ya mashambulizi dhidi ya...
  15. L

    Rais Samia awa gumzo Duniani. Ripoti ya uchumi Duniani yaipa Tanzania ya Rais Samia Alama B+ ukuaji wa Uchumi

    Ndugu zangu Watanzania, DUNIA inaendelea kuchangazwa na Maajabu yanayoendelea kufanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Katika kukuza na kuupaisha Uchumi wa Tanzania utafikiri ndege za kivita. Rais Samia anaendelea kuteka...
  16. Ojuolegbha

    Mama mwenye watoto mapacha walioungana kifua, amshukuru Rais Samia kwa kumgharamia matibabu

    AHSANTE RAIS SAMIA Huyu ni Hadija Shaban Omar, mama mwenye watoto mapacha walioungana kifua, tumbo na nyonga wenye umri wa miaka Mitatu anapenda kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumgharamia kipindi cha miaka mwaka mmoja wallivyokuwa wanapata...
  17. K

    Ripoti ya Uchumi Duniani yaonyesha matokeo makubwa Uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

    Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR). Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Sera...
  18. Waufukweni

    Rais Samia awapongeza Simba kwa kuichapa CS Sfaxien, "Simba mnaendelea kutupa furaha"

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wake dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika Kombe la Shirikisho barani Afrika. Mechi hiyo imechezwa leo Jumapili Desemba 15, 2024 jijini Dar es Salaam ambapo Simba imeshinda kwa mabao 2-1. Pia, Soma: Full Time: Simba...
  19. Waufukweni

    Pre GE2025 Tundu Lissu: Uhusiano wa Mbowe na Serikali ya Rais Samia umetugharimu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi sababu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa na kutoa maoni yake kuhusu changamoto za kisiasa nchini. Lissu ameyasema hayo wakati wa mahojiano ya hivi karibuni na kituo cha habari cha...
  20. Cute Wife

    Pre GE2025 Steve Nyerere na kundi lake kutambuliwa kama "Protocol kutoka Ikulu" kwa Mwamposa ina maana gani? Steve ni 'Kitengo'?

    Wakuu, Sijaelewa hii, Steve anapewa heshima hivyo (japokuwa sijaelewa hii "Protocol kutoka Ikulu" inamaanisha nini) inamaa gani? Kwamba Steve ni nani mpaka anaongoza ujumbe toka Ikulu? Wajuvi mkuje hapa.
Back
Top Bottom