rais wa misri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais wa Misri Abdel Fattah atangaza kutokuongeza mhula wa kukaa madarakani pindi mda wake ukimalizika 2030

    Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi, amethibitisha kuwa muhula wake wa urais utamalizika rasmi mwaka 2030 na katiba haitabadilishwa ili kumuongezea muda. Akizungumza kwenye mahafali ya Chuo cha Jeshi katika Mji Mkuu Mpya wa Utawala, Sisi alisema suala hilo limeshaamuliwa na halitabadilika...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Rais wa Misri arejea nchini kwake mara baada ya kumaliza ziara nchini

    Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mheshimiwa Abdel Fattah El-Sisi, amehitimisha ziara yake ya Kitaifa ya siku moja nchini Tanzania Julai 18, 2026. Akiwa nchini Mhe. El-Sisi amekutana na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na kufanya mazungumzo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Misri Abdel Fattah El Sis kufanya ziara ya kikazi nchini Julai 18, 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anaendelea kuwa kiongozi Mwenye ushawishi na nguvu ya ushawishi Duniani kote. Anaendelea kuipaisha Tanzania katika anga za Kimataifa. Anaendelea kuiweka Tanzania kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…