rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

    Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni" Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu anawataka wampigie kura Rais Magufuli kwa sababu ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Askofu Gamanywa...
  2. JamiiForums Tanzania For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

    Wanabodi, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, ni keshokutwa tuu, siku ya Jumatano ijayo, kwa mazingira ya the political dynamics za siasa za nchi yetu, hali halisi ya uwanja wetu wa siasa ulivyo, katiba yetu ilivyo, sheria yetu ya uchaguzi ilivyo, Tume yetu ya uchaguzi ilivyo, hali ya...
  3. JamiiForums Tanzania Je rais Magufuli, Mahakama na polisi ndio wamekushinda?

    Rais wangu kipenzi cha watanzania,najua kuwa unakwenda kushinda urais kwa kishindo kizito. Hii ni dalili kuwa watu wana imani kwako. Natolea mfano tu leo umezindua reli ya Arusha Dar ambayo ilikuwa imekufa kwa zaidi ya miaka 30. Kwa hiyo wewe kwa watu wa Arusha ni shujaa na jembe lao,maana sasa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Leo nitalala Karatu, inawezekana watu wakapata wachumba na wake kutoka kwa wasaidizi wangu

    Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha. Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na kuonyesha uwezekano wa kujumuika na wakazi wa Karatu usiku mitaani na kuwahimiza wafanye biashara...
  5. JamiiForums Tanzania Ukisema: "Ili nilete Mradi wa maji hapa jimboni ni lazima Mnichagulie Mbunge kutoka chama changu." Hapo umewagawa Watanzania na hufai kuwa Rais wetu

    Kikatiba, ni haki ya mpiga kura kuchagua Mbunge au muwakilishi anayeona anafaa. Kanuni na maadili ya Uchaguzi yanakataza kutisha, kutoa rushwa au ahadi za vitu kwa upendeleo . Maji ni hitaji la lazima kwa mtu achilia mbali viumbe hai wengine. Fedha za miradi zinatokana na kodi inayolipwa na...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Liwale: Nitakuwa Rais msikivu na nitaunda serikali ya umoja wa kitaifa

    NITAKUWA RAIS MSIKIVU NA NITAUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA " PROF.LIPUMBA" LIWALE Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na huzuni. Haya ni majeraha yanayohitaji kutibiwa na kuwarejeshea wananchi matumaini. Tumefikia hapa...
  7. JamiiForums Tanzania "Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kupendelea jamii fulani kimaendeleo" LISSU

    "Nitahakikisha haki, uhuru na maendeleo yanamgusa mtu mmoja mmoja na jamii yote kwa ujumla wake. Nitakuwa Rais wa watanzania wote, nitaheshimu katiba ya Tanzania, utu wa watu, imani za watu wote na itikadi mbalimbali. Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kuwapendelea watu kimaendeleo kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni Rais wa Watanzania wote au ni Rais wa waliompigia kura tu?

    Majuzi hapa Rais Magufuli alinukuliwa akiwaasa watu waukatae ubaguzi. Lakini kwa baadhi ya kauli zake, watu wanaweza kusema aanze yeye kwanza kuufanyia kazi huo ushauri wake maana mara kadhaa keshawahi kutoa kauli ambazo zilionekana kuwa ni za kibaguzi. Karibu miaka 3 ilopita, niliwahi kumsema...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Gambo sikumfukuza Ukuu wa Mkoa bali aliniomba akagombee Ubunge baada ya kuona Arusha inakwama

    Rais Magufuli amesema kuna watu wanadai anamchukia Mrisho Gambo na kwamba alimfukuza kazi ya mkuu wa mkoa wa Arusha lakini hiyo siyo kweli. Gambo alinifata akaniomba agombee ubunge ili aiokoe Arusha ambayo inaonekana kukwama, amesema Dr Magufuli. Ningekuwa namchukia ningempitisha kugombea...
  10. JamiiForums Tanzania Siku ya Kwanza kabisa baada ya kuapishwa kuwa Rais naanza kushughulikia Masuala haya ya Wanawake

    Nikiapishwa tu siku hiyo haraka narudi Ikulu naagiza wamlete Sanchoka aje kwa week moja tujadiline naye changamoto mbalimbali zinazohusu wanawake hasa vijana wa Tanzania. Nataka nipate week moja nzima tunajadili kwa kina na kupeana semina elekezi. Ni mmoja ya wanawake wenye maumbo mazuri sana...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Bunge lina kazi gani kama kila anapokwenda kwenye kampeni, Rais Magufuli ndiye anayeahidi kujenga miradi mbalimbali?

    Tunavyofahamu katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977. inaeleza wazi majukumu ya kila mhimili wa Dola, ikiwa Bunge ndilo lililopewa jukumu la kupanga bajeti na kupanga miradi hiyo ipelekwe wapi. Lakini nashangazwa mno na namna Katiba ya nchi inavyosiginwa siginwa, kwa Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa Nigeria Mohammad Buhari ameomba maridhiano

    Baada ya idadi ya viongozi wa dini wanaounga mkono maandamano Nigeria kuongezeka, Rais wa nchi hiyo ameomba maridhiano. ======== President Muhammadu Buhari has spoken up for the first time since the Lekki toll shooting of the #EndSARS protesters by security operatives on Tuesday. The...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tunaomba ufanye interview na media. Usikae tu baba, mataifa wanahitaji kukusikia

    Hili ni ombi langu kwa Rais John Joseph Pombe Magufuli, tunahitaji kusikia unaongea ma media iwe BBC, Aljazeera au Sauti ya Amerika au media za hapa ndani. Toka umeingia madarakani hatujasikia ukiongea nao ili utupe maono yako na ujibu maswali mbalimbali ambayo tunahitaji kujua. Ahsante kwa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli 28/10 tutakupa kura. Kama haya hayatafanyiwa kazi tutakutana tena 2025

    Kampeni za Lisu zimekushtua na zimeishutua CCM kuwa wananchi wengi hawakuridhika na namna ulivyoongoza katika kipindi hiki cha awamu ya kwanza. Tumekaa na kufikiria tumeona tukupe kura as the last warning kwa CCM. Kama haya hayatafanyiwa kazi basi 2025 CCM isihangaike hata kuweka mgombea. 1...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Joshua Nassari amuomba radhi Rais Magufuli kwa mabaya yote aliyomtendea akiwa CHADEMA!

    Mbunge mstaafu wa Chadema Dkt. Joshua Nassari ameomba radhi rasmi kwa Rais Magufuli kufuatia mambo maovu aliyomfanyia kabla hajahamia CCM. Nassari ambaye alikuwa akiongea kimasai amewaomba radhi wanaccm na wana Arusha wote kwa machukizo aliyowasababishia akiwa CHADEMA. Nassari amewataka...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua Kiwanda cha bidhaa za ngozi Kilimanjaro, aitaka mifuko ya hifadhi kuwekeza kwenye viwanda badala ya majengo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli anazindua kiwanda cha bidhaa za ngozi kilichopo mkoani Kilimanjaro. Rais ameshafika na kwa sasa ni wimbo wa Taifa kabla ya kuanza shughuli Rasmi. Kuwa nami. ====== TAARIFA FUPI YA MRADI Mkurugenzi PSSF: Ujenzi wa mradi huu ni utekelezaji...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

    “Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe. “Miaka...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli aivunja ngome ya CHADEMA Kilimanjaro

    Watanzania tumeshuhudia kwa macho yetu jinsi Mhe Rais Magufuli alivyopokelewa na nyomi kubwa Kilimanjaro. Haijawahi kutokea. Taarifa za ndani kutoka mkoa huo ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli amevunja kabisa ngome ya Chadema Kilimanjaro. Wanakilimanjaro wameguswa sana na maendeleo yaliyofanywa...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

    Bado siku chache tuifikie 28 Oktoba 2020 ambayo itaamua Tanzania inachukua mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi. Hivi ndivyo inavyotakiwa kupiga kura kwa kuweka alama ya Vema kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Ziara ya Dkt. Magufuli Kilimanjaro imebeba ajenda za msingi

    Na Thadei Ole Mushi. Watu wa Kilimanjaro sio wajinga kiasi hicho, watamchagua Rais Magufuli kwa Kura nyingi Sana kuliko wagombea wengine wa uraisi. Twende sawa na agenda zetu.... 1. Kilimanjaro ina makabila mawili makubwa, Wachaga na wapare. Kwa silka ya makabila haya yapo profit oriented...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…