Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
"Nitahakikisha haki, uhuru na maendeleo yanamgusa mtu mmoja mmoja na jamii yote kwa ujumla wake. Nitakuwa Rais wa watanzania wote, nitaheshimu katiba ya Tanzania, utu wa watu, imani za watu wote na itikadi mbalimbali. Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kuwapendelea watu kimaendeleo kwa misingi yoyote ile kwa kuwa nitakuwa Rais wa watanzania wote, na huo ndio wajibu wa msingi wa Rais wa Tanzania kikatiba."
TUNDU LISSU
(23/10/2020)
TUNDU LISSU
(23/10/2020)