raisi

  1. Kumtukana Rais Samia hadharani ni uhaini

    Uhuru usio na mipaka ni uhaini. Kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi. Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa...
  2. Kuhusu DP World: Rais Samia acha kushupaza shingo, epusha Taifa na machafuko

    Kuhusu hili jambo la mkataba wa umiliki wa bandari zote kati ya serikali ya Tanzania na kampuni DP World tumeona maoni mbalimbali kuhusu vipengele vya huo mkataba. Mkataba huo umekosolewa kwa mapana yake kwa kila kipengele kwamba haufai na watu waliokosoa hawajafanya kwa political interest ila...
  3. DOKEZO Malalamiko ya mkataba wa DP World yapelekwe CCM, Rais Samia hana makosa sababu anatekeleza sera za chama chake

    Ndugu zangu Wananchi, kuna jambo tunasahau kuhusiana na mkataba wa DP World. Malalamiko ya mkataba huo yamekuwa mengi sana lakini tatizo letu wananchi tumeshindwa kujua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hapaswi kulaumiwa hata kidogo, ni Rais msafi na mcha Mungu. Malalamiko yanayohusiana na mkataba...
  4. D

    Raisi Samia, NHIF inakugombanisha na wazee makusudi kabisa, kinyongo na manung'uniko yao vitakuletea mikosi kwenye uongozi wako

    Kutokana na kadhia ntayoielezea hapa chini ndio niliyasikia manung'uniko ya wazee, kibaya wazee hawajui kama NHIF ina mkurugenzi mtendaji, wazee wanamjua Mama Samia, lawama zote ni Mama Samia,. Hapa ndio kwa mara ya kwanza nimeone wazee waliokunywa maji ya kijani wakiilaani CCM, na mengine...
  5. J

    Bunge la Amerika lilivyomzuia Rais wao kuridhia DP World kuendesha shughuli za bandari zao

    Mwaka 2006 DP World ya Dubai ilinunua kandarasi ya kuendesha shughuli za Bandari sita za Marekani. Wabunge wa chama tawala na upinzani kwa pamoja waliopinga DPW kupewa kazi hiyo. Wananchi nao walipinga 3:1 katika kura za maoni. Bunge likapitisha muswada wa Sheria kuzuia kampuni za kigeni...
  6. S

    Makato ya HESLB: Rais Samia tunaomba mrudishe makato ya 8%, pia yazingatie sheria ya kubaki na 1/3 ya basic salary

    Raisi Samia, japo umetukwaza sana na hii issue ya bandari, kuna mambo mazuri umefanya hasa katika kurekebisha baadhi ya mambo yaliyofanyika wakati wa utawala Marehemu Magufuli. Moja ya eneo ulilogusa ni kuboresha masilahi ya wafanyakazi kama kupandisha watumishi vyeo, kuongeza mishahara ingawa...
  7. Bado kuna mambo yanahitajika ili kumuenzi kwa dhati hayati Magufuli na wazalendo wengine

    Habari zenu wana JF wenzangu Kwanza kabla ya yote ningependa niwe mkweli kwamba katika nchi yetu Tanzania toka tupate uhuru hadi leo, moyo wangu unaamini au kumchukulia hayati Magufuli kama mzalendo namba mbili baada ya hayati mwl Nyerere. Ninapozungumzia wazalendo namaanisha mtu au wale watu...
  8. Rais Samia kama unandhani hoja za Watanzania ni Makelele basi endelea kuziba Masikio

    Mara kadhaa nimemsikia Rais akijibu hoja nzito kwa vijembe na taarabu. Watu wazima na akíli zao wanajipanga kutoa hoja afu wewe bila staha yoyote unasema ni Makelele. Aendelele kushapaza shingo na hao wanaompa kichwa mda ukiwadia hatawaona tena. Tanzania ni ya Watanzania siyo ya Rais Samia...
  9. Kikwete alishindwa uongozi kama Rais na sasa ameshindwa tena kama Mstaafu

    Wakati wa Utawala wake... Huyu bwana ana Bahati mbaya sana. Haya ni Matokeo ya kuforce uongozi wakati hauna karama hizo, kuongoza watu siyo jambo jepesi inahitaji maono na busara hasa unapokuwa kwenye nafasi nyeti kama ya uraisi. Enzi za utawala wake nchi ilikuwa ya hovyo tena hovyo kupitiliza...
  10. Hayati Magufuli alipambana na makundi matatu hatarishi na akafanikiwa kuyaangamiza kwa 85%. Je, Rais Samia ataweza kupambana na haya mawili yaliobaki?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Leo naomba nije na mada inayohusu "maadui mamboleo" wa taifa letu, tukiachana na wale watatu wa zamani waliokuwa wakijulikana kwa majina ya (1) maradhi, (2) uvivu, (3) umasikini. Sasa tuna maadui wapya watano ambao ni (1) ufisadi, (2) ujinga, (3) ushoga, (4) uteja...
  11. C

    Washauri wa Rais Samia watenguliwe

    Wasaidizi wa Rais Samia wameshindwa kumshauri katika utekelezaji wa majukumu yake. Katika Masuala nyeti ya Uchumi na Sheria. 1. Dkt. Blandina Kilama, Msaidizi wa Rais Uchumi. 2. Nehemia Ernest Mandia Msaidizi wa Rais Sheria. Hawa wameshindwa kazi.
  12. Rais wa Zanzibar kuwa mbadala wa makamu wa Rais katika kumuwakilisha Rais wa Tanzania katika baadhi ya mikutano ni sawa?

    Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi, Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la tatu la...
  13. S

    Raisi Samia, kama unaona mbali, legacy kubwa ya kipekee na ya kudumu ni Katiba Mpya. Majengo na vitu vingine vinasahaulika hasa kwa vizazi vijavyo

    Katika uzinduzi wa Ikulu ya Chamwiono leo hii tarehe 20/05/2023, imejitokeza hali ya kila mmoja kutaka kuonekana ana legacy katika ujenzi wa Ikulu hiyo, lengo ni kila mtu aingie kwenye kumbukumbuku ya waliohusika kufanikisha ujenzi wa Ofisi hizo za Raisi hapa mkoani Dodoma. Katika hili...
  14. Raisi yupi wa Tanzania na Marekani uliwahi mpenda Kwa Moyo?

    Za asubuhi na za kwenu , rahisi yupi umewahi mpenda na ukaona atafanya mabadiliko kwenye hizi nchi mbili Amerika nilimpenda sana George Bush Kwa sababu alikuwa hataki utani mwanga ugali na mwaga mboga . Tanzania wote tu Baba wa taifa Kwa Raha zake nchi ilikuwa yenye maadili , hela mpaka...
  15. K

    Rais Samia usisite kwenye katiba usiweke siasa mbele!

    Mimi natoa ushauri kwa Raisi Samia asisite kwenye swala la katiba kwasababu zifuatazo 1. Akisita wasiopenda katiba kwa manufaa binafsi kama mzee wetu mstaafu wa awamu ya 4 watapa mwanja wa kukushauri na kuongeza uoga wako 2. Manufaa kwa nchi ni makubwa sana kuliko manufaa ya siasa mfano mambo...
  16. K

    Ushauri: Raisi Samia mbadilishe Judge Francis Mtungi kwa kumteua IGP Mwema Ret

    Natoa ushauri kwa Raisi judge Francis Mutungi hataweza kukubaliwa na wadau hasa wa upinzani na anaonekana kama chawa kuzidi hata Judge. Kwenye kutengeneza katiba ni lazima uanze na team mpya ambayo wananchi wataiamini. Kwasababu majaji wengi kwa sasa wanaonenakana kama hawaaminiki isipokuwa...
  17. Rais Dkt. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24. 2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi...
  18. Rais Samia sauti ya Hayati Magufuli inakwambiaje kuhusu mafisadi?

    Umekuwa ukisikika mara kwa mara ukisema sauti ya Magufuli ina kwambia mara hivi mara vile, lakini hatujawahi kusikia sauti hiyo imekwambia chochote kuhusu; 1. Mafisadi 2. Wezi 3. Wavivu makazini 4. Rushwa 5. Wote wanaoshiriki kupandisha gharama za maisha bila sababu za msingi Kuna kila dalili...
  19. Tetesi: Dar es Salaam SGR Terminus kupewa jina la Rais Samia

    Habari zenu wana JF wenzangu, Hizi ni tetesi kutoka kwa mtu wa ndani ya kitengo fulani, ambapo amesema mpango huo wa kuipa Terminus hiyo jina la raisi Samia utafanyika siku ya ufunguzi wa safari za train hizo zinazotumia umeme. Mdau huyo amesema kwamba lengo kuu la kuipa Terminus hiyo kubwa...
  20. Sababu 3 kwanini Dkt. Philip Mpango ndiye Rais ajaye

    Mosi aliugua corona, pili ni Bankster alipitia World Bank na tatu hakuwa Makamu wa Rais kwa bahati mbaya. Sasa anzeni kumjadili Mpango Phillip na muone jinsi mtakavyoishi naye kwani ndiye Rais ajaye, 2030 baada ya Samia, kila kitu kimepangwa na globalist ofcourse, …
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…