raisi

  1. G

    Leo ni siku ya uchaguzi Nigeria, Ijue Nigeria kwa jinsi makundi ya ukanda, udini na ukabila yanavyopewa uzito kwenye siasa

    >> MOVED
  2. Perry

    DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

    Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia. Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara...
  3. Ndengaso

    Wamarekani Wamemtemea Nyongo Rais Biden

    Kupitia Ukurasa wa Instagram, Ikulu ya Marekani ilipost picha ya Rais wa Marekani akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ukraine, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza na iliyokuwa ya siri kubwa mpaka kufika, picha hii ilifuatiwa na maneno kwamba Ukraine bado ipo Imara na hakuna wakuizuia Marekani...
  4. Mr Dudumizi

    Nani aliyemshauri Rais Samia jambo hili ambalo limeleta mateso na aibu kubwa mitaani na mitandaoni?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili. Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele...
  5. H

    Rais wa Guinea Bisau akimchapa makonde Waziri wa Afya kwa kula pesa za COVID 19

    Huku kwetu Rais anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao 😀😀. Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwa sehemu kuwapiga viboko ishirini na vinne,siku anaingia viboko kumi na viwili na siku anatoka jela viboko kumi na viwili akamuonyeshe mkewe 😀😀.
  6. E

    Rais Samia zuia vibali vya chakula kwa sasa, utalaumiwa lakini Taifa litakukumbuka kama mkombozi wa kiuchumi

    Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo. Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita. Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia. Wamisri walikuwa utumwani misri...
  7. A

    Mradi wa REA umekuwa ukitukosha, Lakini iweje TANESCO wanatuuzia nguzo Tzs 500,000 Arusha Vijijini?

    Rais wetu, unastahiki kila aina ya pongezi kwa maono yako ya kuondoa giza kwenye kila kona ya nchi kwa miradi ya umeme vijijini. Lakini kwa sasa TANESCO Arusha wanatoza zaidi ya sh. 500.000 iwapo utahitaji nguzo moja, na hadi 600,000 kwa umbali wa nguzo mbili. Sasa huyu maskini anayeishi...
  8. Kijakazi

    Hayati Mkapa, Rais wa kwanza na pekee kuitwa Mahakamani

    Aliitwa/alienda mwenyewe nafikiri ilikuwa ni kesi ya Balozi aliyeitwa Mahalu aliyeshutumiwa kwa uuzaji wa nyumba ya Ubolozi huko Italia, baada ya Mkapa hakuna na wala hakujawahi kuwa na Rais wa Tanzania aliyeitwa Mahakamani. Mzee Mkapa Mahakamani
  9. K

    Rais Ruto aanza kunyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha yakiwemo ya Kenyatta

    Rais wa Kenya na Naibu wake wameanza mkakakti wa kuwanyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha kipindi cha Rais wa kwanza, wa pili, wa tatu na wanne. Wakati huo wale veterans na familia zao hazina mashamba. Hivyo serikali chini ya Rais Ruto wameanza mkakati wa kuchukuwa mashamba hayo na...
  10. 6 Pack

    Ombi: Tunamuomba Rais Mwinyi amuwajibishe waziri wake kabla ya wananchi kumuwajibisha

    Kitendo alichokifanya waziri wako wa kilimo, umwagiliaji, maliasili na mifugo mh Shamata Shaame Khamis sio cha kiungwana na kiutu. Kile ni kitendo cha kinyama ambacho hakutakiwa kumfanyia mtanzania mwenzetu au binadamu mwenzetu kwa sababu yoyote ile. Mtu kaingiza chakula mnafanyia unyama ule...
  11. Pdidy

    DOKEZO Hii tume ya Rais ikimaliza iende kuchunguza Wizara ya Ardhi. Watu wanaporwa viwanja wahusika wako maofisini mateso makubwa

    Nimpongeze Rais Samia kwa kuunda hii tume kuchunguza vyombo vytu vya dola nk. Niombee tu mkimaliza huko tuna imani na nyie na mapendekezo yenu baada ya shuhuli tunaomba ikiwapendeza mumwombe Mh Raisi mkachungze wizara ya ardhi shida iko wapi na nini kifanyike wananchi wachwe kuporwa viwanja...
  12. MIXOLOGIST

    Kenya nao waguswa, wamtakia Rais Samia heri ya siku ya kuzaliwa

  13. J

    Lissu: Mazungumzo na Rais yataendelea, lakini Katiba Mpya italetwa na pressure ya wananchi

    Lissu amesisitiza wananchi waweke shinikizo kudai Katiba Mpya. Kwamba Mbowe ataheshimiwa ktk meza ya maridhiano kama itaonekana anaungwa mkono na umma wa Watanzania. https://m.youtube.com/results?sp=mAEA&search_query=Lissu%2C+Mbowe%2C+Heche
  14. winnerian

    Mamlaka na nguvu ya Rais iendelee kubaki kama ilivyo kwenye Katiba

    Kamwe mtu ambaye hana nguvu wala mamlaka hawezi kufanya maamuzi sahihi na yenye tija kwa wale anaowaongoza. Pia kinga ya Rais ibaki kama ilivyosasa kumtoa wasiwasi wa kufanya maamuzi na kutoa amri. Unapokuwa na wasiwasi pamoja na uoga wa kukosea huwezi kufanya kazi kwa ufanisi na uhuru. Kitu...
  15. NetMaster

    Watanzania tukitaka amani na nafuu ya demokrasia tujenge utamaduni wa kumchagua Rais kutoka pwani na Zanzibar, imeshathibitishwa mara tatu

    Kio kwamba wakiingia kila kitu kinanyooka, la hasha!! Kuna Madudu huwa yanaendelea ila ukiweka mzani unaona wao wana nafuu hasa linapokuja suala la aman, demokrasia na maendeleo. Mwinyi mzee wa ruksa alitutoa kwenye ujamaa wa Nyerere watu wakaanza kumiliki hata Tv (wakati huo Zanzibar...
  16. K

    Tusione aibu kumpongeza Mbowe na Rais Samia

    Kuna watu wa Chadema ndaki ndaki wanaoenda kupinga kila kitu kiasi cha kumpiga madongo mwenyekiti wao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza Mbowe lakini vilevile hawawezi kupongeza Rais hata kama kafanya mazuri. Lakini kuna kundi la CCM nalo ni kama Chadema...
  17. K

    Tujiulize, Rais anavyosema Utamaduni wetu kwenye siasa ni upi hasa?

    Rais anavyosema mikutano ya siasa ifanyike kwa kuzingatia utamaduni wetu. Tanzania haina utamaduni mmoja kama nchi nyingi za Asia. Tanzania kuna tamaduni nyingi sana kuna makabila ambayo wanajifunika mpaka uso lakini makabila mengine wana kaa nusu uchi! sasa utamaduni wa Tanzania ni upi. Kama...
  18. Execute

    Rais Samia analipa kodi kiasi gani kwa mwezi kutoka kwenye kipato chake?

    Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi. Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
  19. S

    Bado sijaelewa jambo moja: Hivi tunataka kuendesha SGR sambamba na reli ya zamani?

    Kuna kila dalili kwamba SGR itakapokamilika bado tutakuwa na reli ya zamani ikitoa huduma. Hapo mwanzo nilifikiri kwamba reli ya zamani itaendelea kutoa huduma kwa matawi ya Tabora - Mpanda, na labda Dar -es Salaam kwenda Tanga, Moshi na Arusha, ambako sijasikia lolote juu ya kuwepo kwa SGR...
  20. K

    Kwanini rushwa iwe suala la Rais pekee?

    Tanzania kama nchi tujiulize ni kwanini suala kubwa na linalohusu wengi kama rushwa liachiwe Rais pekee. Yaani suala la rushwa linabidi liwe la kimfumo na sio la kiongozi mmoja tu wa nchi. Watanzania inabidi sisi tutoe tu mawazo na kupiga kelele kwenye rushwa na tutake majibu. Mfano kama huna...
Back
Top Bottom