Huwa naziona jitihada nyingi za raisi Samia kubembeleza wawekezaji kuja kuwekeza nchini, hadi namuonea huruma kwa sababu naelewa anapigia debe kitu ambacho sio rahisi kufanikiwa. Napenda kumwambia Raisi Samia kwamba wawekezaji hawavutwi au kushawishiwa kwenda kuwekeza kwenye nchi fulani, huwa...
Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni kuhusu bara hilo.
Amesema "Tukiacha kuwa ombaomba na kutumia pesa zetu, Afrika haitakuwa na haja ya...
Hilo ndilo swali la msingi
1. Je Raisi anataka kukumbukwa maisha kwa kujenga mifumo na kutupa katiba bora Tanzania
2. Atasahaulika kwa kuiba kura na kugushi uchaguzi na kujipa 80% ya ushindi ambayo ni fake?
Haya ni maamuzi yake. Mafisadi wote wanataka achague namba 2 kwani wanajali matumbo tu...
Nimesikia habari za ndani kwamba kwa makusudi mafisadi na watu wenye nia mbaya wanataka kumweza Raisi na ratiba zake nje ya ofisi ili asigindue ufisadi unao endelea.
Hii ni kuanzia malalamiko ya maandishi, mikataba mibovu na kuhusu majadiliano na upinzani.
Kama ni kweli watu wenye nia nzuri...
Bilionea rafiki wa Putin: Ni wakati wa kuwaonyesha Magharibi nguvu za kijeshi za Urusi
Mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa wanaounga mkono uamuzi Vladimir Putin wakuivamia Ukraine mwenye jumri wa miaka 71 Yuri Kovalchuk, amesema kuwa vita inaweza kuonyesha uthabiti wa Urusi kwa nchi za...
Kuna jambo huwa naangalia naona kama hawa Wana CCM wakitaka kumkosoa raisi wengi wao wanazunguka zunguka Tu hawaendi straight.
Mara nyingi lawama zimekuwa zikienda.kwa mawaziri. Ila ukichunguza Kwa undani kabisa mhusika mkuu ni raisi wa jamhuri ambaye Hana maamuzi yenye mantiki.
Hawa wanaCCM...
Uchumi wa Kidiplomasia ni uchumi ambao unatumia diplomasia kufanikisha malengo ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.Uchumi wa kidiplomasia unaongeza wawekezaji,uuzaji wa bidhaa nje,misaada,utalii,makubaliano ya kibiashara na mikopo nafuu.Ili malengo ya aina hii ya uchumi...
Wakuu inakuaje? sasa twende kazi.
Siku mbili tatu hizi kumekuwa na hali ya sintofahamu kati ya serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na ile ya Rwanda, kila mmoja akimtupia lawama mwenzake na kutishia kuvunjilia mbali uhusiano wao wa kidiplomasia nk.
Kwa upande wa Congo ndio wanaonekana...
Kiuhalisia Bila Raisi Kikwete kuleta Mradi wa Kinyrrezi 1,2 na 3 na extension one, tungekimbia nchi Kwa mgao mkali wa umeme, matumizi yameongezeka zaidi ya asilimia 50, hivyo Mzee kikwete alitusaidia sana, na Sasa tuna umeme wa gas ambao ndo huu tunagawana hawana.
Ombi langu Kwa Raisi Samia, ni...
Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda.
Prof. Mkenda ameituhumu HESLB kukataa kutoa ushirikiano na taarifa kwa Kamati yake kuhusu uwepo wa upendeleo wa utoaji Mikopo...
Katika hatua madhubuti ya kurejesha nchi katika hali ya maelewano,usalama,na maendeleo endelevu kufuatia siasa za uhasama zilizorithiwa kutokana historia ya vyama vingi na mapungufu mbalimbali ndani ya vyama vya upinzani pamoja na serikali. Raisi Samia Suluhu Hassan ameamua kujenga nchi yenye...
Poleni na majukumu ya kila siku wana jukwaa.
Wiki mbili zilizopita nilikua Kanda ya Kaskazini mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Tanga nilipata bahati ya kutembelea Magereza ya Karanga(Kilimanjaro-Moshi) Kisongo(Arusha) na Maweni(Tanga) niliona vijana wadogo umri miaka 19-23 wakiwa gereza...
Poleni na majukumu ya kila siku wadau wa Jamii Forums
Kama tulivyoona na kusikia Raisi Samia Hassan Suluhu anaendelea na ziara zake leo yupo mkoani Kigoma. Binafsi kuna jambo linanishangaza ni Rais kua na wasanii wengi wa mziki wa Singeli na Bongofleva je, hawa wasanii wana maana gani je ni...
Niseme tu kwa kipindi cha Jpm sidhani kama angekubaliana na situation ile ila huyu Mama hata sielewi uongozi wake,moja ya madudu kumbe kwenye mashule ndio wahandisi wa majengo ????
...
Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi.
Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
Baada ya kuona majeshi yake yamefanikiwa kuwarudisha wanajeshi wa Urusi kwenye baadhi ya maeneo yaliyotekwa, sasa Rais wa Ukraine, Zelensky ameanza kuidharau Urusi pakubwa na kutoa utabiri wa kushinda moja kwa moja kama kwamba anapigana na mtoto mdogo.
Kwenye hotuba yake hapo jana alisema kwa...
Tatizo la Mgao wa Umeme limekuwepo kwa muda mrefu sana, Toka enzi za Nyerere, na Sasa tatizo hilo linaendelea kuwepo , sisi watu wazima tumeona mgao Kwa Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa mgao upo kwa Samia.
Hili ni Tatizo kubwa sana, japokuwa Wamebadilishwa mawaziri na watendaji wakuu...
Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama...
Ombi kwa mheshimiwa Raisi Mama Samia.
Mpango wa mbolea ya ruzuku ni mzuri sana na wenye tija kama utatekelezwa kwa wakati. Serikali yako imesikiliza kilio cha wakulima cha muda mrefu. Hongera sana.
Pongezi pia ziwafikie washauri wako na wazira ya kilimo kwa ujumla.
Mpango huu umeanza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.