raisi

  1. Willima

    Mtanzania unaijua pensheni ya Rais anapostaafu?

    Kama ilivyo kwa nchi jirani ambazo zina utaratibu wa kujulisha wananchi wao utaratibu wa utoaji wa mafao ya pension kwa Marais wao wastaafu, jambo ambalo ni tofauti kwa nchi ya Tanzania. Kwa Tanzani pension ya Rais imekuwa ni siri ya Serikali. Kwa mfano nchi ya Kenya imewajulisha wananchi wake...
  2. Richard

    Ushauri- Raisi Samia usiogope tangaza kura ya maoni tupate katiba mpya, kisha uchaguzi wa 2025 ukishinda utaleta mapinduzi ya kiuchumi

    Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
  3. K

    Je, Balozi Ombeni Sefue ndiye mshauri Mkuu wa Rais Samia?

    Rais Samia ni wazi sasa anamuamini Balozi Sefue na ndiye kamchagua mwenyekiti wa TPDC na Msaidizi wa mwenyekiti wa tume maalumu ya kumshauri kwenye mabadiliko ya majeshi yetu. https://www.linkedin.com/in/ombeni-sefue-73056220/
  4. The unpaid Seller

    Hivi ni lazima Mawaziri wanapoongea kumtaja taja Rais kila baada ya sentensi mbili?

    Salaam, Hapa nilikua nasikiliza hotuba ya waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa alipokua anazungumza na maafisa Mawasiliano wa mikoa, aise jamaa kamtaja rais zaidi ya mara 20. Ndio kuna mahala katika hotuba kuna uhitaji wa kumtaja rais labda kuna maagizo au nukuu au kufanya rejea ya matukio...
  5. MakinikiA

    Kwa wale wenye fitina Rais Putin alishapewa baraka na wananchi kubakia Ikulu mpaka 2036

    Hii ilifanyika 2021 The Russian president has signed legislation that gives him the right to run for two more consecutive terms. The constitutional amendment was approved by referendum last year. Russian President Vladimir Putin on Monday signed legislation that could theoretically mean he stays...
  6. Fukua

    Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

    Habari, Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa. Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka...
  7. Kijakazi

    Rais Samia kwanini hasemi chochote popote kuhusu mambo muhimu?

    Mimi kama kuna jambo linalonishangaza kuhusu uongozi wa sasa ni ukimya wa Rais wa nchi, mambo mengi yanaendelea watu wana maswali mengi, tunapata habari tofauti, kwa nini Rais wa nchi hasimami na kuweka mambo sawa? Kama hili la Wamasai kuondolewa kwa nini Mkuu wa nchi hatoki na kusema kuna...
  8. MakinikiA

    Rais Biden wa Marekani adondoka akiendesha baiskeli, anamuiga Rais Putin

    Huyu ni Biden alidondoka akiwa anaendesha baiskeli Huyu ni jemedari Putin akiendesha farasi
  9. K

    Rais umekosea kuwakilishwa na Balozi kwenye mkutano wa EAC kuhusu Congo

    Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu wachukue madini. Tanzania kama nchi kubwa tulikuwa na uwezo mkubwa sana kuanzia enzi za kabila kuifanya...
  10. E

    USHAURI: Rais avunje Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Chimbuko la migogoro ya ardhi iwe ni wafugaji kwa wakulima, iwe ni wananchi na wawekezaji kama maneo yenye madini au iwe ni maeneo ya mijini kama nilivyosikia kinondoni nyumba 400 zinabomolewa au iwe ni ngorongoro Chimbuko la migogoro hii ni wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi. Kwa...
  11. Kijakazi

    Maamuzi yote Tanzania hufanywa na Rais, anajificha kwa Watendaji!

    Kila kinachoendelea Tanzania Rais ndiyo anayetoa maamuzi na amri kuanzia kupandisha bei za mafuta, umeme, kukamata raia kuwaweka rumande na kuwaachia pia kama akina Mbowe, Sabaya & Co. mpaka hili la kufukuzwa kwa Watanzania kwenye ardhi yao kwa mitutu ya Bunduki ni rais ndiyo anafanya siyo...
  12. Randy orton

    Rais sio Mungu, Punguzeni kumshukuru mwanadamu mwenzenu kila muda

    Hili jambo lilianza awamu ya tano,kila kitu asante JPM , matokeo yake huyo JPM akafariki (RIP). Hii ilitosha kutufunza Raisi wetu sio Mungu , ni mwanadamu tu. Badala ya kujifunza , hivi sasa awamu hii kila mtu asante Mama, yaani wanamshukuru hata kwa vitu walivyofanua wao. Wanaokera zaidi...
  13. Theb

    Hawataki kukubali ukweli kuwa Rais Samia anatuongoza vyema

    Habari wakuu sijawahi andika hapa kwenye hili jukwaa la siasa ila leo acha ni andike kidogo tu. Mhe Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye raisi wetu ameonyesha muelekeo mzuri kwa kiasi kikubwa katika uongozi wake japo ni mapema kidogo. Wapo watu bado sijui ni seme wana usingizi au bado giza...
  14. Makuku Rey

    Kwa hili LATRA wanamhujumu Rais Samia Suluhu

    Tunashukuru Bei mpya za mafuta zimetangazwa na zimeshaanza kutumika kwenye vituo vyetu vya mafuta kuanzia tarehe 1/6/2022. Lakini nnachojiuliza kwanini LATRA imepata kigugumizi kutangaza nauli mpya zilizoshushwa kwa daladala na mabasi ya mikoani? Mbona Bei ya mafuta ilipopanda kwa Tsh 100 tu...
  15. Eric Cartman

    Rais anafanya maamuzi tu, ila taarifa za kuamua anapewa na wengine

    Kwa wale wanaodhani Magufuli alikuwa pekee wafikirie tena. Asilimia kubwa ya maamuzi yake ni report tu alizokuwa anasoma na kuamua kutokana na option anazopewa. Nape, Mwigulu na Makamba; eleweni vita mnavyonunua sio na marehemu bali watu waliohai. Kibaya zaidi hiyo vita kapewa mtu ambae...
  16. mugah di matheo

    Rais Samia ahudhuria swala ya Ijumaa

    Mama anaupiga mwingi hadi unamwagika aisee Hapo yupo na mfuti wa Tz jijini dar es Salam
  17. S

    Rais Hussein Mwinyi umelisikia hili la KMKM?

    leo kumezuka tafran katika social media baada ya clip inayozidi kutrend ,ikionyesha askari wa KMKM wakiwapiga risasi wananchi huko katika mikondo ya bahari. Kinachodaiwa ni askari hao kuwataka au kuwanyang'anya matangi ya mafuta wenye maboti ya kuvulia wakati wakivua katika bahari kuu...
  18. Kijakazi

    Nani anaendesha nchi endapo Rais na Makamu wa Rais watakuwa nje ya nchi?

    Katiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
  19. Webabu

    Rais wa Ukraine ataka Urusi imlipe kwa uharibifu iliofanya nchini mwake

    Raisi wa Ukraine ameomba jumuiya ya kimataifa imsaidie kuilazimisha Urusi kulipa gharama za uharibifu wake katika nchi hiyo, uharibifu ambao umetokea tangu vita vianze takriban miezi mitatu iliyopita. Meanwhile, Volodymyr Zelensky, Ukraine's president, has proposed a formal deal with the...
  20. Tango73

    Ni Rais gani atarudisha Kiingereza kama lugha ya kufundishia Tanzania?

    Watanzania wote tumeiona Loyal Tour ikichezwa kwa lugha ya kiingereza na sio kiswahili. Tunaitangaza nchi yetu na vivutio vya utalii kwa lugha ya kiingereza kwa nini lugha hii isiwe haki ya raia? Wasanii wetu wachekeshaji hawaendi Nigeria wala Ghana kisa language barrier. Sasa umefika wakati...
Back
Top Bottom