raisi

  1. Kijakazi

    Rais wa CIA huondolewa na CIA

    Hutokea Dunia nzima, CIA huweka maraisi kwa ajili ya magendo yao na pia humuondoa baada ya kukamilisha na kutomuhitaji tena, mara nyingi CIA hufanya magendo ya drugs, kutakatisha fedha mpaka uchukuaji wa rasilimali kama gold, rare earth minerals n.k. Mfano Mobutu, Savimbi, Gadafi, Museveni...
  2. S

    Mbowe, Rais Samia atakugombanisha wewe na Wanachama, Wafuasi na viongozi wenzako wa CHADEMA

    Mwenyekiti Mbowe, kwa yanayoendelea nchi hii na kwa reaction ya wana-CHADEMA kufuatia maamuzi ya Spika kuwalinda Mdee na Wenzake, naiona hatari ya Rais Samia kukugombanisha na viongozi wenzako wa CHADEMA pamoja na wafuasi na mashabiki wa chama hiki. Hizi ni tweets za Martin Maranja Masese...
  3. MWAISEMBA CR

    Raisi Samia sio mfalme na sio mungu wa kuombwa kufanya kila kitu katika nchi yetu

    ✳️RAISI WA NCHI SAMIA SULUHU HASSAN SIO MFALME NA SIO MUNGU WA KUOMBWA KUFANYA KILA KITU KATIKA NCHI YETU‼️ 🔵Na:Shujaa©️®️Ⓜ️ Ni kawaida katika jamii zetu za kiafrika kusikia wananchi wakikimbilia kwa maraisi wao kueleza shida, kuomba misaada kutoka kwao, kuwaomba wawafanyie maendeleo haya...
  4. Kijakazi

    Rais Samia kukopa(tena) 1billion USD from IMF

    Huku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear walipaji wa haya madeni ni sisi wananchi! Markets IMF Mission in Tanzania for Talks on $1...
  5. Lady Whistledown

    Waziri Mkuu wa Sri Lanka awasilisha barua ya kujiuzulu

    Waziri Mkuu wa Sri Lanka Mahinda Rajapaksa awasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais ambaye ni mdogo wake, huku kukiwa na maandamano makubwa kuhusu mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi nchini humo tangu uhuru. - Kwa majuma kadhaa sasa nchi hiyo imekumbwa na vurugu kutokana na maandamano mbali mbali ya...
  6. Suzy Elias

    Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15% Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6 Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa...
  7. meddie

    Makamu wa Rais, Dkt. Mpango mbona upo kimya sana?

    Kipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya! Najiuliza mfano imetokea ajali kama ilivyotokea. Je, unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama majanga mengine?
  8. P

    Kwa hiyo wazungu wamependa falsafa na uongozi mahiri wa Rais Samia, Je, wamemnunua kabisa?

    Tanzania tunatabia ya kupuuza viongozi wetu ila Ulaya wanawahitaji sana viongozi wetu! Ilikuwa Kwa JPM nchi kadhaa wananchi wake walisikika kumtaka akaongoze nchi zao hadi huko Ulaya na American Tuna Raisi Samia sasa, Mbunifu na mahili kuongoza na kuelekeza, ni mwanademokorasia haswaa na hiyo...
  9. S

    Niliomba nafasi ya uongozi katika Taasisi ya Serikali wakati Rais Magufuli aliposhika madaraka, kuna viongozi walinisihi sana nisirudi nchini

    Niseme wazi. Mimi ni mhanga wa mabadiliko yaliyotokea pale Raisi Magufuli alipoingia madarakani. Nilikuwa nikifanya kazi nje ya nchi kama mtaalamu katika sekta fulani. Nikaambiwa taasisi fulani ya serikali hapa nchini ilihitaji watu kama mimi. Nikaomba nafasi hiyo ili nirudi nchini kutumikia...
  10. S

    Rais Magufuli alifanya mambo yasiyofaa na Rais Samia anarekebisha mabaya yaliyofanywa

    Bila kuficha wala kuogopa, kwamba Rais Magufuli alifanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na uongozi bora na alikuwa akitupeleka kwenye hali mbaya sana kama taifa la Tanzania. Alikuwa na kauli za kinafiki na hata kuamuru taasisi za serikali kubambikia watu kesi. Kuna mengi sana ambayo yote...
  11. CK Allan

    Kuelekea Mei mosi 2022 tunaomba Rais Samia tusaidie hili kuhusu CWT

    Raisi wa awamu ya Tano Ndugu John Magufuli alijaribu kuanzisha hili Jambo kwa kuonesha namna viongozi wa CWT (chama Cha walimu Tanzania) wanatumia michango ya wanachama na rasilimali kujinufaisha wenyewe na wakiendelea kuwanyonya walimu , Chama hiki hakina msaada wowote kwa walimu Tanzania...
  12. S

    Kila Rais angekopa kama Hayati Magufuli, leo hii tungekuwa tunakopesheka na Magufuli angekopa wapi?

    Taarifa tunazosima zinaonyesha ndani ya miaka mitano tu Magufuli amekopa karibu sawa na mikopo aliyochukua Kikwete kwa miaka yote Kumi aliyokuwa madarakani. Ukiacha Kikwete, kuna Mkapa, Mwinyi na Nyerere na hawa nao walikopa na kuna wakati walifanya juhudi tusamehewe madeni Sasa najiuliza...
  13. Unique Flower

    Rais ya wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania

    Rasi Samia Suluhu Hassan
  14. Richard

    Kwenye majukwaa ya kimataifa, Rais Samia atumie akili ya ziada na welevu kujadiliana na kuongea

    Katika majukwa ya kimataifa kuna masuala mengi huwa hayapaswi kuzungumzwa au kauli tata kutolewa hadharani. Majukwaa ya kimataifa ni pamoja na majadiliano na waandishi wa habari wa kimataifa, vikao vya wazi na viongozi na taasisi mbalimbali, makongamano pamoja na mikutano mikubwa na midogo, iso...
  15. Kijakazi

    Hivi Rais Samia ameunda Wizara 2 tu?

    Ukiondoa Wizara zinazoongozwa na Nape na Makamba, hakuna Waziri mwingine anayesikika popote akiongelea chochote tofauti na tulivyozoea atleast. Sisikii Waziri wa Viwanda, Elimu, Miundombinu hata WM mwenyewe ni nadra kumsikia, kwa nini ? Je, hawana morali ya kazi ? Hata Wizara ya Maji au ardhi...
  16. K

    Rais Samia anataka kumlinda Lissu bila Lissu mwenyewe kujua

    Ni hivi Lissu anataka Rais Samia kwenda hadharani na kumuhakikishia Lissu usalama wake ili aweze kurudi Tanzania. Rais Samia anasita ingawa si kwa kumuogopa Lissu au Usalama wa taifa lakini ni kwa kumkinga. Mama akitoka leo na kumuhakikishia usalama Lissu wapinzani wake Rais Samia watatumia...
  17. K

    Kabla ya 2025 Rais Samia atasema Uchaguzi wa 2020 haukuwa huru

    Raisi Samia na Watanzania wengi wanajua huu ukweli kwamba uchaguzi wa 2020 haukuwa wa huru na wa haki. Hivyo kabla ya uchaguzi wa 2025 Raisi atafanya kila jitihada kueleza huu ukweli kwasababu zifuatazo 1. Kutoa dhana ya uongo kwa wananchi walioamini Magu alipata 80% . Wote tunajua hii sio...
  18. K

    USHAURI: Rais Samia safisha Polisi na vikosi vyote vya usalama vinavyotuhumiwa kuteka na kuua watu

    Raisi Samia nakupa mawazo tu kusaidia nchi yetu. Pamoja na mazuri Mengi aliyofanya Hayati Magufuli **** jambo baya kubwa sana ambalo kwa wengi linafunika mazuri yake mengi. Jambo hili ni kuagiza na kuunda vikosi vya kisiri vya kushughulikia watu ambao yeye binafsi na wapambe wake walikuwa...
  19. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Ushauri kwa Rais Samia: Kuliko kusitisha rasmi mchakato wa Katiba Mpya ni bora ungeuanzisha uendelee walau kwa muda mrefu

    Baada ya jana kupokea ile taarifa ya KAMATI ambayo KWA mawazo yangu wanakamati wameandika kile unachopenda kusikia na kukiona nikaona ni bora nikuandikie KWA mara nyingine KWA mstakabali wa afya ya siasa zako Baada ya kushika hatamu. Ni bora jana ungezindua rasmi mchakato wa katiba mpya na...
  20. Abraham Moshi

    Rais Samia Suluhu hili la Scheme of Service nalo linasubiri huruma yako!

    Ni kuhusu maelekezo yaliyotoka Serikalini tarehe 08 Februari,2021 kuidhinishwa Muundo mpya wa maendeleo ya Utumishi (Scheme of Service) Ulioanza kutumika terehe 01 Machi 2021) kwa baadhi ya taasisi za Umma. Kutokana na mabadiliko ya Muundo huo imeonekana kuwa, Mishahara ya watumishi hao ni...
Back
Top Bottom