I mean, nani anajua Dunia itakuwaje miaka 2 ijayo?,
USA might have conservative right wing Christian leader, EU watakuwa na priority nyingine hatujui ugomvi na Urusi utaiacha EU na western world katika hali gani, hivyo wanaokupa support leo hii miaka 2-3 ijayo watakuwa na watu wengine kabisa...
Ndugu wana ukumbi na wafuatiliaji mada za vita vya Russia na Ukrain.
Mimi siiangalii Vita vya Ukrain katika mtazamo wa kivita ,bali mtazamo wa kiuchumi na mgeuko wa mfumo wa uchumi Dunuani.
Nasikitika sana na maamuzi aliyofanya Raisi wa Russia kwa kuivamia Ukrain.
Nahisi ali under estimate...
Wadau, inakuwaje Kiongozi mmoja anaikimbia Nchi yake na watu wake na mwingine anakomaa na kuongoza mapambano.
Hata hapa Nyumbani kuna Kiongozi mmoja Uviko wa kumi na tisa ulipoingia alikimbilia Kijijini kwao Chato.
Je ni malezi ndio yanayosababisha Kiongozi mmoja kuwa jasiri na mwingine kuwa...
Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zitto Kabwe ukimpa mkoa wa Kigoma.
Najua rais hapangiwi ila huu ni ushauri wangu tu kwako mama yetu, kwa lengo la...
Unajua Donald Trump alikuwa na madhaifu yake na unaweza kumpuuza, lakini huwezi kupuuza uwezo wake wa kuangalia mambo kwa mapana. Utawala wake ulikuwa ni tofauti kabisa na watu walivyotegemea, ambapo tulidhani inaweza kutokea vita kubwa lakini haikutokea.
Kwenye hii video alikuwa anazungumza na...
Haofii hata usalama wake tu kwanza achilia mbali wa nchi? I mean, kwa hali ilivyo kwa sasa muda wowote dunia inaweza kuwa nyingine kabisa, ila Rais yuko Uarabuni, hii ni sawa kweli?
Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius).
Trump akaendelea kusema kuwa Putin anaenda ingia ndani ya Ukraine na kuwa mlinda amani..."hilo ni jeshi imara zaidi la...
Rais Vladimir Putin akitia saini amri (the Decree) kutambua majimbo ya Donestk na Luhansk kuwa majimbo huru. Picha na Reuters.
Rais wa Russia Vladimir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza majimbo ya Donetsk na Luhansk kama majimbo huru.
Majimbo haya mawili yaliyo upande wa Mashariki mwa...
Ile Trade Agreement EPA iliyokuwa inapingwa kwa kila hali na CCM sasa kusainiwa na Raisi wa Tanzania Samia huko Brussels kwenye EU- Afrika Union summit.
EPA ni free trade Agreement Kati ya EU na Nchi za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda.
Tanzania walipinga...
Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani.
Aidha, atashuhudia utiaji Saini baina ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa katika sekta za...
Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu (kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro.
Ukikosa nafasi, basi sikiliza hotuba yake ambayo bila shaka itapatkana ikiwa ni...
Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani
Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga
Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important that being right.
Watangazaji wa clouds Media kwa niaba ya media imependekeza siku ya kuzaliwa ya mhe Raisi Mama Samia Suluhu ingizwe kwenye calendar ya kusherekea siku ya kuzaliwa kama ilivyo Nyerere day n.k iwe sehemu ya siku ya kitaifa
Soko la Karume limechomwa lote na hakikusalia kitu hata kimoja na wamachinga wapo hoi bin taaban yaani "they are devastated big time".
Soko la Kariakoo nalo liliunguzwa na sasa lipo kwenye matengenezo.
Yapo masoko mengine ambayo yamechomwa moto yote na kutekeketea kama lile soko maarufu ya...
Kwa Mungu kila kitu kinawezekana acha kujifanya unajua kila kitu.
Hivi Katiba imetoa maelezo gani kama ikitokea Mungu ameamua kuwachukua Rais wa JMT na makamu wake wote kwa pamoja kwa siku moja?
Tukio kama hili likitokea kikatiba hali inakuaje ndani ya nchi yetu?
Kama inawezekana familia moja...
Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi.
Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
Tume huru ya uchaguzi ndio itamuinua huyu Rais aliyepatikana kwa Mujibu wa katiba iliyopo, na kama kweli waTanzania wamemkubali basi muamuzi ni Tume huru ya uchaguzi isio na doa, lakini haya yanayoendelea ni geresha kwenye mazingahombwe ya CCM.
2025 noma sana, uhakika wa Rais Samia mzanzibari...
Nimeshangaa sana kuona Mama katua Dodoma leo na mojawapo ya zile ndege kubwa (Airbus) za ATCL badala ya kutumia ndege maalalumu ya Raisi(5H-ONE) ambayo ilikuwa ni lazima inunuliwe hata kama watanzania tungekula majani.
Swali ni je, ndege ile haifai tena kwa safari za Raisi hata za humu nchini...
Hata wa upinzani nao walikuwa hali moja sawa na waliokuwa Serikalini, wengine walikimbia nchi.
Ni lini CCM watakiri kuwa Marehemu Magufuli aligeuka na kuwa Dicteta kiasi ya wengine wakiwa nje ya nchi kumwita ni Dikteta uchwara?
Kwa upande wangu nyakati za kabla yake wengi tuliomba tupate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.