Wizara ambayo ukiiangalia chini ya utendaji madhubuti wa mchengerwa , kero mbalimbali zilikuwa zinapatiwa ufumbuzi bila kuonea wala kukandamiza upande mmoja.
Alishaanza kutengeneza mifumo ambayo kwa vizazi vingi mbele vingenyoosha utendaji kazi wa watumishi na maafisa utumishi na mabosi wa...
Raisi Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ambalo ni lilelile alolirithi kutoka kwa mtangulizi wake hayati Magufuli.
Ni mabadiliko ambayo yanaonyesha kwamba anataka watu wataomsikiliza na walo tayari kufuata akitakacho na si kujitia ujuaji.
Hivyo raisi kaamua...
Tulinganishe hizi kauli "Kama Hutaki kukatwa KODI, HAMIA BURUNDI"...
tukilinganisha na kauli ya Jobu ni nani alipaswa kujiuzuru kwa maslahi mapana ya wananchi....
Hivi wananchi tunajielewa kweli?? Au tunapelekwa na mvumo Wa upepo unapoelekea.... Kiongozi gani au mwanachama gani CC alijitokeza...
Inawezekana Samia si katika hao na ndio ikawa shida kwa viongozi wa serikali ambao wameota mizizi ndani ya serikali tokea tupate Uhuru na hata marais wastaafu wanaonekana wakijichomeka kung'ang'ania serikali na sio serikali bali Raisi mpya anaeingia madarakani.
Hisia zinaonyesha kuna magenge...
Ndio stage tuliyofikia WaTz, haya makelele ya Spika ndugai na Raisi Samia ni ya kutafuta kiki na kutaka kupindisha kule wananchi wanakotaka kwenda ,kwenye Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya.
Wameondoka kwenye makelele wametuacha kwenye Mawaziri wepya, wandugu hayo ni yao CCM ,
Nyimbo ya...
To declare my interest mi siyo mwanasiasa ila nafuatilia siasa hasa vituko vya JOB pale mjengoni.
Tangu awamu ya tano ilivyopita ambayo ilijaa KUSIFU NA KUABUDU kwingi ili upate kacheo,Sasa wanaCCM wote walikuwa kimya kupima mama anataka nini ili akuteue. Hotuba yake leo imeonesha wazi kitu...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Januari 3, 2021 jijini Dodoma, Job Ndugai amesema katika hotuba yake aliyoitoa hivi karibuni hakukuwa na jambo la kukashifu wala kudharau juhudi za Serikali ila alikuwa anasisitiza ulipaji wa kodi na tozo mbalimbali.
Bwana Ndugai amesema mwishoni...
Mbona watz mnakuwa watu msioeleweka kivile.
Yule mlimwita Baba Haambiliki ,Magufuli hasikilizi ushauri na sasa mkipata aliekubali kukoselewa ,nafikiri huwaga mara nyingi hugusia yupo tayari kukosolewa bado kwenu imekuwa shida,akitokea mtu kumkosoa au kwenda kinyume na Raisi mnapiga makelele na...
Raisi ni cheo kikubwa sana kinachotawala nchi yeyote duniani hapa
Majukumu ya Raisi ni mazito sana kwasababu anatawala nchi yote kwa ujumla na kuhakikisha kila jambo linakwenda kwa usahihi kama katiba inavyo ongoza.
Inapotokea Raisi ametingwa basi wananchi wakati mwingine wajaribu kuelewa...
Kwako Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwanza pole na majukumu makubwa ya kuongoza taifa hili, au nchi hii na bila shaka umethibitisha kwamba nchi hii ni ngumu.
Moja ya mambo mazito yanoisumbua nchi hii ni uwajibikaji na baadhi ya wananchi kupenda kupata bila jasho au kupiga kama ambavyo...
Rais Samia huna kazi inayokutegemea kama kuipapatua Zanzibar kutoka kwa Mkoloni Mweusi kisha waachie zigo lao wahangaike nalo.
Kama unavyosema wanakuzunguuka basi ujue lisemwalo lipo na kama halipo linjiani linakuja.
Hii ni Golden chance na imetokea kama kudra na rehma kwa waZanzibar cha...
Ni dhahiri kuwa Uraisi sio kazi ndogo mara kadhaa Rais Samia amenukuliwa akiongea kwa upole na unyenyekevu(sijui kama unatoka moyoni) katika medani za kisiasa.
Mara ya mwisho aliwaasa wateule wake kuchapa kazi na kuwa hatatumia nguvu kuwasukuma
bali atatumia wino kuwanyoosha(akili).
Katika...
Tukubali na dalili tumeziona ingawa ndio kwanza, nchi inafunguka kila pembe, hela zimeanza kuzagaa, watu wamejawa na furaha na tabasamu si la kawaida - Hongera Rais Samia Hasan Al Zinjibar, nuru imezagaa kila kona ya Tanzania kama ni Mwenge basi wewe ndie Mwenge wenyewe, endelea kumulika...
Pamoja na mapungufu ya hayati John Magufuli lakini hakupepesa macho wala kumung'unya maneno pale penye ukweli.
Bado Serikali yahangaika kujimwambafwai lakini ukweli wa matatizo yoote yaliyopo nchini kwa sasa uliwekwa wazi na Hayati Magufuli.
Alieleza matatizo ya baadhi ya wahujumu uchumi wa...
Utafiti uliofanyika umebaini Zanzibar kuna wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao 5,554 Huku wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja wakiwa ni 3,300,
Kati ya hao 3,000 wapo kisiwani Unguja na 300 wapo kisiwani Pemba.
Taarifa imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa...
Tatizo la umeme nchi hii haijaanza leo, huku chanzo kikubwa cha tatizo miaka yote kikiwa ni kile kile. Hivyo? hakuna sababu mpya na ilio nje ya uwezo wao zaidi ya hizi serikali za CCM miaka yote kushindwa kuja na suluhu ya Kudumu ya hili tatizo.
Serikali ya Magufuli ambayo Mama Samia alikuwa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.
Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.
Ni wazi...
Habari za jioni Wanajamii,
Leo mwenzenu nimebahatika kushuhudia msafara wa mwenye Mamlaka Nchini. Nilikuwa nimetoka zangu offisin maeneo ya Gerezani Kkoo nikashangaa kuona Trafiki wakiwa bize kusafisha na kutawanya wote watumiao barabara ili Apite. Mimi na Raia wengine tukawa tumekaa pembeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.