raisi

  1. Kijakazi

    Makamu wa Rais anaweza kukataza chochote Tanzania?

    Je, Kikatiba, Makamu wa Rais ana uwezo wa kukataza au hata kuamrisha chochote? I mean, ana uwezo wowote wa hire and fire yoyote yule Tanzania? Nauliza kwa maana isije kuwa tunalishwa matango pori wakati hana amri yoyote isipokuwa labda kiheshima tu.
  2. Mr Why

    Raisi anapokuwa dikteta basi huondolewa madarakani kwa nguvu

    Rejelea kifo cha maraisi wakiwemo Saadam Hussein, Gaddaf na wengineo wengi ikiwemo wa Africa kama Idd Amin na wengineo hii inadhihirisha kuwa raisi anayekandamiza demokrasia basi hung'olewa madarakani kwa lazima. Marekani haitakuwa tayari kuwaacha maraisi wenye tabia kama hizi kuendelea...
  3. K

    Ukali wa Rais Samia ni muhimu kwa utamaduni wetu

    Watanzania hatuongopi mpaka tugombezwe, huu ndio utamaduni na Rais amegundua kwamba kuna wakati lazima uonyeshwe ukali sana kwa mabadiliko kutokea. Tatizo sio mifumo tena ni wezi unao anzia juu hata makatibu wakuu, wakurugenzi nk nao ni wala rushwa . Wakati mwingine wana hujumu makusudi kama...
  4. K

    Tusisahau ripoti ya CAG imekuwa wazi kwasababu ya maelekezo ya Rais

    Tutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Rais Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi. Sasa tusije kuona kama vile haya ni ya ajabu ni kwamba ufisadi ulikuwa unaelezwa kwa mafumbo fumbo huko nyuma na sasa...
  5. 6 Pack

    Sisi Wananchi halali wa Tanzania, tunatuma Ujumbe na Maombi yetu kwako Rais Samia

    Kwanza nianze ujumbe wangu kwa kumtanguliza mwenyezi Mungu alietupa uhai, afya, nguvu na akili ya kusimamia mfumo wa maisha yetu ya kila siku. Pili nitumie tena nafasi hii kuwasalimu watanzania wenzangu ukiwepo na wewe raisi wetu na Mtanzania namba moja, "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?" (Kazi...
  6. The Burning Spear

    Hawa wabadhirifu wanaolalamikiwa na Rais pamoja na Wabunge ni akina Nani?

    Napenda Kujua hawa wanaolalamikiwa ni akina Nani maana. 1. CCM wote wanalalamika. 2. Rais analalamika. 3. Mawaziri wanalalamika. 4. Wananchi wanalalamika. 5. Wabunge wote wanalalamika. Yaani Kila mtu anapiga kelele wakamatwe wakamatwe, kwani hao wezi wa Mali zetu ni wa nchi gani?
  7. T

    Mjadala huru: Mfumo wa kumpata Makamu wa Rais unatufaa kama Taifa?

    Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari. Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote ni katika kuyaelekea mazuri ya ndoto yetu. Kwa hapa Tanzania kulingana na yaliyotokea, bila ya...
  8. Lanlady

    Raisi samia: Nadhani hatuchukui hatua. Ni nani wanaotakiwa kuchukua hatua?

    Nini sababu za kutochukua hatua? Je, ni udhaifu wa serikali kuu, sheria au mazingira?
  9. Championship

    Ninatarajia IGP Camillus Wambura atatuletea taarifa ya kuwakamata watuhumiwa wote baada ya ripoti ya CAG na matamshi ya Rais Samia

    Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana. Sasa kwasababu Rais ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la Polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka...
  10. 6 Pack

    Rais Samia kaniangusha na kunisononesha sana ripoti ya CAG 2021-2022

    KWANZA HIVI NDIO VYEO VYAKE 1) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 2) Mkuu wa nchi na kiongozi namba moja kwa pande zote mbili za Muungano. 3) Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Hivyo ni vyeo ambavyo vinamruhusu mheshimiwa Rais kuchukua hatua kwa mtu yoyote wa...
  11. Mr Dudumizi

    Rais Samia, tafadhali pitia huku uokoe maisha ya mwananchi wako anaepambana kuokoa uhai wake

    Rais wetu, kwa heshima na taadhima napenda kutanguliza salam zangu za dhati kwako na kwa Watanzania wote, waliopo humu na wale wasiokuwepo humu nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia leo katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao yetu ya kijamii ili kupata habari mbali...
  12. S

    Msururu wa magari ya msafara wa Rais wa nchi moja masikini

    Huu ni msafara wa raisi wa nchi ya Equatorial Guinea moja ya nchi masikini Afrika, ambayo ni sawa na mali binafsi ya dictator Nguema wakila matunda ya UHURU huku wananchi wake wakitopea kwenye umasikini.
  13. TRA Tanzania

    Salamu za pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

  14. Messenger RNA

    Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

    Majaji wa mahakama ya kimataifa (ICC),imetoa hati ya kukamatwa popote atakapopatikana rais wa urusi Vladimir Putin. ===== Katika uamuzi wake, ICC imemtuhumu Rais wa Russia kuhusika na uhalifu wa kivita kutokana na kufanya uvamizi na kutwaa ardhi Nchini Ukraine ingawa Moscow imesema hatua hiyo...
  15. Abdalah Abdulrahman

    Kwa shangwe za wafuasi wa CHADEMA jana Rais Samia njia ni nyeupe 2025

    Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
  16. Lyetu

    Kwahii kauli ya Rais Samia, Je Hayati Magufuli ndiye aliamua kufuta mikutano ya kisiasa kwa utashi wake au ni CCM?

    "Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
  17. U

    TANESCO wakata umeme mbele ya Mkutano wa Rais, Kilimanjaro

    Hali hii ya sintofahamu ilitokea siku ya leo katika ukumbi wa Kuringe Moshi, Ambapo Umeme ulikatika ghafla na kuleta taharuki ya kiusalama Ukumbini. Ni Vyema Uongozi wa juu wa TANESCO uwe unafanya maandalizi ya ukarabati na kuhakikisha umeme unakuwepo wakati wote pindi Kiongozi Mkuu wa Serikali...
  18. K

    Hongera Raisi Samia anatumia akili kukuza uchumi na sio hisia binafsi

    Namshukuru Raisi Samia kwa kutumia akili na maarifa kukuza uchumi wetu bila kuweka mbele hisia binafsi. Hisia binafsi ni pamoja na kuweka ukanda, ukabila na uchama mbele ya Tanzania kwa ujumla wake. 1. Kitendo cha kuelewa katiba ni muhimu kwa uchumi wetu. Hasa kwenye sheria za kibiashara na...
  19. Madame S

    Namna ya kuonana na Rais

    Habari wanabodi, Naomba kufahamishwa au kujuzwa je, nikitaka kuonana na mama Samia yani face to face nifanyeje? Wazo hili limenijia kwa mfano unataka kuongea naye je, unamngoja akiwa kwenye msafara unamuomba? Unamngoja afike ikulu ndogo mkoa anaotembelea unamfata? Akiwa safarini unampigia...
  20. K

    Rais kagundua ukweli: Mawazo ya upinzani ni bora kuliko ya bunge hili feki

    Kwa kawaida tu ukimuuliza Mtanzania wa kawaida bunge lililopita limeleta wazo gani lolote tofauti ambalo unalikumbuka? Jibu ni kwamba hakuna lolote wanalo likimbuka kwasababu wamejaa wabunge wengi fake wasiojua kuweka hoja? Lakini ubaya zaidi wananchi wengi wanaona bunge kama sio halali. Kwa...
Back
Top Bottom