Tukubali na dalili tumeziona ingawa ndio kwanza, nchi inafunguka kila pembe, hela zimeanza kuzagaa, watu wamejawa na furaha na tabasamu si la kawaida - Hongera Rais Samia Hasan Al Zinjibar, nuru imezagaa kila kona ya Tanzania kama ni Mwenge basi wewe ndie Mwenge wenyewe, endelea kumulika...