Wakuu Salama?
Naomba mnifanyie critical Review ya huu mchoro toka Kwa Mtaalam wangu.Lengo langu ni 4 bedroom all ensuite Kwa Familia Kubwa/AirBnB na pia.
Itajengwa Village.Wanafamilia watatumia siku za mwisho wa Mwaka Ila wakiondoka inaleta Pesa kama AirBnB.
Vitu gani viko Sawa na vitu gani...
Nimejikuta natafuta Israel kwenye hii ramani, inabidi uitafute sana tu yaani, majitu ya uarabuni yanatia aibu, halafu na huku Afrika kuna wavaa kanzu ambao wanapaswa kuitazama hii picha wajipige vibao vya uso, ni aibu sana kwa kweli, haileti mantiki, nashindwa nicheke, nilie au nihuzunike.
Na...
Kwa wale wapenzi wa kuangalia TV Drama/Series za Hollywood, lazima kutakuwa kuna nyumba umeipenda na ungetamani ungeishi humo.
Leo tuangazie baadhi ya ramani hizo
SEHEMU YA KWANZA
1.HOW I MET YOUR MOTHER
Wanaoikumbuka sitcom hii,iliyokuwa na akina Tedy Mosby,Marshall,Bernie,Robin na Lily...
Habari ndugu wana Jamii Forums,
Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni kidogo.
Nyumba yangu ya kwanza, msanifu majengo mweledi kabisa alitumika na bado chumba...
Wakuu bila kuwafunga waarabu hawataacha kutudharau watu weusi.
Sasa ni dhahili Yanga atacheza finally na Al Ahly ili kumlipiza na kuwatoa waarabu kabisa kwenye ramani ya mpira Africa ili wawe na heshima.
Young African will beat AL Alhly hii ni baada ya ushindi wa gori tatu kesho.
Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari.
Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na...
Mimi sijasomea kuchora ramani ila nina ustadi huu.
Nataka nigeuze ustadi huu kama side hustle nijipatie kipato.
Je, kuna process zinatakiwa kufanywa kabla sijafungua ofisi ya namna hii.
Wakuu habari za hapa,ninauza ramani ya kuanzia maisha ,ramani ya vyumba viwili,KIMOJA master,jiko,sebule, choo cha public. Ramani hiyo Ina kurasa za paa,msingi,muonekano,na vipimo vyake. Kwa mawasiliano nichek inbox.
NB: NAUZA KWA SABABU MIMI MWENYEWE NIMENUNUA,NDIO AMBAYO NIMEJENGA.
Habari.
Nina shida na Ramani ya nyumba yenye sifa zifuatazo
-Vyumba viwili vya kulala, kimoja master
-Sitting room
-Public toilet
-Jiko
Naomba kuwasilisha
Je hii kitu Ina accuracy kiasi gani?
Je, inaweka kumlocate mtu akilala guest flani na hajawahi lala hapo?
Je, ukipita mahali hata mara moja kama location ipo on, baadae ukiangalia kwenye ramani itanyesha uliwahi lala hapo?
habari za jioni wadau heri ya mwaka.mpya naomba kuuliza kama nimepata coordinate za eneo usiku kwaajili ya kurasimisha kiwanja changu nawezaje kupata ramani ya mipango miji ya eneo husika na gharama yake kupata ramani ni sh ngapi
Habari ya muda huu,
Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki.
Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe.
Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati mwingine mikopo.
Alipokuwa neutral kwenye online TV alipata wafuasi na mafanikio yakaonekana. Soon...
Huku mataifa yanayoongozwa na chuki za kidini yakitaka Wayahudi wauawe na Israel ifutwe kwenye ramani ya dunia, kuna idadi kubwa sana ya mataifa yanayotambua haki ya Wayahudi kuishi dunia hii.
Kuna machache yamesitisha uhusiano kama mbinu ya kulalamika kwa jinsi Israel inatembeza kichapo pale...
Wana JF
Kagera imepata mwarobaini wa matatizo makubwa waliyokuwa wanayapata kwa muda mrefu.
Mkuu wa mkoa kagera afichua uozo hatari uliokuwa unaendeshwa chini chini na genge la wahuni kuhujumu miradi mbali mbali ya maendeleo. Nisikuchoshe sana hii hapa hotuba kali ya mkuu wa mkoa pamoja na...
Ndugu wanajamvi, habari za majukumu?
Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha.
Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.