Jamani naombeni mnipe ramani, yani nakuja Dar natokea Njombe.
Natarajia kuingia Dar stand ya Magu saa 1 usiku naombeni mnielekeze guest( cheap) ya karibu na pale.
Kesho yake nitatarajia kwenda K,koo - hapa naomb mnitajie ntapand hiace zipi Hadi nifike Kariakoo(yani Ile center ya biashara)...
"Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania..."
Ningetamani kuimba hata mwisho lakini wengi tunaufahamu na tumewahi imba. Ila nilikisudia tuvute taswira na kuyatafakari maneno ya wimbo huu...
Ramani ya kushoto ni kipindi Urusi ilikua imeingiwa na mzuka wa balaa, na kujitutumua kuiparamia nchi ya watu, tulishuhudia mengi sana ikiwemo limsafara kuliwa na wabeba javelin, sasa Urusi imenywea ni hii hapa tunaiona ipo kwenye kujitetea au defensive, wanaendelea kurudishwa nyuma hatua kwa...
Wakuu,
Ni matumaini yangu mpo bukhery.
Naombeni msaada wenu hapa kwenye haka karamani.
Target yangu ilikua ni kutumia tofali range ya 3200-3600 ....
Sasa nimeambiwa tofali 4300 kichwa kinawaka moto.
Msaada wenu wakuu.
Miezi kadhaa iliyopita tulionyeshwa ramani ya jengo la gorofa wakidai ndiyo itakuwa Ofisi mpya ya CHADEMA.
Juzi hapa vyombo vya habari vimeonyesha jengo tofauti kabisa na Ramani ambayo CHADEMA wangejenga, mbaya zaidi jengo linaonekana Kama ni used kwa kuangalia ukubwa wa miti na maua...
Ramani ya Ukumbi/Venue
Unauwezo wa kuhudumia watu 400
Pia Tunatoa huduma zifuatazo
◇RAMANI NA UJENZI
◇KUFATILIA VIBALI VYA UJENZI
◇KUANDAA GHARAMA ZA UJENZI (BOQ)
◇USIMAMIZI WA UJENZI
Wasiliana nami
+255 654 132 000
hummertimebuilders@gmail.com
Tunapatikana; Shekilango- Dar es salaam.
Habari ndugu zangu leo sina mengi naomba mwenye ramani ya mkoa wa dar es salaam inayoonesha mipaka ya wilaya na mitaa yake aniwekee hapa kwa mfumo wa PDF au picha kwa mfumo wa JPGE/PNG nina uhitaji nayo muhimu sana, nitashukuru sana kwa msaada huo. Mungu awabariki, karibuni sana canada.
Je;
1. Umejenga mfumo wa kizamani ila unataka kuubadili kuwa wa kisasa na wa kuvutia zaidi? (Mfano; Nyumba ya chini kuwa ghorofa, Nyumba za paa za kuonekana kuwa za kujificha)
2. Unataka kukarabati Jengo la zamani na kuifanya kuwa kama mpya?
3. Ulijengewa vibaya na unahitaji kurekebishiwa...
Nyumba hizi nyingi zipo Ilala miji ya zamani, Kigogo, Mburahati, Vingunguti, Mbagala, Keko n.k Utofauti unakuja kwenye kupaua na idadi ya vyumba tu ila ramani ni moja.
Baada ya kuupima mziki wa ghorofa na kuona ni kina kirefu sasa nahamia rasmi kwenye mabangaloo aka Freemason.
Kuna floor plan ya huyo mwamba hapo. Naombeni maoni yenu na kukosoa kwingi kabla sijamchek
Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
Nimeipenda nyumba hii nikawaz nibadilishe iwe frem lakini huku madirisha ya mbele nayabadilisha kuwa mlango , jumla inakuwa na frem 3 . Buget yangu ya ujenzi mpaka kupaua bila finishing ni milion 5 na kila frem nataka iwe futi 20 kwa 10
Nitatumia fundi Maiko kujenga na kupaua ,eneo ipo nje...
Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii.
Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani Ndondokela Kocha hana mbinu, yaani yeye kakaa kukalili tu mfumo, yaani hata huo uprofesa sijui alipata...
Habari wakuu?
Nimerudi tene kijana wenu niliechoshwa na sarakasi za wenye nyumba na wapangaji wenzangu,
By the way naomba kujuzwa kati ya hizo RAMANI 2 nilizo'attach hapa ni ipi naweza kuikamilisha kwa 7M nikahamia, ama siziwezi zote?
Thanks 🙏
Kwa akili tu ya kawaida hii kesi ya Feisal ilikuwa wazi sana ata kwa mtu asiyejua sheria na miongozo ya Fifa kwenye mikataba ya wachezaji angeweza kuiamua bila shida.
Ni kichekesho sana unaingia mkataba kulipwa shingi 100 na unasaini mkataba alafu baada ya muda unamuona mwenzako analipwa shingi...
Karibu tukuchoree ramani ya nyumba ya kisasa kwa bei ya ofa ya msimu wa sikukuu wasiliana nasi kwa simu au whatsapp 0717 040 837 au +255 767 267 664.
Anza mwaka na malengo makubwa ya kumiliki nyumba yako. Kodi Noma, hamia kwako
Ndugu zangu Hivyo Ndivyo Hali Ilivyo kwa Sasa, Kasi ya Rais Samia kuwatumikia watanzania wa makundi yote,vyama vyote, Rika zote, jinsia zote, Kanda zote, Dini zote,makabila yote,maeneo yote na watu wa Hali zote bila ubaguzi wa aina yoyote kumeipoteza Chadema Katika Ramani ya siasa hapa nchini na...
Nataka upcoming architect anichoree ramani simple ya nyumba ya mkoani huko. Vyumba viwili kimoja master sebule, jiko choo cha master na public.
Sina budget kubwa.
Njoo dm na proposal yako tusaidiane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.