Habari wadau naitaji ramani ya nyumba ya vyumba vitatu na sebule isiwe yakuwekeza kwa bati nataka izi za kisasa.
Kiwanja changu ni 15*15 kipo Arusha ila mmi nipo DSM kiwanja kipo sehemu flati na kipo vizuri kabisa.
Msaada wenu au ushauri wadau.
Kiukweli wanakawe watamkumbuka sana JK kwa mradi huu. Muonekano wake ni mzuri sana. Cha kushangaza toka mzee mzima Magu aingie mradi umebaki magofu sasa.
Jambo la kujiuliza: Je, mradi huu ulikuwepo kibajeti au kulikua na ufisadi ndani yake? Kwanini umesimama toka 2016?
Mwenye kujua chochote...
Hivi mashabiki wenzangu mnapendezwa na namna ya usajili wetu unavyoenenda hivi sasa.
Ona sasa vituko hivi, Kuna mshambuliaji kutoka Lusaka Dynamo Chrispine Mugalu (ambaye huenda akasaini ndani ya siku 2 zijazo klabuni kwetu). Huyu ni forward ambaye takwimu zake za ufungaji ni za kiduwanzi...
Kwa kupata Huduma hizi wasiliana nasi 0626814150/0765105802.
1.Ramani za Majengo ya kibiashara <Lodge, Guest house, hotel, mighawa, maghala supermarket>, Huduma za kijamii <Shule, hospitali> na Majengo ya makazi (Architectural drawings).
2.Ramani za michoro ya Nondo (Structural Drawings)...
Kwa kupata Huduma hizi wasiliana nasi 0626814150/0765105802.
1. Ramani za Majengo ya kibiashara <Lodge, Guest house, hotel, mighawa, maghala supermarket>, Huduma za kijamii <Shule, hospitali> na Majengo ya makazi (Architectural drawings).
2. Ramani za michoro ya Nondo (Structural Drawings)
3...
Chasis ya Scania Bus engine nyuma
Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani.
Miaka ya katikati Mchina akaleta mabasi ya YUTONG na Zongtong. Matajiri wengi wakazimbilia...
Doltu Architects offers design and planning services for new construction, renovations and additions for commercial and residential projects.Our architectural fee are competitive and our services are of great value.
contacts: 0654003555
mail:doltuarch@gmail.com
Hadi hivi sasa Tanzania na Afrika Mashariki hali ni shwari. Kabla ya kupitia thread hii osha mikono kwa kimiminika chenye uwezo wa kupambana na maambukizi, maji safi na sabuni. Hali ni mbaya duniani kote maambukizi yanazidi kuongezeka pamoja na vifo vikiripotiwa.
Tanzania na Sehemu ya maziwa...
Habari za Muda huu wadau, Poleni na majukumu ya kila siku, Ni tumaini langu mko vema kama ilivyo ada.
Natumai kuna watu wanajenga msimu huu kuuanza mwaka 2020 kwa mafanikio ya aina yake, sasa iko hivi nipo hapa kuwarahishia majukumu yetu kwa namna hii, na design ramani za Nyumba (Architectural...
Kwanza nitoe pongezi kwa serikali kwa ujenzi wa meli katika Ziwa Nyasa na Ziwa Victoria na marekebisho ya meli zilizokuwepo.
Kwa kipindi kirefu ramani (Navigation Chart) ambazo zimekuwa zikitumika Ziwa Nyasa ni za zamani sana, hivyo inapaswa hydrophic survey ifanyike na zitengenezwe ramani...
Kila naposafiri kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kwa njia ya barabara, huwa nashangazwa kuona majengo ya ofisi katika vituo vya kupimia uzito wa magari (weigh bridge) hapa nchini yakitofautiana kwa rangi na hata style ya ujenzi ingawa yote yako chini ya serikali moja na yanafanya kazi ile...
Nina eneo katika makazi yangu nimelitenga kujenga nyumba ya ghorofa 3. Chini (basement) frame za biashara, floor ya kwanza ni kwa ajili ya bar & restaurant yenye counter ya bar, jiko, na vyoo.
Floor ya pili ni ukumbi wa mkutano/semina/ibada/ Harusi n.k. yaani ni multipurpose kwa shughuli aina...
Hello there wana-JF!
Mimi ni mgeni katika forum hii, but i can see you are doing fine helping each other! Thats cool brothers, Keep it up!!!
Naishi hapahapa Dar, na nina plan ya kuanza ujenzi wa nyumba kwa ajili ya familia yangu, sasa nahitaji msaada wa mtu yeyote anayejua sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.