Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika.
Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
Hello wakuu mambo vip.
Tafadhali wale wazoefu, naomba kujua makadirio ya haraka haraka kwa msingi tuu, wa ramani hii maana pesa ni za kudunduliza.
Makadirio ya tofali
Makadirio ya mifuko ya cement
NA nondo za lenta ya msingi
Pia na ufundi.
Nyumba ukubwa ni meter 80
Kamjengo nataka kuweka...
Zipo sababu nyingi za nchi kufahamika kwa jina lililopo, baadhi ya sababu hizo ikiwa ni pamoja na lugha ya asili ya wazungumzaji, wageni au wafanyabiashara waliofika katika eneo hilo, jina la mtu maarufu au eneo maarufu katika nchi hiyo nk. Hakuna sababu moja iliyosababisha kila nchi kupata jina...
Mods sitaki mbadili title,
Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.
Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita...
Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
Ramani hii kwa kiwanja chenye ukubwa wa urefu 15 na upana 11,je inaweza kufiti na pia kipi niongeze ama kipi nipunguze. Maoni yenu muhimu kwenye ili swala.
Habarini Wajanamvi
Mimi ni mkazi wa Kigamboni kwa muda sasa nina 20 yrs katika wilaya hiyo.
Kuna maswali mengi ambyo nimeshindwa kuyajibu kichwani kwangu. Ninaomba mwenye uelewa au kufikisha hili jambo kwa Waziri wa Ardhi.
Si kawaida ya serikali kuona karibu namna ile kwenye ule mji.. Nahisi...
Atakayeweka ramani nzuri nitamtaka anipe namba yake nimtumie laki anipe ramani kamili yenye vipimo nianze ujenzi.
Nahitaji ramani ya nyumba ambayo haina kelele nyingi: vumba 4 viwili master, jiko na sebule. DESIGN yake iwe simple ili nitumie gharama kidogo.
Atakayeweka na makisio ya gharama...
Amani iwe nanyi wadau!
Leo napenda kuongelea kuhusu suala la program aliyoibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kui rebrand nchi yetu na faida ya programu hii kiuchumi huko mbeleni.
Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa Mama Samia na huu ubunifu wake. Kwa uzoefu wangu, nchi chache...
Hizi ni baadhi ya 3D view za design ambazo nimeziandaa,
1. Ina sitting room, three bedroom, guest room, study room, kitchen, store, public w/c
Inachukua nafasi ya 222.65SQM.
2. hii ina masterbedroom moja,Two bedroom,study room,sitting room,kitchen,dining and public w/c.
plot coverage ni...
Nimejitahidi kadri ya uwezo wangu naanda hii ramani ya nyumba ya vyumba viwili kwaajili ya watanzania wenye uchumi wa kawaida kama mimi.
Unaweza kujionea hapa chini. Ila bado haijamalizika.
Contempo.(hiden roof) ni mtindo mpya wa ujenzi wa nyumba Tanzania lakini wengi wanaishia kupata hasara kwasababu wanajenga bila kua na michoro ya kitaalamu hivyo zinaishia kuvuja.
Ili ujenge mtindo huu unatakiwa kwanza kuwasiliana na wataalamu wa ramani wakuandalie mchoro hutapata shida...
Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani.
Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya diseli na petroli kufikia mwaka 2030 na wameazimia kuanza kutengeneza magari zaidi yatumiayo betri.
Hata...
Kwa mahitaji ya ramani kwa gharama nafuu pia ukihitaji schedule of materials ambayo itakusaidia kwenye kufahamu idadi ya materials ya ujenzi wako, contact 0679851483/0754984819. Hii design in two bedrooms, na one masterbedroom,kitchen,dining,sitting room,store, design cover 11m x 12.5m.
hii...
Habari JF..
Hizi habari za israel kufutwa kwenye ramani ya dunia na maadui zake nimezisikia toka zamani sana.
Hivi wanakwama wapi hawa wanaotaka kuifuta israel kwenye ramani ya dunia?
Israel kazungukwa na maadui pande zote lakini bado anadunda.
Je, wanakwama wapi?
Habari wakuu,
Baada ya kuhangaika kwa muda mrefu sasa nimepata ufumbuzi wa kuweza kujua vipimo vya ramani yoyote ile ambayo haina vipimo kwa haraka (express) ni zoezi la dakika mbili tu bila kuumiza kichwa.
Basi kama una karaman hakana vipimo na alafu unahitaji vipimo vyake kalete hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.