Habari wakuu, nina taaluma kutengeneza hesabu na gharama za materials na idadi ya materials, mfano kutambua idadi ya matofali,mabati, misumari, mbao za roof structure na ceiling blandering/gypsum board, idadi ya zege (cement, sand/trip za mchanga and Aggregate/trip za kokoto), Idadi ya nondo...