rasilimali za taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Ziara ya Rais Traole wa Burkina Faso italeta kichocheo kwa Watanzania cha kuchukia utawala wa kifisadi unaogawa rasilimali za Taifa kwa wageni?

    Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani...
  2. B

    SoC04 Udhibiti na kuimarisha utawala bora, mifumo ya kiserikali kulinda rasilimali na maslahi ya taifa

    Imewahi kunukuliwa kwa viongozi waliopita wa Taifa letu na kitu ambacho ni ukweli ya kwamba nchi yetu ni tajiri, Na utajiri wetu unajidhihirisha katika rasilimali zetu za asili kwa maana ya madini, mbuga za wanyama (utalii), maziwa, mito na bahari, ardhi na watu. Kwa maana nyingine tuna kila...
  3. R

    SoC04 Serikali ya JMT inatakiwa kuchukuwa hatua madhubuti katka kusimamia rasilimali za taifa hasa kwa kuwekeza kwenye rasilimali watu ambao ndio msingi

    Serikali ya JMT ili kufikia mabadiliko yatakayoleta maendeleo wananchi waliyo na kiu nayo serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye rasilimali watu kuendana na mabadiliko yenye mapinduzi ya tekinolojia katika kutelekeza miradi mbalimbali na kuchagiza ubunifu wa ndani uliosambamba na matakwa ya...
  4. SoC04 Mali Asili za Tanzania Zinapaswa Kuwafaidisha Wananchi Kwanza

    Utangulizi Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa wingi wa mali asili zinazojumuisha madini, misitu, wanyamapori, ardhi yenye rutuba, na vyanzo vya maji. Kwa miaka mingi, mali hizi zimekuwa zikivutia wawekezaji kutoka nje ya nchi huku wananchi wakibaki bila kunufaika ipasavyo. Ni wakati mwafaka sasa...
  5. Maswali muhimu kwa wanaojua ukweli

    Tumepewa Maneno mengine na maushahidi: 1. Eti bandari zote kapewa/Kauziwa mwarabu wa Dubai? 2. Eti misitu hecta 80,000,000 ameuziwa mwarabu wa Dubai kuvuna hewa ya ukaa? 3. Eti mbuga za wanyama zote wameuziwa waarabu na wakazi wa mbugani wamasai wamefurushwa? 3. Eti sehemu ya bahari na madini...
  6. Msimamo wa CCM kwa rasilimali za Taifa ni upi?

    Kwa mujibu wa katiba ya JMT suala la rasilimali za Taifa limejengewa wigo mpana wa ulinzi wake kupitia ibara ya 27.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda maliasili ya Jamhuri ya Muungano, mali ya mamlaka ya nchi, mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia kuheshimu mali ya mtu...
  7. Tafakuri: Bora ukose hadhi ya kibalozi kuliko kukosa heshima ya kutetea rasilimali za taifa lako

    Mobutu Seseko wa Zaire alikufa kifo chenye fedheha na kisichofaa hata kidogo maana pamoja na kushirikiana ma wezi wa rasilimali za Wazaire sasa Drc alifia ugenini na bila heshima yoyote. Hii ni kwa sababu alishindwa kuwa mzalendo kulinda rasilimali za taifa lake liwanufaishe raia wa taifa hilo...
  8. Ile dhana kuwa CHADEMA ni waganga njaa na walamba asali imeyeyuka ghafla. Wanaonekana wanauchungu na rasilimali za taifa lao. Wanaamika japo sio sana

    Huko nyuma walianza kuonekana kama waganga njaa ambao wanatumia siasa kujinufaisha. Ndio maana wakiitwa Ikulu wanakimbia kula pilau na juice. Leo hii wamekomaa na Sakata la Bandari. Wamechambua na kueleza namna huu mkataba haufai. Wananchi wanawaamini kama Wapinga ufisadi Wamerejesha imani...
  9. Bunge linawaalika kutoa maoni ya muswada wa kulinda rasilimali za taifa

    Kweli wamedhamiria, mnaalikwa kwenda kutoa maoni juu ya mabadiliko ya sheria mbalimbali kama tangazo linavyoonekana. Miongoni mwa sheria zinazobadilishwa ni 'The natural wealth and resources act". Ni wazi kuwa mabadiliko hayo yanafanyika ili kuhalalisha haramu ya mkataba wa DPW. Kazi kwenu...
  10. D

    SoC03 Uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za taifa kwa manufaa ya wananchi

    Utangulizi Rasilimali za taifa ni tunu muhimu ambazo zinapaswa kutumiwa kwa manufaa ya wananchi wote. Kwa miongo mingi, suala la uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za taifa limekuwa likikumbwa na changamoto nyingi, zinazosababisha wananchi kushindwa kunufaika ipasavyo na utajiri...
  11. B

    Ya Bandari, Rasilimali za Taifa, Umasikini na Rushwa: Je, sisi ni Taifa huru? Aina tatu za uhuru

    Asalam, bado naendelea kujiuliza uliza, je tuna uhuru wa aina gani? je jirani yangu yuko huru? je Mzee Mwanakijiji yuko huru? Je FaizaFox Yuko huru? na Mzee Paschal Mayala yuko Huru? Vipi Mamdenyi na Esta hapa? Uhuru wa Kisiasa Uhuru wa kisiasa ni uhuru ambao watu binafsi wanao kushiriki...
  12. Bunge Hili Batili Lizuiwe Kujadili Chochote Kinachohusu Rasilimali za Taifa

    Kila mtu anajua kabisa kuwa hawa waliopo Bungeni, ni wahalifu, hawakuchaguliwa na wapiga kura. Je, ni halali wahalifu wa kupora haki za wananchi za kuwachagua wawakilishi wao kupitia boksi la kura, kufanya maamuzi juu ya rasilimali za Taifa? Mwizi haachi asili yake. Hawa waliopo bungeni ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…