Nilinunua 150,000
Kwa sasa sina kazi nayo zipo 2 unaweza kuongea hadi km 15 hadi 20km
Kwa sasa sina kazi nayo nauza bei ya hasara 100,000 zipo banana
0743257669
Kwa msiojua unaweza kuongea na mtu bila kutumia vocha wewe ni kuichaji tu kwa kampuni za ulinzi
Godauni,mashambani,kiwanda hii itakufaa