Tokea kuibuka kwa Radio nyingi binafsi kufunguliwa mlango mwanzoni mwa miaka ya 90s. Kukaibuka na kampuni za kijanja za kutengeneza na kusimamia pamoja na kusambaza matangazo ya biashara nazo zikaibuka.
Na upigaji ukawa mkubwa. Shirika ama Wizara zikaingia mkumbo wa kununua matangazo kwenye...
Hivi karibuni kila redio unayosikiliza hasa hizi za FM KITAA ukiitoa TBC basi lazima ukutane na matangazo ya kupigia debe kamari mpaka inakera. Kwenye simu nako kila wakati zinatumwa meseji za kuhamasisha watu wajiunge na ubashiri...
Hivi kama Taifa tumeshajiandaa na madhara yanayokuja na...
Mwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo.
Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda.
Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani...
Serikali ya Kijeshi imechukua maamuzi hayo kwa madai kuwa kituo hicho kimetangaza taarifa za uongo na kuwapa nafasi Waasi wa Kiislamu kusikika kwenye matangazo yao.
Pia, Jeshi limesema RFI ilirudia ripoti iliyokanushwa kwamba Rais Kapteni Ibrahim Traore aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya...
Yaani kama Simba SC na Argentina zinafungwa tena zikiwa na Nyota wao akina Chama na Messi Wewe Yanga SC ni Nani Usifungwe? Kudadadeki.
Wana Yanga SC Wote mlioko hapa JamiiForums jiandae Kunichukia GENTAMYCINE kuanzia sasa (leo) na tukutane hapa hapa baadae Saa 4 Kamili Usiku.
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, binafsi nilikuwa napenda kipindi Asubuhi na Vodacom Cha legend Freddy Fidelis RIP kukiwa na tangazo la HEBU NIAMBI VODACOM NI NINI, NIPE ZAWADI YANGU, NANI KAKUAHID ZAWADI.
Pia kulikuwa na tangazo la bia SAFARI NI SAFARI IWE USIKU AU...
Kwa kiasi kikubwa mambo tunayoyafahamu yanajengwa (Shaped) na yale tunayoyaona na kuyasikia na jinsi tunavyoona na kusikia zaidi ndivyo yanavyozidi kutukaa akilini na kuwa sehemu ya maisha yetu.
Nilikuwa likizo siku za karibuni hivyo mara nyingi nyumbani nikiwa nafanya kazi ndogondogo nimekuwa...
1. Kuongeza Umasikini kwa Kubahatisha
2. Moyo Kudunda sana kwa kuwaza kama utashinda au hapana
3. Uwizi wa Fedha Kwingineko ili ucheze hizi Bahati Nasibu kila mara au kila Siku
4. Wivu na Chuki Kuongezeka kwa Walioshinda
5. Kumkufuru Mwenyezi Mungu kama Mmoja anacheza mno ila hafanikiwi na...
Habari za Muda huu
Kwa wataalamu naombeni msaada Redio ya gari Ina frequency 76-90. Nitaweka kubadili frequency zisome 88-107 au njia mbadala nipate frequency za kibongo.
Kila Mwanamichezo nchini jicho lake lipo katika Uchaguzi huu,,hata wale wa upande wa pili, Agenda yao Kwa sasa ni uchaguzi wa Mabingwa wa Taifa.
Kinachofurahisha hadi Wanaharakati wapinga kila kitu cha Wananchi nao wamesimama na Content ya Chaguzi kuu la Machampioni.
Yes, hawa tunakosea...
Nitoe wito kwa wamiliki wa vituo vya redio na luninga kuwa watuondolee mbali hao wachambuzi wa soka uchwara.
Kuna wachezaji kibao wa zamani ambao wangetuchambulia soka kwa kutumia weledi na Siyo ushabiki. Wapo kina Sunday Manara, Zamoyoni Mogela, Boniface Mkwasa na watu wa aina Yao waliowahi...
Siku chache tu zijazo Yanga SC inatimiza mwaka Mmoja tu (ila siyo Msimu) wa Kucheza Ligi Kuu bila ya Kufungwa.
Tayari kuna baadhi ya Watangazaji wa Michezo wa Redio na Television bila kuwasahau na Wachambuzi wa Michezo ambao pembeni yao Wakidanganywa taratibu na Afisa Habari wa Yanga SC...
Collins Sambaya mkazi wa Kaunti ya Vihiga amepata kadhia ya kupigiliwa misumari na kuwekwa kwenye mti kwa tuhuma za kuiba redio. Kijana huyo anaendelea na matibabu
Waliofanya tukio hilo ni Eric Irime na mdogo wake ambao awali walimpeleka mtuhumiwa wao polisi na aliachiwa kwa kukosekana...
Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila kwa Upuuzi wenu huu wa Kuchambua Kiuwoga au Kimahaba au kwa Bahasha Kunawaharibia na wenye Akili, tusio Wanafiki na wapenda Haki sasa tutaanza Kuwadharau na hata Kutosikiliza hivyo Vipindi vyenu vya Michezo vya Redio.
Halafu nyie Wachambuzi wa Michezo katika...
Radio Tanzania kipindi cha michezo saa 2 kasorobo mpaka saa 2 kamili.
Robo saa inatosha kipindi cha michezo. siku hizi radio inakipindi cha michezo asubuhi masaa matatu na jioni masaa mawili na kila kipindi cha katikati kina segment ya michezo.
Yaani unaangalia mechi azam tv ikiisha unaangalia...
Na hata ukiwachunguza tu wa Redio na Runinga wengi wao ndiyo wanaongoza kwa Kupenda 'Kulelewa' na 'Mijimama', Wana Tamaa za Kipopoma ( Kipumbavu ), Wanafiki, Waongo, Wala Rushwa na wapenda Michongo sana, Wafitini na Wadangaji wengi utawakuta huko na hata ukitafuta 'walioathirika' na Gitaa pendwa...
Walichokuwa wakisema Wiki Moja kabla ya Kucheza na Congo DR leo na kupokea Kichapo cha Kishalubela ( Kikatili ) ni.....
"Congo DR ya sasa si lolote na chochote kwani Wachezaji wao wengi tunawajua na tunao hapa Tanzania. Congo DR watakufa kwa Mkapa na Kipigo Kwao hakikwepeki kwani kwa sasa...
Niimekuwa nikifuatilia kipindi cha michezo cha Wasafi redio baada ya kuondoka kwa Mkuu wa idara ya michezo ya WASAFI Redio Maulid wa Kitenge kutokana na mapenzi niliyokuwa nayo na Redio hiyo hasa kutokana na kuleta hamasa za kufa mtu kwa redio nyingine za zamani lakini ninachoambulia sasa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.