Serikali ya Kijeshi imechukua maamuzi hayo kwa madai kuwa kituo hicho kimetangaza taarifa za uongo na kuwapa nafasi Waasi wa Kiislamu kusikika kwenye matangazo yao.
Pia, Jeshi limesema RFI ilirudia ripoti iliyokanushwa kwamba Rais Kapteni Ibrahim Traore aliyeingia madarakani kwa mapinduzi ya...