Mimi kila alfajiri huwa nasikiliza RTD, ili kusikiza Usia wa baba, utabiri wa hali ya hewa pamoja na mambo mengine, na baadae nahamia RFA kusikiliza BBC.
Kwa wiki kadhaa sasa nimegundua ya kuwa Vituo hivi, yaani RTD na RFA wanapishana muda...kwani baada tu ya RTD kusema imetimia saa kumi na...