Mimi sio muisilam ila huwa napenda sana kufatilia mawaidha!
Iftari za siku hizi si kuftrisha tena watu wenye uhitaji kama mayatima, wajane, wazee wasio jiweza na watu wengine wasio na uwezo!
Nashangaa baadhi ya Wanasiasa wasio Waislam kufuturisha kana kwamba nao ni waumini waliofunga Ramadhan...