ripoti ya imf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti ya IMF: Tanzania yashika nafasi ya 3 kwa kasi ya ukuaji wa uchumi Afrika Mashariki

    Ripoti mpya ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ya mwezi Aprili 2026 imeitaja Tanzania kuwa ya 3 kwa uchumi wake kupanda Afrika Mashariki Kulingana na takwimu hizo, uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa kasi ya asilimia 6.6 mwaka 2026, kiwango ambacho ni kikubwa ikilinganishwa na wastani...
  2. JamiiForums Tanzania Ripoti ya IMF (2025): Tanzania Miongoni Mwa Nchi 10 za Afrika Zenye Deni Kubwa la IMF

    Asilimia 77.4 ya deni la nje la Tanzania linashikiliwa na Central government, ikimaanisha kuwa serikali ndiyo mkopaji mkuu. Hii inaashiria utegemezi mkubwa wa mikopo ya kimataifa kwa ajili ya maendeleo, miundombinu, na mahitaji ya kifedha. Tanzania ambayo deni lake la Taifa limepaa kwa kasi na...
  3. JamiiForums Tanzania Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in February 2025

    Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in February 2025 While some African countries have chipped away at their debts others have piled onto them, as they’ve reached out to financiers like the International Monetary Fund (IMF) for financial aid. Excessive debt accumulation...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaendelea Kung'ara Uimara wa kiuchumi: Ripoti ya IMF Yathibitisha Udhibiti Imara wa Deni la Taifa

    Ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya deni la mataifa 186 duniani imeonyesha kuwa Tanzania inazidi kuimarika kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika ripoti hiyo ya Economic Outlook ya Oktoba 2024, Tanzania imeorodheshwa na uwiano wa deni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kulingana na ripoti ya IMF ya hivi karibuni, Tanzania haimo katika top 10 ya nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi Afrika

    South Sudan, ripoti ikionyesha uchumi wao utakuwa kwa 27.2% kufikia 2025, japo katika 2024 inflation yao ni 120% Libya, wikitarajiwa uchumi kukua kwa 13.7%, inflation iko 2.4% Senegal, uchumi kukua kwa 9.3%, infation iko 1.5% Sudan wao uchumi utakua kwa 8.3% kufikia 2025 Uganda wanaenda kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…