ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ripoti UNICEF: Wajawazito, Wanaonyonyesha na Wasichana Milioni 6.6 wanakabiliwa na Utapiamlo Mkali

    Utafiti mpya uliofanywa na Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) umeonesha dunia inakabiliwa na ongezeko kubwa la Wanawake Wajawazito, Wanaonyonyesha na Wasichana waliothiriwa na Uhaba wa Chakula na #LisheDuni. Watoto Milioni 51 wenye chini ya miaka 2 wanakabiliwa na Udumavu kutokana na...
  2. Ripoti: Nusu ya watu Duniani watakuwa na uzito uliozidi Mwaka 2035

    Shirika la Watu Wanene (WOF) limetoa angalizo na kueleza hatua hiyo itafikiwa ikiwa hatua hazitachukuliwa mapema na kuwa zaidi ya watu bilioni nne watakuwa katika hali hiyo. Ripoti imeonesha four billion changamoto hiyo inaanzia kwa Watoto na Nchi zenye kipato cha chini au cha kati Barani...
  3. Rais wa Soka Ufaransa ajiuzulu baada ya ripoti mbaya ya ofisi yake na tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi Mwaka 2014. Kabla ya kuchukua uamuzi huo kiongozi huyo alijiweka pembeni kwa muda wakati Serikali...
  4. Ripoti ya Prof. Mruma kuwa Accacia haipo Tanzania, ni wakati atujibu kama ripoti hii ilifanywa kwa kufuata maelekezo

    Ripoti ya Prof Mruma kuhusu Makinikia na kampuni ya Accacia, ilikuja na jibu kuwa "Accacia ni kampuni feki". NANUKUU ( It is confirmed that Accacia Mining is Non-Existing entity in Tanzania) SOMA PIA: Pamoja na mambo mengine, katika matokeo ya uchunguzi wake, kamati ilibaini kuwa Kampuni ya...
  5. Gharama kubwa za Vifurushi vya Intaneti ni kikwazo kwa Waafrika

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Statista, Waafrika wengi wanashindwa kutumia Intaneti kutokana na gharama ya Huduma hiyo kuwa kubwa Wananchi kutoka Mataifa mbalimbali Barani humo wanategemea Mtandao ili kupata Huduma muhimu, lakini wanatumia gharama kubwa ili kuweza kupata Intaneti Gharama zinapokuwa...
  6. Ripoti GHACOF63: Uhaba wa Mvua utaongeza Watu wanaokabiliwa na Njaa

    JF SUMMARY Mamlaka ya Maendeleo baina ya Serikali za Afrika Mashariki, (IGAD) imesema eneo kubwa la Pembe ya Afrika linatarajiwa kukumbwa Mzozo wa Kiuchumi zaidi kutokana na Ukame utakaoendelea kwa msimu wa 6 mfululizo. Nchi za Ethiopia, Kenya, na Somalia zinatarajiwa kupata mvua chini ya...
  7. Ripoti NPS: Mbumbumbu waongezeka nchini

    Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji wa kaya (NPS) ya mwaka 2020/2021 inaonyesha kuwa asilimia 76.0 ya Watanzania wote kwa ujumla ndiyo wanaojua kusoma na kuandika. Takwimu hizi zinatoa tafsiri kuwa asilimia 24 iliyosalia ya Watanzania wote hawajui kusoma na kuandika. Idadi hii ni ishara hasi...
  8. Ripoti: Waasi wa M23 walibaka wanawake na kuua waume zao DR-Congo

    Taasisi ya #AmnestyInternational imesema zaidi ya Wanawake na Wasichana 66 walifanyiwa Vitendo vya Ukatili ikiwemo Kubakwa katika kijiji cha Kishishe na kuua Wanaume kadhaa Novemba 2022. Kupitia mahojiano waliyofanyiwa baadhi ya Waathirika wa vitendo hivyo wamesema Waasi wa #M23 walivamia...
  9. Ripoti: Wakenya zaidi ya Milioni 6 wanakabiliwa na Njaa Kali

    Ripoti mpya iliyotolewa na taaisi ya Kenya Food Security Steering Group imeonesha idadi ya Wananchi walioathirika na Ukame imeongezeka kutoka Watu Milioni 4.2 iliyoripotiwa July 2022. Pia, ripoti imeonesha zaidi ya Watoto 970,000 wenye chini ya miaka 5 na akina Mama Wajawazito na Wanaonyonyesha...
  10. M

    Hizi ripoti huwa haziakisi ukweli. Mimi nikiwa na Tsh 10,000/= nikiichenji tu inakatika ndani ya saa

    Supu ya buku mbili, mchana buku tatu usiku buku tatu buku teni inakuwa imeisha.
  11. Haya ni mapendekezo ya Tume ya Francis Nyalali (1994)

    Maktaba zina utajiri mwingi ukiamua kufuatilia. Lakini pia unaweza kukutana na swala katika msitu wakati malengo yako yalikuwa kuwinda sungura. Hii nafikiri ndiyo sababu kuna watu hawakosi kwenda pale Maktaba Kuu maarufu kama Tanganyika Library. Nikirudi katika mada, Tume ya ilikuwa inaratibu...
  12. Ripoti Benki ya Dunia: Uchumi wa Tanzania utaimarika zaidi

    LICHA ya mlipuko wa ugonjwa wa COVID- 19 kuzorotesha uchumi wa nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara, ripoti ya Benki ya Dunia (WB) imeonyesha kuwa uchumi wa Tanzania umezidi kuimarika na kupita wastani wa nchi hizo. Ripoti hiyo ambayo ni toleo la 18 la Taarifa ya Kiuchumi ya Tanzania, pia...
  13. Ripoti GFI: Tanzania inapoteza Tsh. Trilioni 3.5 kila mwaka kutokana na Utakatishaji Fedha/Biashara Haramu

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Taasisi ya Global Financial Integrity (GFI) na Washirika wake imeonesha bado Tanzania ina tatizo sugu la Utakatishaji Fedha unaotokana na Biashara Haramu kiasi cha kupoteza zaidi ya Tsh. Trilioni 3.5 kila mwaka. Kati ya vitendo vinavyochangia tatizo hilo ni pamoja na...
  14. Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili

    Wakati takwimu za Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) zikionyesha maambukizi ya ugonjwa huo yameshuka kwa asilimia 47, ripoti mpya ya Wizara ya Afya imeonyesha viashiria vya uwezekano wa kuongezeka kwa virusi kutoka kwa wasiokuwa wanandoa wala wachumba (michepuko). Ripoti hiyo ya...
  15. Ripoti za RITA zabainisha kuwa ndoa za Watanzania zavunjika kwa zaidi ya 50%

    Ripoti kwa undani Ripoti hiyo imeonyesha mgawanyo wa wasio kwenye ndoa kama ifuatavyo: Wanandoa waliotengana ni asilimia tano, waliopeana talaka (asilimia 1.9), wasiowahi kuwa kwenye ndoa (asilimia 38.9), wajane na wagane (asilimia 5.4) na wanaoishi kiuchumba (asilimia 6.1). Wakati idadi ya...
  16. Ripoti, Kagera: Ndani ya miezi miwili watu 33 wameripotiwa kuuawa

    Matukio ya watu wawili kuripotiwa kuuliwa kwa vitu vyenye ncha kali hivi karibuni Mtaa wa Kyaya, Kagera yameongeza mazingira ya hofu kwa baadhi ya Wananchi kutokana na mwenendo takwimu za mauaji kuongezeka. Akizungumzia hali hiyo, Kamanda wa Polisi wa Kagera, William Mwampaghale amesema “Kati...
  17. Ripoti CPI: Tanzania yaporomoka viwango vya Kupambana na Rushwa Duniani

    Ripoti ya Transparency International inayoangazia jinsi Nchi zinavyopambana na Rushwa na Ufisadi duniani (CPI), imeitaja #Tanzania kwenye nafasi ya 94 kati ya Nchi 180 mwaka 2022 kutoka nafasi ya 87 mwaka 2021. Kwa upande wa #Afrika, Tanzania iko nafasi ya 14 kutoka nafasi ya 19 mwaka 2021. Pia...
  18. Ripoti IMF: Matarajio ya Ukuaji Uchumi yabadilika, kutakuwa na Ongezeko la kasi

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema Ukuaji wa Uchumi utaongezeka kwa 0.2% kutokana na kufunguliwa tena kwa Nchi ya #China na Utekelezaji wa Sera ya Kubana Matumizi katika Nchi nyingi duniani, jambo litakalopunguza kasi ya Mfumuko wa Bei. Bara la Afrika litakuwa na ongezeko la Ukuaji...
  19. Ripoti ya Mtandao wa Sekta Bunifu Tanzania (CINT) imeonesha COSOTA waliipa JKT kazi ya kukusanya Mirabaha ya kazi za Sanaa

    Taasisi ya CINT inayofanya kazi ya Utetezi, Uzengezi na Uwezeshaji, Kuwaunganisha Wasanii na Taasisi zao na Kuzungumza kwa niaba ya Sekta ya Ubunifu Tanzania katika maeneo ya Sera, Fedha, Sheria, Elimu, Miundombinu na Teknolojia imezindua Ripoti ya Wadau wa Sekta ya Sanaa Tanzania ambapo katika...
  20. Ripoti: Serikali za Afrika zimerudi nyuma kwenye Utawala wa Bora na Demokrasia

    Ripoti Mpya kuhusu Utawala Bora barani Afrika iliyotolewa na Taasisi ya Mo Ibrahim imeonesha kwa miaka 3 iliyopita, Maendeleo ya Binadamu na Uchumi yameshuka kutokana na kudorora kwa Demokrasia na hali ya Usalama. Pia, imeonesha Serikali za Nchi nyingi zimekuwa na Ukiukaji wa Haki za Kiraia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…