ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Wito butu wa mgomo kufuatia ripoti ya CAG

    Ni vigumu wito wa kiongozi wa chama kutenganishwa na chama: Ingekuwa vyema tukapeana uthibitisho ili japo kujua tunaposimama. "Ikumbukwe kodi za kufikia nusu ya kwanza ya mwaka huu zilikwisha lipwa kufikia 31/3/2023." Hivyo: 1. Wito huu unategemewa kutekelezwa vipi? 2. Kwanini vyama hivi...
  2. Pascal Mayalla

    Ripoti ya CAG, kuna uwezekano Watanzania ni wajinga kushadadia kutibu matokeo badala ya kushughulika na chanzo?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni jinsi Watanzania wanavyoishadadia Ripoti ya CAG ya mwaka huu kushangalia ufisadi, as sasa ndio kuna ufisadi saana, kumbe kwa miaka 10 mfululizo ripoti za CAG zinaonyesha ufisadi na tena...
  3. Mpinzire

    2017-2018 CAG alibaini TTCL inaidai Wizara ya Ujenzi Bilion 20.63, Imekuwaje Ripoti ya 2021 waseme hawamjui wanaemdai?

    Ripoti ya CAG mwaka 2017- 2018 ilibaini kuwa TTCL ikiidai Wizara ya Ujenzi, Uchukuz na Mawasiliano rakribani Bilion 20.63 kama marejesho ya gharama za ujenzi wa mkongo wa Taifa. 2021 CAG Report inasema TTCL inadai Tsh Billion 21 ila haijui inaemdai! Imekuwaje tena hapa?
  4. benzemah

    Madudu ya Vyama vya Siasa kwenye Ripoti ya CAG

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)amebaini kasoro katika vyama vya siasa vikiwamo visivyo na bodi za wadhamini zenye ufanisi. Vyama hivyo ni pamoja na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Chama cha Wananchi (CUF) na Democratic Party (DP) na CCM. Hayo yamo kwenye...
  5. BARD AI

    Ripoti ya CAG 2021/22: Huduma za Hospitali ya Mloganzila haziridhishi

    Tathmini iliyofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) umeonesha Hospitali hiyo ina Utendaji Duni uliosababisha kuzorota kwa huduma za Afya, hivyo kushusha mapato. CAG alibaini gharama matumizi zinazidi mapato kwa 7% hadi 19 kuanzia mwaka 2018/19 na 2021/22 kiasi cha...
  6. BARD AI

    Ripoti ya CAG 2021/22: Hizi ndio Wizara 5 zilizofanya ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 212 za UVIKO-19

    Ripoti hiyo ya CAG imeibua hoja nyingi zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha hizo zilizopelekwa kwenye wizara mbalimbali za serikali (Afya, Elimu, Utalii, Maji na Watu wenye Ulemavu). Jumla ya thamani ya hoja zote za ukaguzi zinazoashiria kuwepo kwa matumizi mabaya zinathamani ya Shilingi...
  7. B

    Rais Samia apongezwa kuchukua hatua ripoti ya CAG

    Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)...
  8. Stuxnet

    Ripoti za CAG na Ufisadi: Ni kipindi cha TAKUKURU kutajirika

    Majuma 2 yaliyopita yalitawaliwa na mijadala ya ufisadi kutoka kwenye ripoti ya CAG kwa mwaka 2021/22. Sina haja ya kuingia ndani kuhusu ni nani wanahusika na ni fedha kiasi gani wamepiga. Kwanza nawapongeza CAG na timu yake kwa kufanya kazi ILIYOTUKUKA. Inawezekana katika Taasisi za kujivunia...
  9. K

    Tusisahau ripoti ya CAG imekuwa wazi kwasababu ya maelekezo ya Rais

    Tutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Rais Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi. Sasa tusije kuona kama vile haya ni ya ajabu ni kwamba ufisadi ulikuwa unaelezwa kwa mafumbo fumbo huko nyuma na sasa...
  10. Idugunde

    Kuna tatizo gani vituo vya polisi? Iundwe tume chini ya DCI Kingai tupewe ukweli. Kila siku ripoti za mauaji

  11. S

    Ahaa! Kumbe wanatumia ripoti ya CAG kukamilisha ajenda yao!!!! Mama usiyumbishwe

    Nimejiuliza mbona makelele yamekuwa mengi sana kwenye hii ripoti ya CAG?? Mbona jiwe alipomtumbua prof. Assad kwa kuonesha 1.5 trilioni haijulikani ilipo (ilivchukuliwa na jiwe mwenyewe) hakukiwa na kelele kubwa kama hivi? Nimebaini ya kwamba sukuma gang wana hasira na machungu. Hivyo wanapiga...
  12. S

    Kwanini Zitto Kabwe anakwepa kuwagusa vigogo waliotajwa ripoti ya CAG

    Zitto Kabwe kwanini anakwepa kuchambua uzembe, ubadhirifu na upigaji mkubwa uliofanywa kwenye Wizara ya Nishati, Wizara ya Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Maji. Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi na ya kutisha kwenye wizara hizo lakini jambo la kushangaza Zitto ameshindwa kuchambua...
  13. J

    RIPOTI YA CAG:TASAF, TANROADS ZAKALIA MAMILIONI YA FEDHA ZA WANANCHI

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini hundi zilizochacha zenye thamani ya Sh352.12 milioni zilitolewa na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kwa waathirika wa miradi miwili mkoani Dodoma. Hali kadhalika, CAG alibaini kuchelewa kulipa fidia...
  14. R

    Hizi ripoti mbili za CAG zinaonyesha madhaifu ya utawala wa Magufuli. Je, zinazofuata zitaruhusiwa kuonesha madhaifu ya Rais Samia?

    Kashfa nyingi za ripoti ya CAG kwa mwaka jana na mwaka huu zimetendwa wakati wa Magufuli; ndege, nishati, mashirika ya umma ikiwemo TTCL yanatuhimiwa kuiba au kusababisha upotevu wakati wa Magufuli. Hii nikutokana na ukweli kwamba maelekezo yalikuwa mengi kuliko utaratibu. Maelekezo na speed ya...
  15. Mmawia

    CAG amaliza kazi kwa aliyekuwa DPP Biswalo Mganga, ataka achunguzwe

    Asante sana CAG kwa angalau kazi ya kuwataja mafisadi papa katika nchi hii. CAG kwa uchunguzi huu Mungu atakulinda maana huna baya bali wabaya watakuandama. Kwanini kila ufisadi unaibuliwa kupitia kwa kundi lililokuwa chini ya Jiwe? Ebu tujiulizeni jamani inakuwaje? Alafu kuna watu...
  16. Anna Nkya

    Ripoti ya CAG: Ishara ya Uwazi wa Rais Samia

    Mijadala inaendelea kila mahali sasa hivi watu wakijadili yale yalioandikwa kwenye Ripoti ya CAG. Kwa sehemu kubwa yanayojadiliwa ni madudu yaliyoko kwenye taasisi za umma. Jambo la kufurahisha ni kwamba tayari kuna hatua zimeanza kuchukuliwa kuwawajijibisha waliotafuna pesa za Umma. Wizara...
  17. J

    Fahamu yaliyomo katika Ripoti Kuu ya Ukaguzi ya Mifumo ya TEHAMA 2021/22

    1. Kutokuwepo kwa Ufuatiliaji wa miamala ya simu za mkononi isiyofanikiwa Niligundua kuwa ufuatiliaji wa miamala ya simu za mkononi isiyofanikiwa haufanywi katika mfumo wa TTMS. Nilielezwa kuwa muundo wa TTMS haukuzingatia miamala hi sababu haipaswi kuwa na ada zaidi ya gharama za mtandao...
  18. BARD AI

    Tanzania yatumia zaidi ya shilingi bilioni 6 kutunza vyura 500 waliopelekwa Marekani

    Kupitia ukagauzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2021/2022 imebainika kuwa Vyura 500 bado wapo Marekani licha ya kumalizika kwa mkataba wa matunzo. Serikali ilipeleka Vyura hao katika bustani za Bronx na Toledo ili kupisha ujenzi wa mradi wa...
  19. K

    Ripoti ya CAG ni Majonzi, Je angekuwepo CAG wa Uwekezaji na sekta binafsi ingekuwaje?

    WaTanzania wenzangu, ni mawazo tu yanayoingia akilini, wakati tunapofunuliwa yanayofanyika huko ndani ya serikali yetu yanayohusu ufujaji mkubwa wa pesa za wananchi. Huu ni utaratibu unaojulikana, kwamba kila mwaka CAG anatoa ripoti yake kuonyesha ni namna gani serikali ilivyosimamia matumizi...
  20. S

    Mbunge Kilango hakuna atakayepona ripoti ya CAG

    Mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango amesema kwa ufisadi huu uliowekwa wazi na CAG hakuna atakayepona kwenye nchi hii
Back
Top Bottom