ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Ripoti: Idadi ya watu duniani inatarajiwa kufikia Bilioni 8.5 Mwaka 2030

    Kwa Mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa (UN) kufikia Novemba 2022, idadi ya Watu Duniani inakadiriwa kuwa Bilioni 8. Ongezeko la Watu katika Nchi nyingi zenye Uchumi wa Chini linakadiriwa kuongezeka mara mbili zaidi kati ya Mwaka 2022 na 2050 Kufikia Mwaka 2022, idadi ya Wanaume Duniani...
  2. CAPO DELGADO

    Robertinho ripoti hii hapa Kuelekea 2023- 2024

    Kila siku tunawaambia acheni kuleta wachezaji mizigo. Timu inatakiwa ifanye mabadiriko makubwa mno ya kimfumo na kiuendeshaji. Viongozi wanapaswa wajiuzuru Na wachezaji waondoshwe. Waajiri mkurigenzi wa ufundi ahusike moja kwa moja usajili. 1. Mohamed Ottara. 2. Joash Onyango. 3. Ismail...
  3. T

    Nimepita jengo la bunge nimeliangaliaaa, kisha nikajiuliza, waliomo humo wanatusaidia nini?

    Daah! Kweli imekuwa kimya kwa upotevu wa matrilion tarifa za CAG? Kisa wahusika wakuu ni viongozi wa mawizara na Idara mbalimbali?? Kweli kabisa? Siamini nachokiona na kukisikia kwa masikio yangu! Daah! Ikitokea mtumishi wa chini kabisa huko kahusishwa tu na udanyifu fulani, achana na...
  4. peno hasegawa

    Ndugu Watanzania, Ripoti ya CAG kujadiliwa imeisha wapi?au tumesahau!!!

    Nimeuliza baada ya kuona hii picha.
  5. Erythrocyte

    TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  6. J

    Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  7. BARD AI

    Ripoti: Ushuru kwenye 'Bando' za Intaneti' ni balaa Tanzania

    Ripoti ya robo mwaka unaoishia Machi 2023 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha gharama za ushuru wa bando la intaneti zimeongezeka ikiliganishwa na kipindi kama hiko Machi 2022. Machi 2022 kwa kila MB moja ushuru uliokuwa unakatwa ni shilingi mbili ambayo imeongezeka hadi...
  8. R

    Mwakyembe na ripoti ya Law shool: Mwakyembe ni msomi wa hovyo kuwahi kutokea

    Ukisoma excerpts nilizoziona unaona kuwa huyu Mwakyembe ni mtu hovyo kuwahi kutokea. Hovyo kabisa! Mwenye PhD thesis yalke atuwekee hapa tuone alisomea/research yake ilikuwa how much deep learning was in his topic of choice
  9. peno hasegawa

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yu wapi baada ya kusomwa ripoti ya CAG?

    Katibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG. Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi. Anayejua aliko tafadhali!
  10. K

    Maajabu ya Tanzania ripoti ya CAG ya matumizi 2020-2021 kujadiliwa 2023-2024

    Yaani CAG anagundua makosa ya budget ya 2020-2021 halafu anaitoa 2022 lakini wakubwa wanaipeleka mbele katikati ya budget ya 2023-2024. Hivyo matatitizo ambayo yamegunduliwa yanaweza yakawa yanaendelea kwa miaka 2 kabla ya kufanyiwa kazi!. Lakini cha ajabu kama kweli Bunge kazi yake ni kushauri...
  11. R

    Ripoti ya CAG imezimwa kama gazeti la udaku. This is Tanzania Bana, unaiba Leo unaambiwa subiri tutakujadili kikao kijacho cha Bunge

    Ripoti ya CAG imeshazimwa, kelele zimeisha tunasubiri ripoti ijayo tuone tumeibiwa kiasi gani tena. That's how life goes in Tanzania. Maisha ya vimemo nakujuana. Lakini haya kwanini yanatokea? Yanatokea Kwa Sababu irregularities nyingi zinatokana na matamko ya viongozi wakuu wa nchi na hivyo...
  12. J

    MJADALA: Je, kuna uwazi wa hatua zinazochukuliwa dhidi ya Wabadhirifu wa mali za umma wanaobainishwa katika Ripoti za CAG?

    Tarehe 29 Machi, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022. Ripoti hiyo imeibua ubadhirifu katika sekta mbalimbali za umma na kuibua mijadala miongoni mwa wananchi...
  13. Stephano Mgendanyi

    Jafari Wambura: Simamieni Fedha Vizuri Msisubiri Ripoti ya CAG

    MHE. JAFARI WAMBURA - SIMAMIENI FEDHA VIZURI MSISUBIRI RIPOTI YA CAG Mbunge wa Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Wambura Chege tarehe 18 Aprili, 2023 amechangia bajeti ya TAMISEMI ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma Mhe. Jafari amesema Rais...
  14. J

    Askofu Bagonza: Tusitegemee uwajibika ripoti ya CAG

    ASKOFU Benson Bagonza amesema Rais ni sehemu ya bunge, Bunge haliwezi kuiwajibisha Serikali kwa kuwa Rais ni sehemu ya Bunge. "Rais ni sehemu ya bunge, Bunge haliwezi kuiwajibisha Serikali kwa kuwa Rais ni sehemu ya bunge, lakini Rais huyo huyo ndiye anayewateua Jaji Mkuu na majaji wengine na...
  15. B

    Boniface Jacob: Wakurugenzi wengi hawakuwa na sifa, wanaenda kuchezea pesa za umma

    Meya na diwani wa zamani wa Kinondoni na Ubungo akiwa na ripoti za CAG mbele yake mezani studio ya Wasafi MEDIA na kuulizwa maswali na jopo la watangazaji na pia wasikilizaji anafafanua sababu za udhaifu wa kiuongozi ktk halmashauri za Dar es Salaam na nchini kwa ujumla. Meya mstaafu Boniface...
  16. J

    Hayati Magufuli aliwahi kumfunga kiongozi yoyote kutokana na ubadhirifu kwenye ripoti ya CAG?

    Sifurahishwi na ubadhirifu unaoonyeshwa kwenye ripoti za CAG wala siutetei kwa namna yoyote ile Lakini nataka kusema tuache siasa na unafiki, ama hata ripoti za CAG zinaweza kuwa zinatolewa kisiasa kama tunazijadili kisiasa Kuna baadhi ya watu ambao wamekosa hoja ya kutetea siasa zao...
  17. T

    Ripoti iliyovunja record ya upotevu wa pesa tangu uhuru, inasubiri miezi 6 watu kaadhibiwa! Spika uko siriaz kweli?

    Kwenye nchi ya watu makini, haiwezi kuruhusu kuwa na aina ya sipika kama huyu! Sipika asiye na uchungu wa mali za nchi na kodi zetu??? Ukisikia mtu haipendi nchi na watu wake na hafai kuaminiwa tena na wananchi na hata serikali ya watu wanaojitambua, ni sipika wa bunge hili Ubadhirifu wa...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Haja ya Ripoti ya CAG kuchunguza Mitaala ya Kozi za Vyuo vya Tanzania

    Elimu ni mojawapo ya nguzo kuu za maendeleo ya taifa lolote lile. Kwa bahati mbaya, mfumo wa elimu wa Tanzania umekuwa ukiathiriwa na changamoto nyingi kwa muda mrefu sasa. Wengi wanaamini kuwa moja ya changamoto kubwa ni mitaala ya kozi za vyuo vya Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na wito kwa...
  19. J

    Dkt. Tulia: Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano Novemba, 2023

    Spika Tulia amesema Ripoti ya CAG itajadiliwa kwenye Mkutano wa mwezi November 2023 Huyo ni baada ya Kamati za Bunge kuwa zimeshakamilisha wajibu wake wa kisheria. ========== Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka...
  20. BARD AI

    Ripoti LHRC: Haki za Watoto zilikiukwa zaidi Nchini Tanzania mwaka 2022

    Utafiti uliofanywa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) umeonesha kuwa Watoto ndio waathirika wengi wa matukio yaliyoripotiwa na kurekodiwa ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania kwa (47%), wakifuatiwa na wanawake (33%), wazee (10%) na Watu wenye Ulemavu (4%). Pia, kwa...
Back
Top Bottom