Kwa wanaijua na waliowahi kusafari na ndege watakubaliana na ukweli kuwa milango ya ndege inaweza kufunguliwa na mtu akiwa ama nje ya ndege au ndani ya ndege.
Wahudumu wa ndege wamefundishwa kufanya kazi hiyo wakati wa kawaida, dharura na hatari. Kumekuwa na mabishano yasiyo na tija na...
Nawasalimu kwa jina la Walamba Asali.
Nawakumbusha tu ile ripoti ya ukwapuaji wa mali za CCM Dkt. Bashiru hajaitoa hadharani.
Tutulie siku akitibuka mbona mtashangaa kuna wakubwa walipokonywa V8 barabarani, wengine walijimilikisha shule za chama wengine viwanja na mijumba ya maana.
Ni hayo tu...
Kamati ya kufuatilia mwenendo wa matokeo ya mitihani ya mafunzo ya uansheria kwa vitendo (LST), imeanisha changamoto nane ikisema ni miongoni mwa vikwazo katika kupata wanafunzi bora wanaosomea fani ya sheria.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk Harrison Mwakyembe amesema changamoto hizo pia...
Wakati umma ukiendelea kusubiri ripoti ya Kamati ya Mwakyembe baada ya muda iliopewa ile kamati hiyo kuchunguza nini kinachosababisha wanafunzi wa Shule ya Sheria Tanzania kufeli kwa kiwango cha kutisha kwisha toka tarehe 13 Novemba 2022, hakuna taarifa ni lini Kamati hiyo itasoma na kukabidhi...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za kulevya, Gerald Kusaya amesema kati ya mwaka 2021/22 wamekamata Kilo 11,974.4 za Dawa hizo nchini huku mikoa hiyo ikiongoza.
DCEA Kusaya amesema "Mikoa hiyo inaongoza kutokana na jiografia yake ilivyo sababu Dawa nyingi zinazomakatwa...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za binadamu Nchini (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ametoa maoni kuwa uenda baadhi ya ripoti za Tume na Kamati mbalimbali ambazo huundwa kuchunguza masuala mbalimbali ushindwa kuwekwa wazi kwa kuwa taarifa zinaweza kuwa zinawagusa wenye mamlaka...
Ni kawaida kwa nchi hii, watawala wetu kutuambia wameunda Tume kuchunguza matukio mbalimbali yanayotokea ya ajali, lakini Tume hizo zinapokamilisha Kazi zake na kukabidhi kwa watawala, huwa hazisomwi kwa Umma na badala yake, zinafichwa!
Nieleze kwa kutoa mifano michache, iliundwa Tume ya...
Jamani ukifatilia ripoti za CAG pamoja na kuweka wazi wahusika wa upotevu mkubwa wa fedha za Umma lakini Serikali imekuwa haichukui hatua kali dhidi yao na ndio sababu matukio ya upigaji yanajirudia
Mara zote CAG na Bunge wamependekeza hatua za kuchukua lakini Serikali haiwawajibishi wanaotajwa...
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema watumishi 116 wamechukuliwa hatua kutokana na ubadhirifu fedha za umma.
Kairuki ameyasema hayo Jumamosi Novemba 5,2022 wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu...
Wanyamapori wa aina 46 tofauti wameongezeka katika mfumo wa ikolojia ya Ruaha – Rungwa na Katavi – Rukwa baada ya kudhibitiwa kwa matukio ya ujangili.
Takwimu hizo zimebainishwa katika ripoti ya sensa ya wanyamapori ambayo imefanywa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (Tawiri) kuanzia Septemba...
Sensa huwa ina mambo na taarifa nyingi ambazo hawawezi kuzitoa uwanjani. Mfano idadi ya watu kwa kila mji na kila kata.
Naomba mwenye PDF yake anisaidie.
Danadana zinaendelea na kuendelea kutafuna fedha za umma. Ya Nyalali yalitupwa, Kisanga alifokewa na Mkapa, Warioba akashambuliwa na Kikwete na hadi kupigwa ngwala na kijana wake Makonda ambaye alipewa zawadi ya ukuu wa wilaya ya Kinondoni.
Na huyu kaja na "si amri" - danadana zinaendelea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022
Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala
Kikosi kazi...
Imekuwa utamaduni wa kila siku,kusikia zikiundwa tume kuchunguza matukio kadhaa, yanayoleta kadhia mbalimbali ambazo huikumba jamii.
Tume hizo huteuliwa na viongozi wa ngazi mbalimbali tofauti, kuanzia ngazi ya taifa hadi mikoani.
Hii ikiwa ni kwa mamlaka wanayokuwa wamepewa kwa mujibu wa...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amesema ripoti ya uchunguzi ambayo ofisi yake imekuwa ikifanya kuhusu fedha zilizokusanywa kupitia utaratibu wa makubaliano ya rufaa "Plea Bargain" itatolewa kwa umma Machi 2023.
Kauli ya CAG inakuja siku chache baada ya...
Uchumi wa dunia unaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa, zikichangiwa na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, mzozo wa gharama za maisha unaosababishwa na shinikizo la kuendelea na linalozidi kupanuka la mfumuko wa bei, na kushuka kwa kasi nchini China.
Utabiri uliofanywa na Shirika la Fedha la...
Ripoti hiyo mpya ya Shirikisho la Maendeleo la Pembe ya Afrika imeonesha Watoto milioni 10 wana Utapiamlo huku zaidi ya watu 380,000 wakiwa kwenye hatari ya kufa kutokana na njaa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho hilo Workneh Gebeyehu ametaja sababu kuwa ni ukame ambao haujawahi kutokea kwa...
Ripoti hiyo inasema idadi kubwa ya matukio ya ukatili na mateso imetokea katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na migogoro ya kivita ambapo 44% ya mateso yalifanywa na maafisa wa Serikali wakiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Ulinzi.
Ofisi ya Haki za Binadamu pia imesema kwa kipindi cha Juni 1...
Ripoti ya Ubora wa Maisha ya Dijiti ya 2022, iliyotolewa na kampuni ya Surfshark ya Uholanzi, imeonesha raia wa DRC wana hali mbaya zaidi kidijitali, kati ya nchi 117 zilizofanyiwa utafiti, huku Tanzania ikishika nafasi ya 107.
Sababu zilizotajwa kuchangia hali hiyo ni Kasi Ndogo ya Mtandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.