Cheti cha kifo cha Malkia Elizabeth II kimethibitisha kuwa alifariki kutokana na Uzee Septemba 8.
Ikiwa ni ingizo la Rekodi za Kitaifa za Scotland, lililochapishwa leo, na kutiwa saini na mtoto wa Malkia, Princess Royal, ambaye alikuwa naye katika saa zake 24 za mwisho.
Kifo cha marehemu Queen...
Ripoti mpya kuhusu Mtazamo wa Uchumi wa Afrika Mashariki, iliyotolewa na Deloitte imesema Ukuaji wa Uchumi utashuka hadi 5.3% ikilinganishwa na 6.4% ya mwaka 2021 ambayo ni ongezeko la 3.1% kutoka mwaka 2020.
Utafiti huo uliohusisha nchi za Kenya, Ethiopia, Tanzania, Uganda na Rwanda umetaja...
Katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka 2020/21 iliyowasilishwa bungeni Aprili 12 mwaka huu, CAG Charles Kichere ameligusia suala hilo, akisema hesabu za Mamlaka ya Mapato (TRA) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonyesha kuwapo kodi zilizoshikiliwa katika mahakama za rufani kwa muda mrefu Sh...
Ripoti ya Utafiti wa Mchango wa Elimu ya Uraia Shule za Sekondari na Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kidemokrasia imezinduliwa rasmi Dar es Salaam, leo Alhamisi Septemba 22, 2022
Kamishna wa Elimu Tanzania Dkt. Lyabwene Mtahabwa akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari...
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaamini kuwa Serikali ya #Ethiopia inahusika na uhalifu dhidi ya binadamu unaoendelea katika eneo la #Tigray, Kaskazini Mwa Nchi hiyo
Katika Ripoti hiyo, Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu iliangazia kile ilichokiita taarifa za kuaminika za mauaji...
Nilimtembelea rafiki yangu mmoja ambaye ni mhadhiri pale Udsm na katikati ya maongezi likaja suala la uwezekano wa mtu kupata PhD bila kupitia taratibu sahihi.
Hapo akasema kuna uchunguzi ulifanyika karibu mwaka mzima umepita na ripoti imeishia pale utawala. Ilikuwa ni katika routine ya kawaida...
Utafiti uliofanywa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya Kazi, Uhamiaji na Walk Free Foundation umebaini kuwa hadi mwaka 2021, watu milioni 28 walikwama kwenye kazi za kulazimishwa huku milioni 22 wakiishi kwenye ndoa kwa kulazimishwa.
Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Guy Ryder...
Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wananyamapori Tanzania (TAWA), Mabula Misungwi Nyanda amesema matukio ya vifo vya Tembo yamepungua kwa asilimia kubwa Nchini.
Mabula Misungwi Nyanda
Nyanda amesema kuimarika kwa ulinzi kulikochangiwa na kuongezeka kwa vitendea kazi...
RAIS wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt Hussein Mwinyi, leo Septemba 05, amezungumza na wanahabari kuhusiana na masuala mbalimbali ikiwemo Ripoti ya CAG ya Mwaka 2021.
RAIS MWINYI: NAANZA ZIARA ZA KUSHTUKIZA TAASISI ZA UMMA
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameahidi...
Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya (GDNC) imeeleza hayo baada ya kunasa tembe milioni 47 Dawa za Kulevya aina ya za Amphetamine ambazo zilikuwa zimefichwa kwenye shehena ya unga, ikiwa ni jaribio kubwa zaidi la kusafirisha dawa hizo.
Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Vidonge hivyo...
Ripoti ya Uchunguzi wa Sumu kuhusu chanzo cha vifo vya vijana 21 waliofariki dunia wakati wakinywa pombe eneo la #Tavern mwezi Juni, 2022 imeonesha kuwa walikosa hewa kutokana na msongamano wa watu.
Mmiliki wa eneo lilipotokea tukio hilo anakabiliwa na mashtaka ya kukiuka sheria za Pombe za...
Ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeishutumu China kwa ukiukaji mkubwa wa Haki za Binadamu baada ya kuwaweka kizuizini waumini wengi wa Kiislamu katika mji wa Xinjiang.
Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yanaishutumu Beijing kwa dhuluma dhidi ya Wauyghur...
Salaam Wakuu,
Zitto Kabwe na Chama chake cha ACT WAZALENDO, kimeshindwa kujitofautisha na CCM baadaya Ufisadi mkubwa kutokea kwenye Wizara Wanazoongoza.
Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), waligawana Madaraka na Vyeo huko Zanzibar.
Mfano: Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu mkuu wa Chama...
CAG Dr. Othman Abbas Ali akikabidhi ripoti ya Ukaguzi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar 2021, Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar, Dr. Othman Abbas Ali akikabidhi ripoti za Ukaguzi wa Wizara, Mashirika pamoja na...
Agosti 23, 2022 tunatarajia kuwa na zoezi la sensa ya watu na makazi. Zoezi muhimu katika mipango ya sera na maendeleo ya Taifa.
Hata hivyo mwaka huu tumeona matangazo yamekuwa mengi sana hadi inaleta maswali kama fedha za umma zimetukima ipasavyo. Uhamasishaji umekuwa mkubwa kama kuna mgomo...
Umoja wa Mataifa unasema Sudan Kusini inaendelea kuwa "mazingira yenye vurugu zaidi" kwa watoa misaada ya kibinadamu ikifuatiwa na Afghanistan na Syria baada ya Wafanyakazi 5 wa Mashirika ya Kutoa Misaada kuuawa wakiwa kazini Ndani ya Mwaka 2022 pekee
Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya...
Ripoti ya uchunguzi wa Madaktari imeonesha kuwa Daniel Musyoka, mfanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) aliyepatikana akiwa amefarki, alinyongwa hadi kufa
Timu ya Madaktari Bingwa watano waliofanyia upasuaji mwili wa Afisa huyo, pia wamepeleka Nairobi baadhi ya vielelezo kwa ajili...
12 Agosti 2022
Vyombo vya kimataifa vilivyoalikwa na IEBC kuwa waangalizi wa mchakato mzima wa uchaguzi Kenya 2022, vimetoa pongezi kwa jinsi mchakato mzima kuwa kuelekea uchaguzi na zoezi la upigaji kura, utangazaji matokeo pia vyombo vya ulinzi na usalama kutekeleza wajibu wao bila...
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imetoa ripoti baada ya kupokea maoni ya wadau kupitia mikutano mikubwa mitatu iliyofanyika Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar.
TET imesema imekusanya maoni kupitia vikao vilivyofanywa na makundi mbalimbali yakiwemo Baraza la Watoto Tanzania, viongozi wa dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.