ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashirika yasiyo ya Kiserikali 4,879 yafutwa na Serikali

    Serikali imeyafuta mashirika yasiyo ya kiserikali 4,898 kati ya hayo yapo yaliyoomba kuacha shughuli zao kwa hiari. Taarifa ya kufutwa kwa mashirika hayo imetolewa Januari 24, 2022 na Kaimu Kitengo cha Mawasiliano Serikali, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
  2. Utafiti: Ripoti yaonyesha vijana wengi nchini hawana heshima

    Ripoti ya utafiti wa stadi za maisha na maadili kwa vijana imeonyesha asilimia kubwa ya vijana nchini hawana heshima, hawajitambui na hawana ushirikiano kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Utafiti uliozinduliwa Leo Januari 26, 2023 na Taasisi ya Regional Education Learning Initiative (Reli) kwa...
  3. Ripoti: Watoto Milioni 400 wananyanyaswa Kingono duniani kila mwaka

    Kila mwaka, watoto zaidi ya millioni 400 duniani wananyanyaswa kingono, ripoti mpya ya Enonomist Impact imesema. Kwa kawaida ukatili na unyanyasaji kingono hufanywa siri kwa kuhofia aibu na kunyanyapaliwa, hivyo kuruhusu uhalifu huo kuendelea. Ripoti hiyo “Out of the Shadows Global Index...
  4. Ripoti: Zaidi ya Nusu ya Wanawake wa Dar es Salaam wana uzito uliopitiliza

    Licha ya jitihada zinazofanywa na wanawake waishio mjini ikiwamo jijini Dar es Salaam, ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha idadi ya wanaoelemewa na uzito inaongezeka. Ripoti hiyo ya utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) ya mwaka 2020/21 inaonyesha asilimia 47 ya wanawake wenye...
  5. Ripoti AU: Vita ya Serikali ya Ethiopia na Tigray inaweza kuwa imeua watu 600,000

    Mpatanishi wa Umoja wa Afrika katika mzozo wa Tigray, #OlusegunObasanjo, ameliambia jarida la Financial Times (FT) kuwa idadi hiyo imetokea ndani ya miaka miwili ya mapigano. Mzozo ulianza Novemba 2020, baada ya Waziri Mkuu #AbiyAhmed kuamuru mashambulizi dhidi ya vikosi vya Tigray kwa maelezo...
  6. Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa shule za O- Level huu hapa

    Mfumo unaomwezesha mwalimu (mtaaluma) kupata matokeo kwa urahisi sana, mfumo unakutengenezea matokeo unakuonyesha wanafunzi 10 bora na 10 wa mwisho unakuonyesha division summary kwa male na female unakuwezesha kuandaa ratiba ndani ya dakika 2, ratiba ya shule nzima pamoja na za madarasa kwa...
  7. Ripoti Henley Passport Index 2023: Hati 10 za Kusafiria zenye nguvu zaidi Barani Afrika

    Tanzania imeshika nafasi ya 10 katika nchi za Afrika zenye Passport zenye nguvu zaidi huku ikiwa nafasi ya 74 duniani na uwezo wa kuingia katika maeneo 72 kwa Viza au bila Viza. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Henley Passport Index, kupitia Mamlaka ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (IATA)...
  8. J

    Ripoti: 37% ya Nchi duniani hazina Uhuru Mtandaoni. Hali mbaya zaidi yaripotiwa China

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Freedom House Mwaka 2022, Mazingira ya Haki Za Binadamu Mtandaoni yamezorota katika Nchi 28. Katika Nchi 70 zilizofanyiwa Tathmini (sawa na 89% ya Watumiaji wa Intaneti Duniani) imebainika 37% Hazipo Huru, 34% zina Uhuru Kiasi na 18% zipo Huru. Kwa Mwaka wa Nane...
  9. Mfumo wa matokeo, ripoti na ratiba kwa O-level

    Je Unataka mfumo wa kuchakata matokeo kwa shule yako? Mfumo huu hapa utakusaidia kuandaa matokeo, ripoti na timetable kwa urahisi zaidi. Unapatikana hapa, download tu na anza kutumia ILI KUTUMIA 1. hakikisha unatumia computer yenye MS office (iwe na ms excel) 2. Fungua file kwa ku-double click...
  10. Ripoti ya bunge la Marekani kuhusu "return" za kodi za TRUMP zinaonyesha biashara zake zinatengeneza hasara

    Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake. Ili kulinda taarifa hizo alihakikisha taarifa zake za kodi kupita 'RETURN ZA KODI" haziweki wazi. Jambo...
  11. Ripoti Siku 100: Rais Ruto amefanya vibaya kwenye Usalama wa Chakula

    Utafiti uliofanywa na taasisi ya #Infotrak umeonesha Siku 100 za #Uwajibikaji wa Rais Ruto kwenye Masuala ya Chakula haujawaridhisha Wananchi na hivyo kumuweka kwenye wastani wa 40%. Ruto amekubalika zaidi kwa Wananchi kwa wastani wa 56% baada ya kuanza kutolewa Mikopo ya Tsh. Bilioni 947.4 kwa...
  12. Ripoti Bloomberg: Watu milioni 37 wameambukizwa COVID-19 ndani ya siku 1 nchini China

    Mtandao wa #Bloomberg umeripoti kuwa maambukizi hayo huenda yamewafikia watu Milioni 248 ambao ni sawa na 18% ya idadi ya watu wote ndani ya siku 20 za Desemba 2022. Desemba 22, 2022, kampuni ya Airfinity inayohusika na utunzaji Data za #Afya ilikadiria kuwa kuna uwezekano wa Vifo vya kila siku...
  13. Ripoti: Askari 6 wa Uhifadhi wameuawa kwa kushambuliwa na Wananchi Mwaka 2022

    Jeshi la Uhifadhi la Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Desemba, 2022, limepoteza askari sita kwa kuuawa baada ya kushambuliwa na wananchi nyakati tofauti, wakiwa wanatekeleza majukumu yao ya uhifadhi. Kamishna wa Uhifadhi TFS, Profesa Dos Santos...
  14. Msaada: Ripoti ya mwaka ya Asasi zisizo za kiserikali (NGO’s)

    Wasalaam, Wakuu kwa wale wenye uzoefu wa masuala haya, mwanzoni wa mwaka jana tulifanikiwa kusajili NGO yetu wizarani, na kwa bahati mbaya kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukufanikiwa kufanya shughuli yoyote ya taasisi kwa mwaka mzima ikiwa ni malengo yetu kwa mwaka ujao kuwa active...
  15. Ripoti CPJ: Wanahabari 363 wamefungwa duniani kote, 56 wapo Afrika

    Hadi kufikia Desemba 1, 2022, Wanahabari 363 walinyimwa Uhuru wa Kazi yao duniani kote ikiwa ni kiwango kipya cha juu zaidi kwa 20% kulinganisha na mwaka 2021. Kwa mujibu wa Ripoti ya Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari (CPJ), Waandishi wa Habari wasiopungua 56 walifungwa barani Afrika mwaka...
  16. M

    Je, tuliowadanganya Watanzania tumeshajiandaa na Ripoti Kamili ya Ajali ya Ndege Bukoba baada ya Miezi 18?

    Ninachoogopa MINOCYCLINE ni kwamba Wazungu huwa hawanunuliki na wala hawajui kusema Uwongo hivyo huenda Muongo Mkuu wa Taifa Mr. Super Black Daima na Msaidizi wake wa Mr. Kukurupuka Kuchangayikiwa Wakaumbuka na Kumuaibisha hata Boss wao Kikatiba. Kazi ipo.
  17. B

    Ripoti ya Tume ya Mwakyembe ni another Professorial Rubbish

    Ningali ninaisaka ripoti kamili ya Dr. Mwakyembe kuhusiana na Law School nipate kuibukua kifungu kwa kifungu. Aliye nayo tafadhali itapendeza aki I share. Hata hivyo nimefuatilia extracts kadhaa kutoka kwenye ripoti hiyo. Ama kwa hakika ni aibu mtupu yenye arrogance za kishamba. Izingatiwe...
  18. Ripoti ya ajali ya ndege kunani? Ukweli unaendelea kujifunua

    Kidumu Chama changu cha Mapinduzi, zidumu fikra zilizosahihi za Mweyekiti zisizo sahihi tuzifute, wananchi nawasalimu sana. Tushirikishane hapa, kuna jambo linakwepwa sana na halisemwi, nalo ni kwakuwa chapa ya ndege yetu itashuka ikionekana hakukuwapo uwajibikaji wa wahudumu na shirika kwa...
  19. TANAPA: Ripoti imebaini chanzo cha moto Mlima Kilimanjaro ni shughuli za kibinadamu

    Kamishna William Mwakilema Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ripoti ya kukamilisha uzimaji wa moto uliotokea kwenye maeneo ya Mlima Kilimanjaro huku wakibainisha kuwa taarifa za awali zimebaini kuwa chanzo cha moto ni shughuli za kibinadam. Kitengo cha usalama cha TANAPA...
  20. Ripoti UN: Wanawake 17,200 wameuawa na wapenzi na ndugu zao mwaka 2021 Afrika

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Madawa na Uhalifu (UNODC) na UN Women imesema Afrika ina kiwango kikubwa cha unyanyasaji dhidi ya Wanawake ikilinganishwa na idadi ya Wanawake wote. Kwa mujibu wa Ripoti Wanawake 5 wanauawa kila saa, na kwa mwaka 2021, karibu Wanawake na Wasichana 45,000 duniani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…