Ofisi ya habari ya baraza la serikali la China wiki hii imetoa ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani kwa mwaka 2021. Ripoti hii kimsingi haina mambo mapya, kwani imeendelea kuonyesha usugu wa tatizo la haki za binadamu nchini Marekani, ambalo baadhi ya zinazojiita kuwa...
Wanaukumbi.
CHADEMA ILITUMIA MILIONI 377 NJE YA BAJETI
Ukaguzi umebaini Tsh. 100,000,000 zilitumika kwa shughuli ambazo hazikuwepo kwenye bajeti Chama kilinunua Magari 5 kwa 227,430,000 na kutumia 50,000,000 kununua nyumba ya Ofisi Kanda ya Serengeti.
Ripoti ya CAG ukurasa 266, imebainisha...
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira ambayo imetolewa leo, imesema uchafuzi unaofanywa na kampuni pamoja na nchi mbalimbali husababisha vifo vingi kuliko hata vifo vinavyosababishwa na janga la COVID-19
Kulingana na ripoti hiyo, dawa za kuwaua wadudu, plastiki na uchafu kutokana na vifaa...
=====
Taasisi inayojishughulisha na harakati za kusimamia uwazi na mapambano dhidi ya rushwa na Ufisadi duniani ya " Transparency International " tayari imetoa ripoti yake ya mwaka,
Taasisi hii iliyofanya kazi ya kuchunguza kiasi cha rushwa na Ufisadi kwenye nchi zipatazo 180 duniani kwa...
Askari mmoja Kati waliokuwa wakituhumiwa kufanya mauaji ya mfanyabiashara kijana alijinyonga
====
Askari huyo alijinyonga Januari 22 mwaka huu 2022 kwa kutumia tambala la kudekia akiwa mahabusu ya kituo cha polisi wilaya ya Mtwara.
Katika taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi wa mkoa wa...
Ripoti ya Transparency International inasema janga la COVID-19 limetumiwa na Nchi nyingi kama kisingizio cha kuacha kufanya ukaguzi, ikionya kuwa ipo haja ya kuharakisha mapambano dhidi ya ufisadi ili kudumisha Haki za Binadamu na Demokrasia
Imesisitiza Serikali duniani kote zinapaswa kuwa wazi...
Ripoti mpya ya Shirika la Oxfam inasema utajiri wa Mabilionea 10 wakubwa zaidi umeongezeka maradufu wakati wa CoronaVirus. Mapato ya chini ya Mataifa masikini zaidi duniani yalichangia vifo vya watu 21,000 kila siku
Shirika hilo limeonya kuhusu kukosekana usawa duniani, likisema hali ya sasa ya...
Jaji Maarufu kimataifa Mhe. Joseph Sinde Warioba ameweka rekodi ya kipekee kwa kuongoza Tume mbili za Rais katika historia ya JMT na katika historia ya Majaji wa Tz. Tume yake ya kwanza ilikuwa ni ya kuchunguza kushamiri rushwa nchini; tume iliyoundwa na Mhe. Big Ben Mkapa ambayo hata baada ya...
Sehemu hii, inazungumzia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na CAG pamoja na maagizo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)
Hali ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya CAG kwa Ofisi ya Rais - TAMISEMI
Ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2019/20 inaonesha kuwa, kati ya...
Kutokana na utelekezaji wa Sera ya Elimu Msingi bila malipo ya mwaka 2015/16, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi kila mwaka.
Ongezeko la wanafunzi lilipaswa kwenda sambamba na uboreshwaji wa miundombinu ya shule kama vile vyumba vya madarasa, madawati, matundu ya vyoo nk. Kwa mwaka 2019/20, CAG...
Katika ukaguzi wa uendeshaji wa Mfuko wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, CAG amebaini Mapungufu kadhaa yakiwemo;
1) 65% ya Mikopo iliyotolewa kwenye Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu haikurejeshwa. Kwa mwaka 2019/20, CAG alionesha Mamlaka za Serikali za Mitaa 130...
Shirika la Msalaba Mwekundu limesema athari za janga la COVID19 kijamii na kiuchumi zimewaathiri zaidi Wanawake ulimwenguni kote.
Kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Wanawake wameathiriwa zaidi na upotevu wa Mapato na Elimu, kuongezeka kwa matukio ya ukatili, Ndoa za utotoni na biashara haramu ya...
Nimejaribu kusoma kwa utulivu kisha nikaangalia picha, naona kama yanapingana na uhalisia, anyway Wajuvi nisaidieni, lory HOwo ame-ovrtake kweli hapo??
Afande taarifa ya ajali:
KAB/TR/ar/16/2021(×)ajali ya magari manane kugongana na kusababisha majeruhi na uharibifu wa magari (×) mnamo tar...
CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika ulipaji wa mishahara kwa watumishi katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa (MSM);
a) MSM 36 kushindwa kulipa madai mbalimbali ya watumishi yenye thamani ya TZS. 27.84 bilioni
b) MSM 46 kushindwa kuwasilisha makato ya kisheria ya mishahara yenye thamani ya...
Kulikuwa na kizungumkuti gani na kigugumizi gani kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli (deceased) kutotekeleza kwa 100% ripoti ya Tume ya chama ya Bashiru Ally?
Je, kutotekeleza ripoti hiyo siyo kwamba inaashiria matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa Tume hiyo ambayo sasa ni kama...
Katika ukaguzi wa mwaka 2019/20, CAG ameonesha changamoto zifuatazo katika usimamizi wa rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa;
Idara ya Ujenzi, Sekta ya Elimu na Afya kuathiriwa na Upungufu wa Watumishi 119,753
Katika mapitio ya idadi ya wafanyakazi katika Halmashauri 123, CAG...
Taifa hilo limesema Ripoti ya hivi karibuni ya Marekani inayosema huenda janga la COVID-19 lilianzia maabara sio ya kisayansi na inakosa uaminifu.
China imekuwa ikikataa madai kuwa Virusi vilitokea Maabara katika Mji wa Wuhan ambapo COVID-19 iligundulika kwa mara ya mwanza mwaka 2019...
Ripoti ya CAG inaonesha makusanyo ya Mapato ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa kuongezeka kwa 11%, kutoka Tsh. Bilioni 639.4 mwaka 2018/19 hadi Tsh. Bilioni 703.9 mwaka 2019/20
Licha ya kuongezeka kwa ukusanyaji wa Mapato, kumekuwepo changamoto mbalimbali. Mapato ya Tsh. Bilioni 23.88...
Katika Ripoti iliyotolewa leo, Wabunge wameikosoa Serikali kwa namna ilivyoshughulikia mlipuko wa CoronaVirus katika hatua za mwanzo, ikisema ilishindwa kuchukua hatua za haraka na kupelekea maambukizi na maelfu ya vifo.
Vilevile Ripoti hiyo imesema kulikuwa na nia ndogo ya kujifunza kutoka kwa...