RIWAYA: MZEE WA BUSARA MWANDISHI - SULTAN TAMBA
ANGALIZO, Riwaya hii ni ya zamani iliwahi kutamba kwenye magazeti ya kila wiki, leo nimewaletea mpate kuburdika.
MWANZO
NILIHISI kupagawa. Akili yangu ilikuwa mbali sana usiku huo. Sjiui mtanielewa nikisema kwamba nilikuwa kwenye ndoto katika...
Nisomapo kazi ya Mtobwa mimi huguswa na jinsi mwandishi huyu alivyocheza na lugha. Naam, anaelezea tukio kwa lugha inayovutia.
Lengo langu ni mtu aliyeguswa na kazi fulani atupie kitabu huku au ataipu sentensi chache zilizomfurahisha. Njia hii itawasaidia waandishi waboreshe uwezo wao wa...
UTANGULIZI
Berlin, Ujerumani
SONJA VERBRUGGE HAKUWA anafahamu kwamba leo ingelikuwa ni siku yake ya mwisho kuishi duniani. Alikuwa anatembea kwa taabu kuwapita watalii waliokuwa wamefurika kwenye barabara ya Unter den Linden.
Usikurupuke, alijiambia. Lazima uwe mtulivu.
Ile meseji ya ghafla...
SIMULIZI: HUKUMU NZITO
GENRE: THRILLER
MWANDISHI: YI BANG JI
“Nataka tuimalize kazi kwa haraka,” aliongea Julius Fungo, huyu alikuwa kiongozi wa kikundi
cha majambazi ambao walikuwa wakifanya matukio mazito ya uhalifu jijini Mbeya, kwa muda
huu alikuwa akitweta na alikuwa analisogelea dirisha...
Sura ya Kwanza
Mara tu baada ya kuvunja ungo, Yasmin aliozwa mume. Alikuwa mume
wa jamii yake ya Ithnashiria ambaye alikuwa akiishi jirani naye hapo
Mtendeni.
Alikuwa ni mume asiyelingana naye hata kidogo. Si kwa umri wala
tabia kwani wakati Yasmin ni kigoli wa miaka kukmi na tano tu, mumewe...
HABARI WANA JF.
SEHEMU YA 1
MWANZO BAADA YA MWISHO ....
Watu walikuwa wakifa, wengine wakikimbia, wengine wakijikuta kuna miguu mikubwa kama ile ya vunjachungu(parying mantis) ikitenganisha miili yao na wengine wakihangaika kupambana na wanyama ‘beasts’ wakubwa kuliko wao walio wazidi...
CHAPTER 1
South Tanganyika, Early 1899
An early morning, I think it was probably way too early than usual for me since the sun was barely out and shining through the thick tree that surrounded our village made up of probably fewer than fifteen households living in straw houses with...
SASHA MLINZI WA NAFSI.
Sehemu ya............1-2
Mtunzi: Saul David
WhatsApp: 0756862047
UTANGULIZI...
Majira ya mchana wa jua kali mwanaume mmoja anaonekana akitembea kwa taabu sana katikati ya jangwa moja kubwa. Upepo mkali ulikuwa ukivuma kiasi cha kusababisha vumbe jingi kutanda hewani hali...
Tupo wengi humu, uzi upi unaofuatilia humu JF ulio na mafunzo ndani yake na wenye kuburudisha? Au ni riwaya gani unaifuatilia humu ni nzuri na yenye mafunzo na maadili mazuri?
Karibu unijuze
Habari member wa JamiiForums ningependa kuwaleteeni Riwaya ya ndugu mwandishi Kelvin kagambo ili tuelimike na kubuludika pamoja.
========
RIWAYA: MWANAMKE KAMA MAMA YANGU
MTUNZI: KELVIN DONATUS KAGAMBO
SIMU: 0713 48 28 16
FACEBOOK: KEV CLEVER KAGAMBO
SEHEMU YA KWANZA (1)
"Vuta picha...
Angalizo:
Nchi inayotajwa kama Nchi yetu, haina uhusiano wowote na nchi ya Tanzania.
Sehemu ya Kwanza
Komandoo Mako alikimbia akiwa kashika kidege kidogo kisichokuwa na rubani, baada ya umbali fulani, akakiachia nacho kikapaa peke yake. Pembeni alilala Komandoo Bwii, huyu alikuwa na kitu mfano...
Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?"
Riwaya zingine nzuri ni kama gani?
Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania angalia uzi huu Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania
Serikali imeunda kamati maalum inayoongonzwa na Prof. Penina Mlama kwa ajili ya kuweka utaratibu wa kutambua na utoaji tuzo kwa waandishi mahiri wa riwaya nchini kuanzia mwaka huu wa fedha 2022/23.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) wakati wa...
UZI HUU NI MAALUM KWA AJIRI YA KUSOMA NA KUPATA RIWAYA ZA JOHN WISSE.
UKIHITAJI KITABU CHOCHOTE UTAKIPATA KWA KUULIZA HAPA NAWE UTAJIBIWA HARAKA NA KUPATA KILE UNAKIHITAJI.
Mwanamke Uliyekula Pesa Zangu Nakutafuta
Mwandishi: Mwalimu Makoba
Sehemu ya Kwanza
Nilipita siku ya Jumatatu huko Mwananyamala katika nyumba za ndani sana. Baada ya kuvuka mitaro mitatu, nikaona nyumba iliyokuwa na baraza kubwa. Hapo barazani alikaa binti mrembo sana ambaye kwa uzuri wake...
Msisitizo: Riwaya imekamilika, kila siku itakuwa inatumwa sehemu moja mpaka itakapoisha. Hakuna longolongo, hakuna kuchelewesha wala hakuna kununua.
Mfalme Anataka Kuniua | Sehemu ya Kwanza
Mwandishi: Mwalimu Makoba
Mako alijibanza katika kichaka cha kijani. Mbele alitazama kundi kubwa la...
Ukiangalia bongo movie zinahadidhi za kitoto na zinazodumaza Akili kabisa
Mara simulizi za kusadikika za kichawi. Mara mkaka kapuku kapendwa na demu tajili.
Tuliosoma vitabu Kama wizi wa almasi Mwadui. Pesa zako zinanuka, msake mpaka umpate, Kuna vitu vingi Sana vimetujenga. Achilia mbali noval...
RIWAYA: MLIO WA RISASI HARUSINI
Mtunzi: Robert Heriel
WhatsApp 0693322300
Akajitazama kwenye kioo kikubwa cha kabati akiwa chumbani kwake. Kila alipojitazama hakuona kasoro yoyote katika mwili wake. Aligeuka huku na huku akiendelea kujitazama. Macho yake yalimuambia yeye ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.